Kesi ya Mbowe: Namba A5340 kwanini imekuwa issue kubwa?

Unadhani kuwa na Gaidi nchini ni issue ndogo tena Gaidi aliyedhamilia kuuwa viongozi na kulipia visima.

Na kuwa na viongozi waliodhamiria kubambikia kesi wananchi wao nayo waiona vipi?
 
Hii bastola hii tusiichukulie poa. Cku si nyingi itahusishwa na tukio jingine kubwa. Alafu washitakiwa itasemekana hili tukio la ugaidi c la kwanza. Ipo cku utasikia ni moja ya bastola zilizoporwa Sitakishari.
 
Wazee wa curable mistakes hawaaminiki. Si wa kulalia mlango wazi.
 
Hii bastola hii tusiichukulie poa. Cku si nyingi itahusishwa na tukio jingine kubwa. Alafu washitakiwa itasemekana hili tukio la ugaidi c la kwanza. Ipo cku utasikia ni moja ya bastola zilizoporwa Sitakishari.
Watajitokeza akina Sirrrro wameseme walikuwa wanaitafuta sana
 
Anita Valerian Mtaro anasema hali ya pale Rau Madukani hali ilikuwa tulivu na hapakuwa na watu mpaka wanaondoka.

Leo.mahita anasema baafa ya kupiga kelele za simama kaa chini watu walijaaa.
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wamejipanga kundi kubwa mno lazima waharibu ndo kuna div one adi zerooo na wanapoelekea watascore zero tu kumfunga mbowe itakuwa kuforce bao la mkono.....na lijenje waseme alipo
 
WISHFUL THINKING
Mbowe ana maombi ya kuombwa pesa na Adamoo?
 
well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…