Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza:

Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara:

View attachment 1996270

Ikumbukwe pia Fred Kapara aliwahi ibuka pia kwenye case almaarufu ya kujiteka kwake bwana Abdul Nondo. Huko pia bwana huyu alikuwa shahidi upande wa mashtaka kutokea Tigo kama hivi hivi.

Fred Kapara anataka mahakama imwamini kuwa hakuwahi kumsikia Freeman Aikael Mbowe popote pale duniani!

Shahidi huyu bila shaka wa kimkakati anadai pamoja na kuwapo watu wengine katika legal department huko Tigo yeye tu ndiye aliyeshughulikia suala hili.

"Yeye ndiye aliyepokea barua yenye ombi la kufuatilia nyendo za namba ya Mheshimiwa Mbowe kutokea polisi. Yeye ndiye aliyelifanyia kazi ombi hilo. Yeye ndiye aliyewasilisha maelezo polisi na Yeye ndiye aliye kinara mahakamani kumkaanga Mh. Mbowe."

Kwa mtaji huu, Fred Kapara ndiye legal team, Tigo na legal team ndiye yeye pale.

Kwamba zilitakiwa taarifa za usajili na za miamala ya pesa kutokea kwenye namba hiyo kwa kipindi cha tokea Jun 1 - Jun 31, 2020.

Kama mchezo wa kuigiza vile 😁😁:

1. June ina siku 30 lakini walihitaji hata siku ya 31.
2. Mbowe alishambuliwa na watu wasiojulikana 8 Jun 2020 na akaendelea kuwa out of action kwa muda mrefu.
3. Fred akapeleka taarifa zote alizoweza kuzipata kuhusu namba hiyo zikiwamo za bonus ambazo hakuwa ameulizwa.
4. Hapakuwa na kigezo chochote cha kisheria au kimaadili kilichozingatiwa kwenye utoaji wa taarifa hizo.

Shahidi huyu ambaye kimsingi ni mwana sheria akaendelea kuchanganya mambo:

View attachment 1996426

Kabla ya kuhitimisha kuwa:

1. Alikuwa ame-print kutokea kwenye screen server 😁😁.
2. Hakuwahi kusikia popote uwapo DB2 software (ambazo hata hivyo ni literally obsolete) na akafanywa kukubali kuwa ndiyo latest.
3. Hakuwahi kuisikia kuhusu program habari ya mujini ya udukuzi kwenye telecommunications Industry sasa, ya "Pegasus" wala uwezo kujua wake.
4. Shahidi hajui SQL ni nini. Anafanywa kuamini ni software yenye version 😁😁.
5. Hajui kuwa hakuna jargon LINU katika IT.
6. Hajui maana ya server wala aina zake.
7. Anasema Tigo wako secure kwa sababu wana Cisco, kuna firewall na switch ya Huawei.
8. Hana taarifa zozote wala kuujua umahiri wa hackers 😁😁.
9. Nk nk

Ni wazi kuwa shahidi kaipotezea mahakama muda mwingi kupitia mambo ya kitalaamu asiyokuwa na ujuzi nayo.

Kwamba Mbowe alituma pesa kwa simu kipindi hicho? Kwani ni kosa kutuma pesa? Waliotumiwa wamethibitisha kuwa zilikuwa za kufanyia ugaidi?

Ikumbukwe pia alicho print anaweza print mtu mwingine yeyote katika format hiyo hiyo bila kuhusianisha server yoyote yaTigo.

Nini thamani ya ushahidi kama huu?
Uyu mhuni Kama wahuni wengine, nimeamini watu wengi wapo Magerezani sio KWa kua ni wahalifu bali tokana sarakasi za watu, kesi hii imetufumbua macho Sana aisee
 
Pumbavu mkubwa. Mbowe alishambuliwa?

Mtu ukiwa Hospital huwezi kufanya miamala? Mpuuzi mkubwa. Pumbavu.
ACHA matusi wewe mtu anaugulia MAUMIVU alafu awe katika arakati za kufanya UGAIDI, ok ata Kama akifanya miamala so what ? Unampangia mtu matumizi ya pesa amtumie nani, ? Kama alituma unajua ilikua KWa sababu zip?

Matusi Kama yote inakusadia nini, huna adabu na laana iwe juu yako
 
Dalili ya kukosa hoja. Timu yao nzima ime retreat mashimoni:

IMG_20211016_132442_593.jpg

Kwa hakika penye ukweli, uongo hujitenga kama mafuta na maji tu.
 
