Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?


Mama haieleweki anafeli wapi kuingilia majukumu ya mabaharia wa ukweli 😁😁?



Mpeni mama ma ujanja. Fitna hazilipi. Alikuwa nayo nafasi ya kuwa mama wa wote.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ni mzigo na hasara kwa "teeth".
Bwana M.E. Mabula recruit vichwa kama wewe tafadhali hapo "teeth".
 
Tigo washafeli muda. Ilibaki tu kituthibitoshia kuwa mtandao wao nao si wa kuamini tena kwenye isue ya security kwa wateja. Mtu anadiriki kusema kwamba mamlaka kwao ndoyo muhimu kuliko security kwa wateja wake.

Lakini hatuwezi jua kama serikali nayo imeamua kuwafilisi tigo kupitia kesi hii
 
Nakumbuka kuna raisi mmoja mpumbavu sana aliwahi kutokea Tanzania. Kwa upumbavu wake alifukuzwa na kuweka hadharani mazungumzo ya aliowaita wabaya wake...
 
Mama haieleweki anafeli wapi kuingilia majukumu ya mabaharia wa ukweli 😁😁?

View attachment 1997064

Mpeni mama ma ujanja. Fitna hazilipi. Alikuwa nayo nafasi ya kuwa mama wa wote.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Mama yetu Samia ni mama wa wote brazaj

Kama huamini nenda kawaulize kina Bwana Ole na Frimani

Acha kazi iendelee tuu hamna namnaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Habari ndio hiyo , inasemekana hawakujua hata kama anaenda kutoa ushahidi ! na wao wamesoma JF
Alikuwa anapokea maelekezo toka JUU kama 'General' Lengai Ole Sabaya.
Hizo ndio rangi kamili za Magufulegacy yenyewe ; sasa hivi kuna utitiri wa vijana waliyojaa ushetani, waliokuwa wameamua kuwa 'wavizia' fursaovu. Mungu atazidi kuwafunua tutaendelea kuwajua. Amen
 
Mama wanachemka huku wanapata shida kwani walikudanganya imekuwa shida kuridhisha mahakama huru????. Ila kama tunataka aibu tuendelee tu mwisho ni aibu.
 
Mama yetu Samia ni mama wa wote brazaj

Kama huamini nenda kawaulize kina Bwana Ole na Frimani

Acha kazi iendelee tuu hamna namnaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Iliaminiwa kuwa mama anakwenda kulitibu taifa.

Laiti kama:

1. Wangeonana kama chadema ilivyokuwa imeomba naye akaridhia.
2. Kukawepo na ratiba ya kurejelewa tena kwa mchakato wa katiba mpya ulio wazi.

Mama mbona alikuwa kesha kinga ndiyo za watu?

Hamuwezi kweli kumpa maujanja ujanja ya kidada tukarejea kule tulikokuwa tumesimama kabla ya siku zake 100 ofisini?

Mbona kulia kushoto kote kumejaa mabaharia wa ukweli tu? Hawana fujo wala nini.

Hamuoni kwa hivyo tu mi 10 mingine ya haja ilikuwa ikimhusu mana na kwa ulaini kabisa?
 

Yapo anayoyajua mama tusiyoyajua sisi
 
Una hakika hizo senario ulizotaja zinafanana?Umejaribu kusoma logic kwenye ushahidi wa shahidi wa tigo?Unaweza kuulinganisha na wa mtu wa Voda?Imagine mtu anasema ameprint document kwenye server?Elewa wanachozungumzia na siyo ushabiki maandazi.By the way kwani mahakama haiwezi tenda haki kwa mtu A na mahakama hiyo hiyo isitende haki kwa mtu B?.Tafakari
 
Yapo anayoyajua mama tusiyoyajua sisi

Tumsaidie mama kupisha yasiyo ya msingi yanayoepukika:

1. Kesi hii haina tija.
2. Akutane na hawa watu ni watanzania kama mimi, wewe au yeye.
3. Tukubaliane ratiba za mchakato wa katiba mpya (ambapo hata uwepo wa tume huru tu kwenye chaguzi zijazo) mbona ni tiba kamili kuliko hata vumbi la Kongo?

Au nasema uongo dadaangu?
 
Kinachoniuma katika hii kesi ni jinsi kodi ya wananchi inateketea bila huruma kwa kesi ya kubambika.
Ni zaidi ya hivyo mkuu.

Heshima ya serikali na viongozi wake ipo wapi?

Na hawa raia wanaokanyagiwa haki zao na kupotezewa muda hakuna njia yoyote ya kufidia.

Kuna kitu gani ambacho hakionekani kwa wananchi kupitia kesi hii ambacho mwananchi wa kawaida anashindwa kuelewa kuhusu uharamia wa viongozi hawa!
 

Katiba mpya mama alishasema tusubiri

Subra yavuta heri!!
 
BAHATI NZURI MIMI NA NYUMBA YANGU TUMETUPILIA MBALI NAMBA ZOTE ZA TIGO. WAHUNI HAWA. MTU ANAKUJA KUOMBA TAARIFA ZANGU BILA HATA KUTOA SABABU WAO TIGO WANAMPA TU. NDIO MAANA TUNALIZWA SANA KWENYE HUU MTANDAO. HATA WANANGU WALIOKO CHUO NIMEWAAMBIA WATUPILIE MBALI HIYO MILAINI YA TIGO. HOVYO SANA HAWA. POLISI WANAJULIKANA KWA KUBAMBIKA KESI HALAFU YEYE WAO TIGO WANATOA TAARIFA ZA WATEJA KWA MIPOLISI!
 
Kama kweli mbowe hana alini ya namba hzo bas mungu amsimamie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…