Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
Ni kama Kibatala hana haraka na kesi kuisha, hajali watu wanateseka mahabusu.
kaulizwa na Jaji kesho tuanze kesi saa 2 au 3, akasema saa 4! Jaji yuko freshi kuja daibreki, wakili unasema saa 4 ?
Kabla ya hapo aliulizwa na Jaji kama ana hakika anataka tuachane na kesi ya msingi tuanze kesi ya whether walikula polisi hawakula, watuhumiwa wanajeshi ni vichaa wa vitani au sio vichaa, walihojiwa kwa wakati ama la, walipigwa polisi ama la. Valid concerns lakini haya yangewekewa pingamizi wakati wa criminal discovery as inadmissible evidence, ingeokoa muda kwa kuepuka unnecessary interlocutory proceedings. Kibatala alitakiwa kuiona hati ya maelezo kabla ya kesi kuanza.
Pia anachecheka sana na mashahidi wa serikali. Kamuuliza mserikali mmoja kama atakasirika akimuita kaka. Waste of detainees’ time. Akaze uso ku reflect masaibu ya ukandamizaji wa polisi na serikali.