Dalili ya kukosa hoja. Timu yao nzima ime retreat mashimoni:

View attachment 1996615

Kwa hakika penye ukweli, uongo hujitenga kama mafuta na maji tu.
Mie mkuu huwa na shangaa ,kwani mtu akijibu hoja hawezi kueleweka, ? matusi yanasaidia nini ? ccm ina vijana wa ajabu Sana japo sio wote

Kuna Watu nawapenda Sana pamoja na kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa mfano MAMA D ,nampenda Sana sijui ameolewa na Kama bado naomba connection , lakin awe tiyari kuamia Chadema
Ukiona wako kimya hivyo ujue ndiyo kuumbuka kwenyewe.

Uzuri wanajua we are not stupid.
 
Mie mkuu huwa na shangaa ,kwani mtu akijibu hoja hawezi kueleweka, ? matusi yanasaidia nini ? ccm ina vijana wa ajabu Sana japo sio wote

Kuna Watu nawapenda Sana pamoja na kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa mfano MAMA D ,nampenda Sana sijui ameolewa na Kama bado naomba connection , lakin awe tiyari kuamia Chadema

Nakubaliana na wewe mama D ni people. Unakwitwa huku upokee pongezi zako dada.

johnthebaptist taabu yake huwa dishi kuyumba yumba. Ila siku moja moja naye huwa wamo.

Jumbe Brown huyu yeye uchawa. Kwa maana huyu sasa ni chawa wa kutupwa, ila ustaarabu anao. Si haba

Kazi ni hizo mburumundu zingine 😁😁.
 
Jamani asante sana 4 7mbatizaji nakupenda pia maana wewe mtu una akili za moyoni na kichwani pia kwenye mijadala.
Halafu mimi niko huru ujue!? Naweza kuwa kwenye chama chochote kama mtanzania ila ni kwamba tuu, sijapata ushawishi bado☺☺
 
Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza:

Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara:

View attachment 1996270

Ikumbukwe pia Fred Kapara aliwahi ibuka pia kwenye case almaarufu ya kujiteka kwake bwana Abdul Nondo. Huko pia bwana huyu alikuwa shahidi upande wa mashtaka kutokea Tigo kama hivi hivi.

Fred Kapara anataka mahakama imwamini kuwa hakuwahi kumsikia Freeman Aikael Mbowe popote pale duniani!

Shahidi huyu bila shaka wa kimkakati anadai pamoja na kuwapo watu wengine katika legal department huko Tigo yeye tu ndiye aliyeshughulikia suala hili.

"Yeye ndiye aliyepokea barua yenye ombi la kufuatilia nyendo za namba ya Mheshimiwa Mbowe kutokea polisi. Yeye ndiye aliyelifanyia kazi ombi hilo. Yeye ndiye aliyewasilisha maelezo polisi na Yeye ndiye aliye kinara mahakamani kumkaanga Mh. Mbowe."

Kwa mtaji huu, Fred Kapara ndiye legal team, Tigo na legal team ndiye yeye pale.

Kwamba zilitakiwa taarifa za usajili na za miamala ya pesa kutokea kwenye namba hiyo kwa kipindi cha tokea Jun 1 - Jun 31, 2020.

Kama mchezo wa kuigiza vile [emoji16][emoji16]:

1. June ina siku 30 lakini walihitaji hata siku ya 31.
2. Mbowe alishambuliwa na watu wasiojulikana 8 Jun 2020 na akaendelea kuwa out of action kwa muda mrefu.
3. Fred akapeleka taarifa zote alizoweza kuzipata kuhusu namba hiyo zikiwamo za bonus ambazo hakuwa ameulizwa.
4. Hapakuwa na kigezo chochote cha kisheria au kimaadili kilichozingatiwa kwenye utoaji wa taarifa hizo.
5. Nk

Shahidi huyu ambaye ni mwanasheria akaendelea kuchanganya mambo:

View attachment 1996426

Kabla ya kuhitimisha kuwa [emoji16][emoji16]:

1. Alikuwa ame-print kutokea kwenye screen server.
2. Hakuwahi kusikia popote kuwahi kuwepo DB2 software (ambazo hata hivyo ni literally obsolete) na akafanywa (na mawakili wa wasomi) kukubali kuwa ndiyo eti ndiyo latest.
3. Hakuwahi kuisikia kuhusu program habari kubwa na habari ya mujini ya udukuzi kwenye telecommunications Industry sasa, ya "Pegasus", wala kujua uwezo wake.
4. Shahidi hajui SQL ni nini. Anafanywa kuamini ni software yenye version.
5. Hajui kuwa hakuna jargon "LINU" katika IT anafanywa kuamini ipo.
6. Hajui maana ya server wala aina zake.
7. Anasema Tigo wako secure kwa sababu wana Cisco, kuna firewall na switch ya Huawei.
8. Hana taarifa zozote wala kuujua umahiri wa hackers.
9. Nk nk

Ni wazi kuwa shahidi huyu kaipotezea mahakama muda mwingi kupitia mambo ya kitalaamu asiyokuwa na ujuzi nayo.

