Wewe jibu hivi 'hata mimi nashangaa na sijui kwa nini ngoja wajuzi waje' humu JF hakuna cha technical sana wala nini maana huu uwanja una wajuzi wa fani zotee...Hayo ni mambo ya technical sana kwenye sheria tulia mpira bado haujaisha,japokua hadi sasa naona upande wa serikikali umeelemewa upande wa kiungo na beki zimekatika.
Hayo ni mambo ya technical sana kwenye sheria tulia mpira bado haujaisha,japokua hadi sasa naona upande wa serikikali umeelemewa upande wa kiungo na beki zimekatika.
Suala kudaiwa kukutwa na hiyo bastola ni jambo moja, lakini kuihakikishia mahakama pasipo chembe yoyote ya shaka kupitia "finger prints" za mshtakiwa ni jambo lingine muhimu pia.Yasemekana mshitakiwa #2 alikamatwa na bastola ambalo anakanusha.
Kwamba alikamatwa na bastola au hakukamatwa na bastola, hayo ni mambo mengine.
Kukamatwa na bunduki kinyume cha sheria mbona bado ni msala usio kuwa na kifani?
Kwanini upande wa mashtaka wameshupalia zaidi namba kuliko hata kuwa mshitakiwa anatuhumiwa kukuwa na silaha kinyume cha sheria?
Kwanini pia upande wa utetezi wanasikika kuongea CZ 100 kwenye bastola na kuwa si A5340, badala ya kukomaa tu kuwa Adamoo hakukutwa na bastola?
Kwanini kumekuwa na marumbano haya kuhusiana namba A5340?
Ni kitu gani mahsusi kinatafutwa kwenye namba hii pendwa?
Wewe jibu hivi 'hata mimi nashangaa na sijui kwa nini ngoja wajuzi waje' humu JF hakuna cha technical sana wala nini maana huu uwanja una wajuzi wa fani zotee...
Upande wa utetezi utakuwa una kusudi la kuonyesha jinsi gani ushaidi una mkanganyiko ili utupiliwe mbali
Maana yake namba za usajili zilibadilishwa kukidhi nia ya kutenda uharifu bila ya kujulikana mmiliki halali ni yupi.Yasemekana mshitakiwa #2 alikamatwa na bastola ambalo anakanusha.
Kwamba alikamatwa na bastola au hakukamatwa na bastola, hayo ni mambo mengine.
Kukamatwa na bunduki kinyume cha sheria mbona bado ni msala usio kuwa na kifani?
Kwanini upande wa mashtaka wameshupalia zaidi namba kuliko hata kuwa mshitakiwa anatuhumiwa kukuwa na silaha kinyume cha sheria?
Kwanini pia upande wa utetezi wanasikika kuongea CZ 100 kwenye bastola na kuwa si A5340, badala ya kukomaa tu kuwa Adamoo hakukutwa na bastola?
Kwanini kumekuwa na marumbano haya kuhusiana namba A5340?
Ni kitu gani mahsusi kinatafutwa kwenye namba hii pendwa?
Kwa kadri nilivyofuatilia inaonekana akina Kibatala wamebaini kwamba hiyo bastola mashahidi wa serikali wamejichanganya, kuna waliosema kwenye ukamataji ni CZ 100 na wengine hiyo namba nyingine.Hatukisikia namba za bastola ya Hamza.
Hii imekuwa namba. Utadhani Osama naye alikuwa na ya hivyo?
Suala kudaiwa kukutwa na hiyo bastola ni jambo moja, lakini kuihakikishia mahakama pasipo chembe yoyote ya shaka kupitia "finger prints" za mshtakiwa ni jambo lingine muhimu pia.
Kama mimi hapa.Wewe jibu hivi 'hata mimi nashangaa na sijui kwa nini ngoja wajuzi waje' humu JF hakuna cha technical sana wala nini maana huu uwanja una wajuzi wa fani zotee...
Maana yake namba za usajili zilibadilishwa kukidhi nia ya kutenda uharifu bila ya kujulikana mmiliki halali ni yupi.
Serikali ndio msimamizi mkuu wa usajili wa silaha yoyote ya moto nchini Tanzania hivyo wanafahamu silaha ipi ilisajili lini wapi na mmilikishwaji ni nani kwahiyo hapo kuna mlengwa hatajwi tu kwa majina ila wanabishania utofauti wa namba kunusu au kusaidia ushahidi kumtia mtu mmowapo hatia kwamba aliruhusu silaha yake kutaka kutumika kinyume na sheria.
Nimechoka pale yule muuza mbege aliposema wakati wa tukio yeye alikuwa anafagia sasa leo mahita yule mama alijua anapika ina maana ule ufagio mahita alijua ni mwiko wa kupikia😃😃Kwa kadri nilivyofuatilia inaonekana akina Kibatala wamebaini kwamba hiyo bastola mashahidi wa serikali wamejichanganya, kuna waliosema kwenye ukamataji ni CZ 100 na wengine hiyo namba nyingine... Mfano shahidi wa leo (Mahita) kama umefuatilia vizuri kuhusu pale Rau Madukani wametofautiana vibaya na yule shahidi muuza mbege, aliyesema walikuwa wanasajili laini, na pia kuna shahidi mwingine alisema walikuwa grocery wanakula...
Naanza kuhisi ushahidi wa hovyo unaotolewa na mashahidi wa upande wa jamhuri mashahidi wameamua kwa makusudi kujiepusha na laana ya kikombe cha dhuluma kinachowanyemelea.
Huku sisi tukiwaona wajinga kwa ushahidi wa hovyo wanaotoa kumbe wao wanafanya hivyo makusudi ilimradi kuwaridhisha mabosi wao waliowatuma kwa kutoa ushahidi mradi watimize wajibu wao wa kwenda mahakamani.
Namba ya mwenyekiti hiyo aligawa chumba watu wakapigia show. Ni ngumu kuelewa kwa sasa.Yasemekana mshitakiwa #2 alikamatwa na bastola ambalo anakanusha.