Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Kumbuka pia huwa hawawi mashaidi, wanaandaa mazingira ya kukamatwa na ushahidi tofauti nao.
ukisikia intelijensia ndio hiyo mkuu.

mnaandamana nao
mnapanga nao
mnaiba nao
mnawanga nao
mnakula nao

mkiagana wanakwenda polisi.
mahakama inawajua,na wana kinga maalumu,jinchanganye kuwafuata.a
 
Kwani Lowasa alikuwaje mshauri wa Chadema na baadaye kuwa mgombea Chadema wakati ni akiwa CCM?
Kinachoshangaza watu ni raia kumpigia polisi simu na kumwambia amtafutie mabaunsa, makomandoo wakati anajua anajipeleka polisi mwenyewe.

Basi huyo askari hafai. Achunguzwe vizuri atakuwa na chembechembe za kimapinduzi.
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Mama yako alivyokuwa anamchiti baba yako alienda kuomba msamaha au ? Unajua ya wenzako yako huyajui tunajua hata mimba yako ilipatikana kwenye matuta ya mihogo
 
Kibatala: statement yako wanashitakiwa kwa maelezo uliyowaonya? Wakili wa Serikali: OBJECTION. Mh. jaji wakili anatoa speech sana

Jaji :Jamani tumpatie shahidi hata Dakika 2 Jamani, pale Kizimbani Si Mchezo
Shahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO
 
Kibatala: statement yako wanashitakiwa kwa maelezo uliyowaonya? Wakili wa Serikali: OBJECTION. Mh. jaji wakili anatoa speech sana

Jaji :Jamani tumpatie shahidi hata Dakika 2 Jamani, pale Kizimbani Si Mchezo
Shahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO
Na bd ataomba akanye kbs!
 
Kibatala anamfuata usoni kwake shahidi Kwa Kumkazia macho anamuuliza, Je unafahamau Kuwa mshtakiwa Adamoo anashtakiwa makosa matano na moja la kula njama za ugaidi?

Shahidi: Mheshimiwa Jaji Mimi siye ninaye andaa Mashtaka, Wanaoandaa ni Ofisi ya Mwendesha Mashitaka, mheshimiwa
Kibatala: statement yako wanashitakiwa kwa maelezo uliyowaonya?

Wakili wa Serikali: OBJECTION. Mh. jaji wakili anatoa speech sana

Jaji :Jamani tumpatie shahidi hata Dakika 2 Jamani, pale Kizimbani Si Mchezo

Shahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO

Jaji: uende lakini urudi

Mahakama yote inacheka
 
Huyu Judge anamkingia sana kifua huyu Shahidi, ndio mwanzo wa biase kuonekana, mara aah musimulize maswali ya kisheria, mara aah dakika mbili, mara ahh anede chooni, wapatieni pampers kazi iendelee... so ndio habaro ya mjini au ?
 
Shahidi: Kweli naomba niende HAJA NDOGO[emoji23]
 
ACP au shahidi mwingine? 😁!

Nimeona clip Kibatala akiingia hapo kortini na mabegi ya kuvuta kama anasafiri nikajua mbwembwe tu za mawakili kama ilivyokuwa Kwa Jerry Slaa juzi kwenye wito wa kamati ya maadili.😁.

Kumbe "kazi kazi"
 
Viva Kibatala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…