Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Homeboy kazua balaa!😁

Urio alipiga radar akaona hizi hesabu ni kichaa,unaahidiwa cheo na upinzani ambao kushika dola ni ndoto za Abunuas!

Ila kuna haja ya askari polisi kupata hata kozi fupi za sheria hasa kuhusu haya mambo ya Ushahidi na Watuhumiwa.

Kuna vitu vidogo tu vya kisheria hufanya wanapigwa mweleka mara kibao mahakamani.
 
Lengo lilikuwa nikuja kuchoma hicho kibanda chenu/chako m(n)achoishi.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa akichomoa hii kesi anapaswa kwenda kutambika!!!!
KIBWAGIZO; Shahidi wa Jamhuri, ACP Kingai anasema washtakiwa walikutwa na bastola na Risasi 3. Hati ya mashtaka inasema ni risasi 1 na bastola 1. OK!

Kingai anasema aliwakuta na kete 58+25=83 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Lakini vyote hivyo havipo kwenye hati ya mashtaka
 
KIBWAGIZO; Shahidi wa Jamhuri, ACP Kingai anasema washtakiwa walikutwa na bastola na Risasi 3. Hati ya mashtaka inasema ni risasi 1 na bastola 1. OK!

Kingai anasema aliwakuta na kete 58+25=83 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Lakini vyote hivyo havipo kwenye hati ya mashtaka
 
... askari polisi wengi walio-graduate wamesomea sheria wachache wamesomea kozi nyingine kama IT, n.k. Kwa wale ambao hawaja-graduate, kwenye kozi zao za upolisi, somo la sheria ni miongoni mwa masomo ya lazima wanayofundishwa. Kuboronga kwao kwenye utendaji mara nying ni kwa sababu kuu mbili.

Mosi, kutumikia wanasiasa/CCM. Hili ni tatizo la msingi. Inawabidi waishi na kutenda kwa uogo/nia ovu ili kufanikisha malengo ovu ya kisiasa. Katika mazingira haya hakuna namna zaidi ya kuweka taaluma/weledi pembeni matokeo yake ni aibu maana hakuna kazi ngumu ka kuutetea uongo.

Pili, ni ukweli ulio wazi kwamba baadhi yao uwezo wao vichwani ni mdogo sana kama punje ya haradali! Kutokana na udumavu huo wa kiakili hakuna namna nyingine zaidi ya kutumia bunduki na maguvu yasiyo na sababu kuficha madhaifu yao.
 
Kingai kama kingai ,ndio muone sasa kwanini hawatakagi hawa jamaa waendage shule, yaani jamaa kabeba manyota mabegani kumbe kichwani mweupeeee maskiniiii, Ogopa sana hawa jamaa wanaopanda vyeo kwa ndumba wakiwekwa peupe kama leo mbele ya mabeberu mabalozi wanaharisha tu, sipati picha kamanda Zirro nayeye akipanda pale atahara mpaka mambo ya hamza na wazazi wake ambayo hata hayapo na hayahusiki
 
Ona alivyoingia king kizembe. Nini kilimtuma kumwamini yule mwanajeshi hata kama ni home boy. Ona sasa alivyomuuza too sad. Hope huyo Denis alikuwa anamrecord. Hapo ndo Mbowe kwisha habari yake.
Mbona unamwombea Mbowe mabaya kiasi hiki, alikukosea nini hasa Victoire ?
 

Hizi ngano watakao kuamini ni pale Lumumba tuu, hivi mnalipwa ngapi au ndio ile wazungu wanaita brainwashed
 
tatizo la vijana wa jf, ujuaji mwingi!

wameshaanza kutoa hukumu!

mambo yakiwa kinyume wataanza kubana pua, flani kaonewa!

tusubiri mda na mahakama viamue.
Sasa kizeee humu unatafuta nini?? Si ukavute ugoro au gozo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…