Kwamba Mbowe alituma pesa kwa simu kipindi hicho? Kwani ni kosa kutuma pesa? Mbona wengi tu tulituma zikiwamo na za kutolea?

Ikumbukwe pia alicho print anaweza print mtu mwingine yeyote katika format hiyo hiyo (na hata nzuri zaidi ikibidi) bila kuhusianisha server yoyote yaTigo.

Swali la msingi, nini thamani ya ushahidi huu?
brazaj,
Nilikuwa nakutafuta sana unisaidie kitu kimoja ambacho sijakisikia Jana kwa mawakili wa utetezi nadhani wamespare mpaka majumuisho yao.
Hivi kwenye caution statement ya Kasekwa ambayo Polisi wanaitegemea kuliko kitu chochote kuna muamala wa 500,000/-?
 
Ningekuwa wakili wa utetezi ningezungumzia sana barua ya utetezi. Shahidi amekana ilipita kwa watu wengine. Ni kama ilikuja kwake na akaishighulikia bila mtu mwingine mpaka ikatoka. Na huku yeye ni legal officer tu!

Kawaida ya makampuni, jambo kama hili nimla uongozi wa juu kabisa, na legal officer angeombwa tu kutoa ushauri wa itajibiwa vipi na taarifa zitakuwa na kikomo gani!! Inashangaza legal officer ndio anakuwa tena na utaalamu wa IT kiasi anaweza kufanya anachoambiwa na outside entity kwa kuwa tu ni ya serikali kufanywa wanachotaka bila hata kujua sababu ni nini.

Ningependa kujua kama uongozi wa Tigo ndio uliotoa maelekezo wa aliyofanya shahidi!! Au jamaa ni mmoja wa wadukuzi ndani ya Tigo.

Huu ni mnyororo ule ule:

Mwenye kesi (tssi), polisi (tssi), magereza (tssi), jaji (tssi), shahidi (tssi).

Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

Hao ndiyo wenye kesi.

Kesi ya ngedere kula mahindi iko kwa hakimu nyani.

Bila shaka Jaji Siyani anafuatilia baraka zake.
 
Nakubaliana na wewe mama D ni people. Unakwitwa huku upokee pongezi zako dada.

johnthebaptist taabu yake huwa dishi kuyumba yumba. Ila siku moja moja naye huwa wamo.

Jumbe Brown huyu yeye uchawa. Kwa maana huyu sasa ni chawa wa kutupwa, ila ustaarabu anao. Si haba

Kazi ni hizo mburumundu zingine 😁😁.

Bro brazaj j mwenyewe huyo😃😃😃
 
Nachelea sana kuingiza "hisia" na "
clarence-darrow-lawyer-quote-justice-has-nothing-to-do-with-what-goes.jpg
ushabiki koko" kwa kinachoendelea mahakamani....🤣
 
Nachelea sana kuingiza "hisia" na "View attachment 1996637ushabiki koko" kwa kinachoendelea mahakamani....🤣

Chawa ni sifa siyo tusi mkuu. Ni katika kutambua tu jitihada zako za kuunga mkono yote ya mama and unconditionally. Zikiwamo hizi:

IMG_20211031_084553_273.jpg

Hata kama ni kwa kurambwa bakora kila asubuhi ikibidi 😁😁.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Jamani asante sana 4 7mbatizaji nakupenda pia maana wewe mtu una akili za moyoni na kichwani pia kwenye mijadala.
Halafu mimi niko huru ujue!? Naweza kuwa kwenye chama chochote kama mtanzania ila ni kwamba tuu, sijapata ushawishi bado☺☺
Barikiwa Sana mkuu
 
brazaj,
Nilikuwa nakutafuta sana unisaidie kitu kimoja ambacho sijakisikia Jana kwa mawakili wa utetezi nadhani wamespare mpaka majumuisho yao.
Hivi kwenye caution statement ya Kasekwa ambayo Polisi wanaitegemea kuliko kitu chochote kuna muamala wa 500,000/-?

Ulikuwa wanitafutia pande za wapi mkuu wangu?

Kuhusu hoja yako sina uhakika ila kwa kujumlisha moja na moja hiyo itakuwa haimo.

Kumbuka kitita kizima cha kufadhili ugaidi ni around 600,000/=.

Humo zimo pesa za nauli na hata za kununulia nguo kama incentives kwa mujibu wa shahidi kiongozi, mzee wa curable mistakes 😁😁.
 
Endeleeni kuota,Ila lazima mtakipata tu na huyo gaidi wenu
 
Back
Top Bottom