Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

Chawa ni sifa siyo tusi mkuu. Ni katika kutambua tu jitihada zako za kuunga mkono yote ya mama and unconditionally. Zikiwamo hizi:

View attachment 1996640

Hata kama ni kwa kurambwa bakora kila asubuhi ikibidi 😁😁.

Au nasema uongo ndugu yangu?
🤣🤣Sawa chawa wa CHADEMA na wa mh.Mbowe....kongole kwako nawe kwa kuunga mkono kila msimamo na juhudi za upande huo....

2969622_images_9.jpeg
 
Nachelea sana kuingiza "hisia" na "View attachment 1996637ushabiki koko" kwa kinachoendelea mahakamani....🤣

Mkuu nisiache kukurejea kwenye hoja yako.

Kumbuka kama binadamu mbivu na mbichi tunazijua. Hatuwezi kujidanganya kuwa hatuzijui.

Askofu Dr. Bagonza anasema: "Sijui kutaga mayai, lakini yao bovu nalijua."

Sihitaji kuwa mtalaamu wa IT kulijua hilo. Hata kuuliza kujiridhisha? Shahidi wako ni huyu hapa:

IMG_20211103_060511_449.jpg

Ninakazia, "... kama radio cassette imemeza tape ..😁😁"

Mtalaamu huyo?

Hiiiiii bagosha!
 
Ulikuwa wanitafutia pande za wapi mkuu wangu?

Kuhusu hoja yako sina uhakika ila kwa kujumlisha moja na moja hiyo itakuwa haimo.

Kumbuka kitita kizima cha kufadhili ugaidi ni around 600,000/=.

Humo zimo pesa za nauli na hata za kununulia nguo kama incentives kwa mujibu wa shahidi kiongozi, mzee wa curable mistakes [emoji16][emoji16].
Ukichukua hii laki 5 ukaongeza hela ya nguo 150,000, nauli na matumizi hii hesabu inabaki laki 6 au hesabu alipiga Polepole?
 
Mkuu nisiache kukurejea kwenye hoja yako.

Kumbuka kama binadamu mbivu na mbichi tunazijua. Hatuwezi kujidanganya kuwa hatuzijui.

Askofu Dr. Bagonza anasema: "Sijui kutaga mayai, lakini yao bovu nalijua."

Sihitaji kuwa mtalaamu wa IT kulijua hilo. Hata kuigiza kujiridhisha? Shahidi wako ni huyu hapa:

View attachment 1996660

Ninakazia, "... kama radio cassette imemeza tape ..[emoji16][emoji16]"

Mtalaamu huyo?

Hiiiiii bagosha!
Shahidi wa Leo kala kona.
 
Mkuu nisiache kukurejea kwenye hoja yako.

Kumbuka kama binadamu mbivu na mbichi tunazijua. Hatuwezi kujidanganya kuwa hatuzijui.

Askofu Dr. Bagonza anasema: "Sijui kutaga mayai, lakini yao bovu nalijua."

Sihitaji kuwa mtalaamu wa IT kulijua hilo. Hata kuigiza kujiridhisha? Shahidi wako ni huyu hapa:

View attachment 1996660

Ninakazia, "... kama radio cassette imemeza tape ..😁😁"

Mtalaamu huyo?

Hiiiiii bagosha!
Mkuu Brazaj.....

Narejea tena....kesi ikiwa mahakamani ni vyema ikaachwa iendelee....kinyume chake inawezekana "PANDE HASIMU" zikatanguliza HISIA + USHABIKI KOKO tu.....

Hebu kuwa mkweli....umeniquote ndugu Martin Maranja....ila pasi na shaka naye ANAKUWA SHABIKI TU....USHABIKI TU....USHABIKI WA KUCHUKUA UPANDE......

Ni hivi.....

Mahakamani hakuna tofauti na "chumba cha upasuaji"....sasa inashangaza nini na kipi kwa SHAHIDI kumumunya maneno/kutoa sauti ndogo/kukwama maneno/kupaliwa na mate/kukwaruzika koo?!!!!

Aaaagh Brazaj 🤣
 
Mkuu hatuungi mkono zote. Tunamwuunga mkono 100% Mh. Mbowe na wenzake kwenye kesi hii ya kubambikiziwa. Hata Sirro anajua hivyo. Bila shaka anatuelewa.

Kumbuka sisi ni hawa hapa?

Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?

Unayaweza haya huko kwenu?
Kuna msemo usemao "kwenye shari huweza kupatikana heri..."

Maisha ya dunia kila hatua ni funzo....kila litokealo hutuongezea(binadamu,wananchi,watawala) UELEWA NA UFAHAMU WA KUWA BORA NA KUJIBORESHA ZAIDI......

