Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

For a matter of national security either the President or DPP should terminate this case immediately !
Unajifanya unajua sheria kumbe hakuna kitu,Rais hana mamlaka ya kufuta kesi
Halafu huoni kuwa ni vizuri kesi ikaachwa iishe serikali ishindwe ipate aibu idaiwe fidia kuliko kulazimisha ifutwe
 
Unajifanya unajua sheria kumbe hakuna kitu,Rais hana mamlaka ya kufuta kesi
Halafu huoni kuwa ni vizuri kesi ikaachwa iishe serikali ishindwe ipate aibu idaiwe fidia kuliko kulazimisha ifutwe
Kwa sheria za Tanzania hakuna fidia ukibambikwa kwenye case
 
Sioni kama kuifuta hii kesi kutalisaidia Taifa letu kurejesha mahusiano mazuri kimataifa.Damage itokanayo na kesi ya michongo ni kubwa mno.
Njia bora ya kuponya haya madhara ni kuruhusu reconsiliatio kupitia uandishi wa KATIBA Mpya ili tuanze upya kama TAIFA JIPYA ikibidi hata kulirejesha jina letu la Asili la Nchi ya Tanganyika au Zanzibar.
CCM wameiharibu nchi hii beyond repair.Wanaona haya kujiita Watanganyika ama Wazanzibar ila wanaweza kuitana chawa,viroboto,kunguni,ng'ombe wasio mikia nk.
Hawana jipya na sasa wanakula kwa urefu wa kamba walizojifunga wenyewe.
 
ccm ni wakoloni weusi.
 
Ndiyo chanzo cha kuhitilafiana na makamo wake, wakitaka kupasha misuli jamaa anasikiliza michongo kupitia Pegasus na ndipo wivu ukamjaa akamfukuza Tiss moja hapo ikulu ambae alikuwa anamega tunda kimasihara
 
Ndiyo chanzo cha kuhitilafiana na makamo wake, wakitaka kupasha misuli jamaa anasikiliza michongo kupitia Pegasus na ndipo wivu ukamjaa akamfukuza Tiss moja hapo ikulu ambae alikuwa anamega tunda kimasihara
Duh.....! Hii kali
 
Shida ni kwa kwamba upande wa serikali wanaona ushahidi umeunganika 'beyond reasonable doubt' na wewe na hata wadau wengine wanaona haujaunganika 'beyond reasonable doubt'. Mmi nadhani ni vizuri iendelee hadi mwisho na jaji atoe uamuzi wa ama A au B.
 
Hii kesi ni ushahidi kuwa nchi iko damaged beyond repair. Fikiria IGP na Rais mwenyewe walienda kwenye media kuwaaminisha watu wana ushahidi. Hata akili za kuelewa kwa nini mabalozi wanahudhuria kesi hawana
 
Wanaendelea kujivua nguo. Hii mbaya sana kuonyesçha wazi wazi uonevu wao....... Kesi gani hii. Serikali inajiabisha kweli kweli. Sasa ndio naelewa kwamba hii kesi ni kesi ya Mchongo, na Mchongo Kweli !

Hii kesi ifutwe. Inachafua nchi, hakuna ushahidi. Mbaya zaidi, Wamempa Mbowe umaarufu na nguvu kubwa sana kısiasa... Hakamatiki tena !
 
Hukumu ya kesi bado itabase kwenye hisia badala ya ushahidi usiyo na mashaka.
 
Hakimu/ Jaji anamcomvict mtu kwa ushahidi wa mtu mmoja?
 
Luteni Dennis URIO ndio kawa Dennis urio. Hakuna kitu, wamekaa awe ndio karata ya Mwisho. Hakuna kitu, na wakija utetezi ndio itakuwa shuguli.... Urio pole zake

Hakuna proof beyond reasonable doubt !
 
Ndiyo maana kazi yao iliyobaki ni kupora mali na kuua raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…