Ni hisia zako tu.Ukifuatilia hao makomandoo wanatoka mikoa ya kusini ambako tuliona ugaidi ukiwa umepamba moto na Chadema kupitia Mbowe waliunga mkono sana harakati zile bungeni na press conference zao hata kuaga askari kibao waliouawa na magaidi hawakutokea kuaga
Mabalozi waweza anza ku connect dots. pia hao commando ni waislamu kama wale waliosumbua mikoa ya kusini na msumbiji