Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Ni kama Kibatala hana haraka na kesi kuisha, hajali watu wanateseka mahabusu.

kaulizwa na Jaji kesho tuanze kesi saa 2 au 3, akasema saa 4! Jaji yuko freshi kuja daibreki, wakili unasema saa 4 ?

Kabla ya hapo aliulizwa na Jaji kama ana hakika anataka tuachane na kesi ya msingi tuanze kesi ya whether walikula polisi hawakula, watuhumiwa wanajeshi ni vichaa wa vitani au sio vichaa, walihojiwa kwa wakati ama la, walipigwa polisi ama la. Valid concerns lakini haya yangewekewa pingamizi wakati wa criminal discovery as inadmissible evidence, ingeokoa muda kwa kuepuka unnecessary interlocutory proceedings. Kibatala alitakiwa kuiona hati ya maelezo kabla ya kesi kuanza.

Pia anachecheka sana na mashahidi wa serikali. Kamuuliza mserikali mmoja kama atakasirika akimuita kaka. Waste of detainees’ time. Akaze uso ku reflect masaibu ya ukandamizaji wa polisi na serikali.
 
Tukupe walau dakika tano pale kizimbani kama hutadai una haja kubwa?? Wajifanya wajuaaaa...
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Wewe umezaa naye wangapi?
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi
Shughuli ipo mwaka huu hadi itakuwa fundisho km kuna Nia ovu ya ubambikaji wa kesi wataikataa walidhani ni smooth issues

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Nakupongaza mleda Uzi kutumia muda wako kuhakikisha watu wanajua Kila linaloendelea.
 
Nafikiri hawa wawakilishi kutoka nchi wafadhili wa maendeleo ya nchi yetu wanataka kushuhudia ukweli kuhusu madai ya uwepo wa ufadhili wa matendo ya kigaidi kwa TZS 600,000/- ama US $ 258 tu.

Serikali yetu sikivu inajipanga ili kuuweka ukweli wake wote hadharani. Ijapokuwa katika kesi hii nina uhakika watafeli ile mbaya sana na hata kuaibika mbele ya macho ya dunia.
 
mods mumichnganya pilao lenu na chapisho langu now roho zenu kwatu kabisaa. mnaboa sio kidogo walai
 
Hu
Ni kama Kibatala hana haraka na kesi kuisha, hajali watu wanateseka mahabusu.

kaulizwa na Jaji kesho tuanze kesi saa 2 au 3, akasema saa 4! Jaji yuko freshi kuja daibreki, wakili unasema saa 4 ?

Kabla ya hapo aliulizwa na Jaji kama ana hakika anataka tuachane na kesi ya msingi tuanze kesi ya whether walikula polisi hawakula, watuhumiwa wanajeshi ni vichaa wa vitani au sio vichaa, walihojiwa kwa wakati ama la, walipigwa polisi ama la. Valid concerns lakini haya yangewekewa pingamizi wakati wa criminal discovery as inadmissible evidence, ingeokoa muda kwa kuepuka unnecessary interlocutory proceedings. Kibatala alitakiwa kuiona hati ya maelezo kabla ya kesi kuanza.

Pia anachecheka sana na mashahidi wa serikali. Kamuuliza mserikali mmoja kama atakasirika akimuita kaka. Waste of detainees’ time. Akaze uso ku reflect masaibu ya ukandamizaji wa polisi na serikali.
Hujui kuwa haraka haraka haina baraka. Waache wanaojua sheria wafanye kazi hii siyo ngoma ya kigodoro.
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Wewe unaongea utafikiri hauna mume, au umechukua picha ya mwanamke mwingine ndio umepachika hapo..

Which man doesn't cheat in this world.!
 
Jaji anahukumu kutokana na yale aliyoyasikia mahakamani na vielelezo vilivyotolewa. Naona kama upande wa serikali unaushahidi mzuri wakati upande wa utetezi unaegemea kwenye kamati ya ufundi zaidi- TAFUTENI MGANGA MZURI AU MWENDE KWA MZEE MPILI
Wewe naona umeshavuta bangi tayari sidhani hata kama unajua unachoandika. Pole zako.
 
Kweli mkuu maana baada ya mwenyekiti kuwa jela watumiaji wa bangi wamepungua mitaani- inabidi tusaidie soko la wakulima lisife.
 
Mkuu MWALLA , thanks for good reportage.
P
Mayalla pamoja na kwamba sijaona mahali popote umecomment kwenye shauri hili, but miaka mitano iliyopita nimekuona mwenye mawazo ya ki- CCM ya kuenjoy inflicting pains to innocents. Sina hakika kama mawazo haya ya ki- CCM umeyaacha. Means most CCM members enjoy this Innocent Mbowe being detained for false allegation.
 
Visivyo na tija vya hovyo ndivyo serikali ya ccm inavipenda ikitoka hapo inaenda kuomba msaada vya vyoo vya shule.
Nyerere ulibugi Sana kudai UHURU.
Mara utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi.Mda wa kudili na mbowe kwa ushahidi wa kuokoteza si mngeutumia kuhamasisha kumaliza tatizo la vyoo mashuleni?
 
Back
Top Bottom