Watu wanataka habari rojorojo, vipi tena ndugu yangu- Isidingo lazima iendelee... au hutaki ?Umeanza kuleta taarifa za kipuuzi kiasi hiki? Yaani kukojoa ni jambo la kujadiliwa Jukwaa la siasa JF? Stop this nonsense!
Muendelezo uko wapi wakuu
Na aliombaje kwenda kukojoa wakati mahakama ilikuwa kwenye mapumziko wakati wa lunch , au wakati huo afande yeye hayo maliwato hakuyajua?Aliomba akakojowe kwanza wakati anaulizwa na kibatala maswali
Mikogo ya kitoto sana. Kwa zamani ingeweza kufaa hasa kwa wale walio chekechea. Jaribu tenaPure civilian Kama wewe utajua nn mambo ya kupambana na ugaidi zaidi ya kuwaza tozo tu
USSR
Walikua 6 na wa 3 wameshahukumiwaAlisema hao washtakiwa wenzie na mbowe walishahukumiwa
Kumbe kesi ndio kwanza inapamba moto
Umekosea...Jaji anahukumu kutokana na yale aliyoyasikia mahakamani na vielelezo vilivyotolewa. Naona kama upande wa serikali unaushahidi mzuri wakati upande wa utetezi unaegemea kwenye kamati ya ufundi zaidi- TAFUTENI MGANGA MZURI AU MWENDE KWA MZEE MPILI
Upande wa Mashitaka/Jamuhuri wakiishamaliza kuwaongoza mashahidi wao kutoa maelezo yao huwa sio mwisho wa kesi, ni hatua ya kwanza. Sasa itakuja zamu ya Mawakili wa utetezi, kuwahoji hao mashahidi. Jitahidi kuwa na subira.Jaji anahukumu kutokana na yale aliyoyasikia mahakamani na vielelezo vilivyotolewa. Naona kama upande wa serikali unaushahidi mzuri wakati upande wa utetezi unaegemea kwenye kamati ya ufundi zaidi- TAFUTENI MGANGA MZURI AU MWENDE KWA MZEE MPILI
Kwani wewe cha kwako umekituliza?Hatujifika kiwango cha Korea ya Kiduku, kaa kwa kutulia na kitulize.
Pole sana kwa majukumu, wakili msomi Peter Kibatala.Nilikuwa na Majukumu fulani ndani ya Mahakama hiyohiyo , asante kwa uzi makini
Na kesho ACP Kingai anaweza asifike mahakamaniUpande wa Mashitaka/Jamuhuri wakiishamaliza kuwaongoza mashahidi wao kutoa maelezo yao huwa sio mwisho wa kesi, ni hatua ya kwanza. Sasa itakuja zamu ya Mawakili wa utetezi, kuwahoji hao mashahidi. Jitahidi kuwa na subira.
πππ Mkuu mimi siyo KibatalaPole sana kwa majukumu, wakili msomi Peter Kibatala.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Haki ya Mungu..Tunaambiwa ni binadamu na nusu
Wewe ndiyo Lilian au Press secretary wake?Mimi ninasema laana ndo imesababisha hii kesi impate. Tunaongelea Mbowe. Mimi naingiaje hapa ?
Unaingia kama alivyoingia LilianMimi ninasema laana ndo imesababisha hii kesi impate. Tunaongelea Mbowe. Mimi naingiaje hapa ?
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.