Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
DADA,
Hayo usemayo yawepo au yasiwepo ni ya kwao Mume na Mkewe. Wenzio tuliyo ndani ya ndoa kongwe tulifanikiwa kwa, pamoja na yote, kuziba masikio kwa wapambe nuksi kama nyie.
Kama nawe watamani kuja fanikiwa kudumisha ya kwako, fanya hivyo hivyo. Kama bado kujaliwa basi endelea kumwomba Mungu kwa unyenyekevu. AMEN
 
Hawa mabalozi watatunyoa bila maji, Mama Samia wafukuze au muachie mbowe. Tunatafuta makubwa
Tulia wewe subiri najua kuna Mabalozi walikuwa kwenye huo mpango wanakuja mahakamani ku intimidate mashahidi na watuhumiwa wasije kuwataja wakamwaga hadharani kila kitu. MABALOZI HAO wamepanick ndio maana unawaona mbio mahakamani Hii kesi wana woga nayo kuwa Pandora box yaweza funguliwa ndio maana wanamtolea mimacho kila aongeaye mahakamani awe mtuhumiwa au mashahidi wako so desperate
 
Ukifuatilia hao makomandoo wanatoka mikoa ya kusini ambako tuliona ugaidi ukiwa umepamba moto na Chadema kupitia Mbowe waliunga mkono sana harakati zile bungeni na press conference zao hata kuaga askari kibao waliouawa na magaidi hawakutokea kuaga

Mabalozi waweza anza ku connect dots. pia hao commando ni waislamu kama wale waliosumbua mikoa ya kusini na msumbiji
Mhu!
 
Kingai kama kingai ,ndio muone sasa kwanini hawatakagi hawa jamaa waendage shule, yaani jamaa kabeba manyota mabegani kumbe kichwani mweupeeee maskiniiii, Ogopa sana hawa jamaa wanaopanda vyeo kwa ndumba wakiwekwa peupe kama leo mbele ya mabeberu mabalozi wanaharisha tu, sipati picha kamanda Zirro nayeye akipanda pale atahara mpaka mambo ya hamza na wazazi wake ambayo hata hayapo na hayahusiki
Kahongwa hela nini? Hivi anajua kama kasema uongo mahakamani ni kosa? Hakuiona hiyo hati ya mashtaka kabla kupanda kutoa Ushahidi au? Kama Hakuiona kwa nini hakuiomba kabla ya kupanda kutoa Ushahidi?
 
MWALLA nini kimeendelea baada ya mahakama kurudi saa 8:00 ndugu? Tafadhali endelea kutupatia updates....
 
Kingai kama kingai ,ndio muone sasa kwanini hawatakagi hawa jamaa waendage shule, yaani jamaa kabeba manyota mabegani kumbe kichwani mweupeeee maskiniiii, Ogopa sana hawa jamaa wanaopanda vyeo kwa ndumba wakiwekwa peupe kama leo mbele ya mabeberu mabalozi wanaharisha tu, sipati picha kamanda Zirro nayeye akipanda pale atahara mpaka mambo ya hamza na wazazi wake ambayo hata hayapo na hayahusiki
... ukiwakuta kwenye masemina yao mgeni rasmi sijui mkuu wa nchi wamechafuka manyota ya kutosha mabegani na mayunifomu yao very smart utadhani hawa ndio watu! Kumbe looh! Vichwani ni weupe haswa! CCM wanawajulia haswa! Na wanawatumia wapendavyo!
 
.
JamiiForums1227459129.jpg
 
Kwa Hangaya tumepigwa big time
"Weupe au weusi" wa mhojiwa ni suala la maono ya mhojaji na msikilizaji; kwa mantiki hiyo siwezi kukupinga au kukubali haya maono yako ambayo yanaweza kuwa yanasukumwa na mambo mengi ikiwa ni pamoja na political inclination na upbringing yako. Twendeni tu tutafika, tena SALAMA!
 
Stress zimekujaa. Huwezi andika bila kutusi.Nipe number yako walau nikuwezeshe elfu 50 ukanunue pepsi hapo kwa muha.

Ndyali njoo unaitwa huku upewe chochote ishamtukana mtoto wa watu hata hoja za sheria hujaweka umelipuka na mitusi tu
 
Lisu mwenyewe na Lema walitoroka baada ya kushirikisha akina mama mpango wa kulipua vituo vya mafuta nk akina mama wakasema no watakaoumia ni wanawake wenzetu na watoto wakaripoti kunakohusika. LEMA HANA HAMU NA Tanzania akakimbia akamwambia Lisu tumekwisha akina mama Chadema wamechoma mpango mzima vyombo Vya dola tumekwisha. LISU AKAKIMBILIA UBALOZINI NA MBIO ULAYA

HONGERENI AKINA MAMA BAWACHA CHADEMA KWA KAZI KUBWA MLIFANYA

Nchi hii magaidi hayana nafasi yawe CCM au Chadema au popote
Twasubiri kwa hamu sana kukuona nawe ukitoa huo ushahidi wako pamoja na vielelezo vyako.
Kinyume chake mtahangaika sana bila mafanikio 'kummaliza' Mbowe na CHADEMA, na mtaishia tu kwenye staili zenu za kulazimisha kama wa aina yenu Makaburu SA na RWANDA ya Kagame.
 
Aiyeshitakiwa Mbowe wewe unaiingizaje Chadema?
 
wakuu fuatilieni hii kesi ndogo baada ya ile ya msingi kusimama kwa muda - ni tamu balaa!! njia ya mwongo huwa haifiki mbali.

Pale hakuna kesi, msingi wa kesi ndogo utaamua kesi ndani ya kesi, nilikua najiuliza kwa nini serikali wanashindwa sana kesi kumbe nimejua leo hawana wanasheria competent na nadhani sababu hawajisomei sana au hawapractice sheria mara kwa mara
 
Ona alivyoingia king kizembe. Nini kilimtuma kumwamini yule mwanajeshi hata kama ni home boy. Ona sasa alivyomuuza too sad. Hope huyo Denis alikuwa anamrecord. Hapo ndo Mbowe kwisha habari yake.
Hapo mbowe ameniacha hoi eti home boy ,alitakiwa atafute mtu anayemfaham Sana , makomandoo wasio waadilifu wapo wengi Sana , DK Lilian amsamehe yaishe

USSR
 
Shahidi;Afande Boazi alimshauri Dennis Urio, aendelee kutoa ushirikiano na kushirki vitendo hivyo lakini aendelee kuripoti vitendo hivyo polisi

Duu japo mimi si mwanasheria mpaka hapo mbona gaidi ameshajulikana... hivi unaweza kuletewa taarifa ya uhalifu kupangwa kufanyika mahali na kiongozi akashauri fanyeni halafu ulete taarifa?
Hayo yanawezekana tafuta kitabu cha kesi ya Hans pope na wenzake walivyotaka kumpindua Nyerere utagundua kitu
 
Back
Top Bottom