- Thread starter
- #101
Mbowe alishambuliwa na nani akati alilewa faru hamuoni aibu kuongea unafiki
Tunavyojua sisi alishambuliwa. Kwani unavyojuwa wewe Moses Lijenje kajiteka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe alishambuliwa na nani akati alilewa faru hamuoni aibu kuongea unafiki
Alifanya ujambazi na kutesa watu,na wewe unajua.Mbona sabaya alipofungwa mlifurahi hamkulalamika hivi
Chawa ni sifa siyo tusi mkuu. Ni katika kutambua tu jitihada zako za kuunga mkono yote ya mama and unconditionally. Zikiwamo hizi:
View attachment 1996640
Hata kama ni kwa kurambwa bakora kila asubuhi ikibidi 😁😁.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Endeleeni kuota,Ila lazima mtakipata tu na huyo gaidi wenu
Changamoto yetu kama TAIFA inaanzia kwenye mfumo wa elimu na taratibu za akira.Katika kitengo a.k.a Idara watu walikuwa spotted wakiwa madarasa ya chini kabisa na hasa darasa la nne, utatatibu huu ulizingatia mambo mbalimbali ikiwemo nidhamu, uwezo kiakili, maadili binafsi na ya familia ya muhusika nk.Siku hizi tunampelekana tu.Vigezo havizingatiwi sana , intelligence you have to be intelligent.Hii serikali bado haijitambui. Na hili ni tatizo la kuajiri watu walio desa na vyeti vya watu.
Huyu mfanyakazi wa tigo, ni yule yule alie toa taarifa za uongo kuhusu Abdul Nondo kwamba alijiteka. Leo ndie huyo huyo ana sema hamjui Mbowe. Ati mwana sheria halafu anaongea uongo mahakamani.
Huyu muongo ndie Siro ana taka awe shahidi wa serikali na ushahidi wake upokelewe kumtia hatiani Mbowe.
Ndie ambae hatunzi siri za wateja zaidi ya kuzisambaza siri za wateja.
Nashauri tigo wale kichwa chake kwa usalama wa kampuni.
Bila shaka hili likitokea litaongeza salio kwenye account yako kama unayo.
Mbona sabaya alipofungwa mlifurahi hamkulalamika hivi
Hii serikali bado haijitambui. Na hili ni tatizo la kuajiri watu walio desa na vyeti vya watu.
Huyu mfanyakazi wa tigo, ni yule yule alie toa taarifa za uongo kuhusu Abdul Nondo kwamba alijiteka. Leo ndie huyo huyo ana sema hamjui Mbowe. Ati mwana sheria halafu anaongea uongo mahakamani.
Huyu muongo ndie Siro ana taka awe shahidi wa serikali na ushahidi wake upokelewe kumtia hatiani Mbowe.
Ndie ambae hatunzi siri za wateja zaidi ya kuzisambaza siri za wateja.
Nashauri tigo wale kichwa chake kwa usalama wa kampuni.
Bila shaka hili likitokea litaongeza salio kwenye account yako kama unayo.
Ningekuwa wakili wa utetezi ningezungumzia sana barua ya utetezi. Shahidi amekana ilipita kwa watu wengine. Ni kama ilikuja kwake na akaishighulikia bila mtu mwingine mpaka ikatoka. Na huku yeye ni legal officer tu!
Kawaida ya makampuni, jambo kama hili nimla uongozi wa juu kabisa, na legal officer angeombwa tu kutoa ushauri wa itajibiwa vipi na taarifa zitakuwa na kikomo gani!! Inashangaza legal officer ndio anakuwa tena na utaalamu wa IT kiasi anaweza kufanya anachoambiwa na outside entity kwa kuwa tu ni ya serikali kufanywa wanachotaka bila hata kujua sababu ni nini.
Ningependa kujua kama uongozi wa Tigo ndio uliotoa maelekezo wa aliyofanya shahidi!! Au jamaa ni mmoja wa wadukuzi ndani ya Tigo.
We fala pambana na hali yako,mi siishi kwa kuunga unga mdogo wangHamia Burundi
We fala pambana na hali yako,mi siishi kwa kuunga unga mdogo wang
Kukutofautisha na MBUDA ni ngumu sana.😃😃ANZISHENI
CHADEMA -audio
Mbowe-Pesa
Freeman -data
ILA VIDEZO NA MASHARTI VITAZINGATIWA
Hivi vituko vinapatikana Tanzania tuHabari ndio hiyo , inasemekana hawakujua hata kama anaenda kutoa ushahidi ! na wao wamesoma JF
Hawa ndio wanaotuibia masalio yetu kwenye simu,mtu umejiunga bando umepata gb 1,umewasha tu nusu saa unaambiwa bando lako limeisha,unabaki unashangaa imekuwajeHata level ya Diploma bila shaka ni mwongo. Shahidi ni mweupe pee!
1. Anaambiwa maneno ya ajabu ajabu yasiyo kuwapo (LINU) hana guts za kuysema makavu makavu ana meza!
2. Hakuna alichomkatalia Kibatala kama jargons za IT ambazo zote zilikuwa 100% wrong!
3. Servers kuna web servers, proxy servers, file servers, mail servers, print servers nk shahidi hajui!
4. Nk.
Huyu bwana angejitendea haki kukiri kuwa alikuwa ni afisa kipenyo sentry Tigo tu.
View attachment 1996395
Huyu kama ni mtalaamu aliyekuwa kategemewa basi ni kweli tumesheheni Mazuzu kila mahali.
Mbona umechukia?Hayaaa!!Pumbavu mkubwa. Mbowe alishambuliwa?
Mtu ukiwa Hospital huwezi kufanya miamala? Mpuuzi mkubwa. Pumbavu.
Sometimes you are right mkuu.Nataman Mbowe athibitishwe kuwa hana hatia lakin sio kwa approa h hiz za mihemko huku mitandaoni.
Tunakosa kuwa objective kwenye ku perceive hiz proceedings za mahakam
Kwani wewe kwa uelewa wako yule shahidi umemchukulia kama lawyer au IT Person?Na kwa uelewa wako unadhan shahidi katoa ushahidi usioacha shaka wa kumtia mtu hatiani?
Mtu anacomment eti Shahidi alikuja kutoa ushahidi Mahakamani bila Top Mgt ya Tigo kufahamu,inaingia akilini kweli hiyo? Halafu wakati tunamlaumu huyu wa Tigo lakini tunaisifu Mahakama kwa Shahidi aliyetoka Vodacom kutoa ushahidi kwa kesi ya Sabaya.Kumbe ni sawa Kampuni ya simu kutoa ushahidi kwa Sabaya ila ni kosa kubwa (hapa JF) kwa Kampuni ya Simu kutoa ushahidi kwa kesi hii.
Watu wajielekeze kwenye ushahidi wenyewe uliyotolewa na siyo aliyekuja kutoa ushahidi.Vinginevyo tutajikuta tunatoa povu kwa kila shahidi anaesimama Mahakamani ambayo hauna msaada kwa Watuhumiwa kuamua matokeo ya kesi yenyewe.