Ya mahakamani yatamalizikia mahakamani....Kwani mkuu Brazaj huna imani na mahakama zetu hata chembe?!!!😲🤣
 
Kwa hiyo kuwa Wakala wa TISS ndiyo kunaondoa credibility ya ushahidi wake Mahakamani?

Hivi ikitokea katika kesi hii wakaletwa pia watu wa Vodacom,Airtel na Hallotel (endapo Mh.Mbowe ana line za hiyo mitandao) bado utawatuhumu na wao pia?

Nadhani ni vema kujielekeza kwa kile alichokitolea ushahidi kama mleta mada alivyojikita katika mada yake na siyo hizi blah blah za Agent wa TISS,hazina msaada sana katika kesi hii.
Sometimes you are right mkuu.Nataman Mbowe athibitishwe kuwa hana hatia lakin sio kwa approa h hiz za mihemko huku mitandaoni.
Tunakosa kuwa objective kwenye ku perceive hiz proceedings za mahakam
 
Shahidi wa Leo kala kona.

Ninakazia, "shahidi wa leo kala kona 😁😁"

IMG_20211103_101612_135.jpg

Inatia moyo kuwaona makomando akiwamo Aboubakar Mbowe, katika machungu yao wakicheka. Bila shaka ni katika kustuana:

"Shahidi kala kona."

Hiiiiii bagosha!

La msingi ni kuwa tutakuwa nao hadi dakika ya mwisho.

Atusikie vyema kamanda Sirro.
 
Polisiccm wameigeuza Mahakama kuwa kijiwe cha wanywa kahawa kuleta umbea umbea kila siku. Aibu yao aibu ya CCM
 
Kwa hiyo kuwa Wakala wa TISS ndiyo kunaondoa credibility ya ushahidi wake Mahakamani?

Hivi ikitokea katika kesi hii wakaletwa pia watu wa Vodacom,Airtel na Hallotel (endapo Mh.Mbowe ana line za hiyo mitandao) bado utawatuhumu na wao pia?

Nadhani ni vema kujielekeza kwa kile alichokitolea ushahidi kama mleta mada alivyojikita katika mada yake na siyo hizi blah blah za Agent wa TISS,hazina msaada sana katika kesi hii.
Kwani wewe kwa uelewa wako yule shahidi umemchukulia kama lawyer au IT Person?Na kwa uelewa wako unadhan shahidi katoa ushahidi usioacha shaka wa kumtia mtu hatiani?
 
Mkuu Brazaj.....

Narejea tena....kesi ikiwa mahakamani ni vyema ikaachwa iendelee....kinyume chake inawezekana "PANDE HASIMU" zikatanguliza HISIA + USHABIKI KOKO tu.....

Hebu kuwa mkweli....umeniquote ndugu Martin Maranja....ila pasi na shaka naye ANAKUWA SHABIKI TU....USHABIKI TU....USHABIKI WA KUCHUKUA UPANDE......

Ni hivi.....

Mahakamani hakuna tofauti na "chumba cha upasuaji"....sasa inashangaza nini na kipi kwa SHAHIDI kumumunya maneno/kutoa sauti ndogo/kukwama maneno/kupaliwa na mate/kukwaruzika koo?!!!!

Aaaagh Brazaj 🤣

Mkuu wangu hatupo mahakamani kuweza kufanya assessment yetu wenyewe. Tumenyimwa nafasi hiyo ya kuyaona hayo katika Runinga na washirika zako.

Ashukuriwe sana bwana Martin na beberu kutupia hisani hii.

Nani asiyejua kuwa hamkutaki hata ya kina Martin yatufakie? Haki kutendeka ni pamoja na kuona haki ikitendeka mkuu wangu.

Haki haitolewi gizani.

Kweli?

1. LINU haiwezi kuwa ni neno la Kisukuma, kishona au hata Kibondei? Hii si kiingereza wala si jargon katika teknolojia yoyote rasmi. Labda kwenye nyungu.

2. Shahidi ka-print kwenye screen server?

3. Shahidi hakukana lolote alilolishwa mdomoni na mawakili wasomi wa upande wa utetezi kuhusiana na teknolojia ya mawasiliano alikodai yeye ni gwiji.

4. Shahidi hana habari na hackers.

5. Shahidi katika telecommunications Industry hajasikia kuhusu Pegasus.

6. Shahidi katoa taarifa za mteja bila kuzingatia sheria wala taratibu zozote zikiwamo za kimaadili.

7. Nk.

Gimme a break!

Hata nisihoji wala kujihoji kuwa huyu shahidi aliihusisha Tigo kweli kwenye ushahidi wake huu ili kuona haki inatendeka?

Nisihoji nia ya shahidi huyu katika kesi hii kama kweli ni nia yake kuona haki inatendeka?

Mkuu hii sasa ndiyo ile tofauti yetu na mazuzu?!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom