wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,720
- 2,151
Unajaribu kukisia majibu tusubiri Mbowe ajibu na atoe hizo sababu je akisema ajakutana nae na wala ajawahi kuchukua hayo majina utasemaje?Hayo majina akiwemo Sabaya, sasahivi wamehukumiwa miaka 30. Bado huoni kwa nini Mbowe aliyahitaji majina hayo? Hasa ukichukilia yeye Mbowe alikua ni Mbunge wa Hai ambako wahalifu hao walikuwepo wakiongozwa na aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai. Mbunge alikua anapewa taarifa na wananchi (akiwemo Kaaya) juu ya uhalifu wa hao wenye majina.