wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,720
- 2,151
Yote haya yameingizwa kwenye maelezo ya ushahidiHayo yote sio sehemu ya vielelezo ndio maana hata bwana kaaya alishindwa kuyataja kwenye maelezo aliyoyatungia Polisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote haya yameingizwa kwenye maelezo ya ushahidiHayo yote sio sehemu ya vielelezo ndio maana hata bwana kaaya alishindwa kuyataja kwenye maelezo aliyoyatungia Polisi
Umuhimu wake ni maelezo yake na matendo ya Mbowe ambayo aliyafanya. Ni kithibitisho cha alichofanya gaidi kama atabainika kuwa gaidiShahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia jinai yoyote ikijadiliwa kwenye mahusiano yake na Mh. Mbowe. Kwamba hakuwahi kuhusishwa katika mpango wala mkutano wowote wa kumdhuru mtu yeyote.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwahi kudhulumiwa au kujisikia kutokutendewa haki popote na Mheshimiwa Mbowe. Kwamba wala hakuwahi kusikia wala kuona Mh. Mbowe akipanga au kumtendea yeyote ndivyo sivyo.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwa na shaka yoyote na Mheshimiwa Mbowe au washirika aliokuwa nao. Ndiyo maana hakuwahi kutoa ripoti au taarifa popote ikiwamo polisi.
Hakuwahi kutoa onyo lolote la tahadhari au vyovyote kwa Sabaya, Jesca au washirika wa Sabaya kwa kuwa hakukuwa na sababu hiyo.
Zaidi sana kwa mukthadha wa kesi hii, Justin Kaaya hakuwahi hata kukutana na Adamoo, Ling'wenya, wala Lijenje kabla ya kukamatwa kwao.
Kwenye mazingira haya Justin Kaaya alikuwa na umuhimu gani kwenye kesi hii?
Au ni mwendelezo ule ule wa kustajaabu vigezo vya hukumu kama zile za mapingamizi?
Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri
Mbowe amekiri kuyapokea hayo majina aliyopewa na Kaaya? Na unajua aliyataka kwa sababu gani?Yaani huyu eti ndo Shahid wa Jamhuri... hapohapo amesema kuwa Wabunge ni viongozi hivyo wanasimamia kuondoa uhalifu, Sasa Mbowe ni mbunge...na alikuwa anapambana na uhalifu wa Sabaya ambae sasa hivi amefungwa miaka 30 kwa kosa la uhalifu. Sasa kosa la Mbowe ni lipi hapo kupambana na mhalifu?
Nafikiri Shahidi ana umuhimu wa ku link kwamba Mbowe alikuwa na dhamira ya kumdhuru Sabaya, kuwa alienda kutafuta namba za watu wake wa karibu, ikiwemo walinzi wake..Sisemi kuwa ushahidi wake una mashiko ila lengo la ushahidi wake ndio huoShahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia jinai yoyote ikijadiliwa kwenye mahusiano yake na Mh. Mbowe. Kwamba hakuwahi kuhusishwa katika mpango wala mkutano wowote wa kumdhuru mtu yeyote.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwahi kudhulumiwa au kujisikia kutokutendewa haki popote na Mheshimiwa Mbowe. Kwamba wala hakuwahi kusikia wala kuona Mh. Mbowe akipanga au kumtendea yeyote ndivyo sivyo.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwa na shaka yoyote na Mheshimiwa Mbowe au washirika aliokuwa nao. Ndiyo maana hakuwahi kutoa ripoti au taarifa popote ikiwamo polisi.
Hakuwahi kutoa onyo lolote la tahadhari au vyovyote kwa Sabaya, Jesca au washirika wa Sabaya kwa kuwa hakukuwa na sababu hiyo.
Zaidi sana kwa mukthadha wa kesi hii, Justin Kaaya hakuwahi hata kukutana na Adamoo, Ling'wenya, wala Lijenje kabla ya kukamatwa kwao.
Kwenye mazingira haya Justin Kaaya alikuwa na umuhimu gani kwenye kesi hii?
Au ni mwendelezo ule ule wa kustajaabu vigezo vya hukumu kama zile za mapingamizi?
Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri
Hawa vijana wa ccm reasoning capacity yao ni ndogo sana mpaka wanatia huruma kwa kweli, sasa kitu kidgo kama hicho ameshindwa kuelewa kweli?Maelezo yanayolekodiwa polisi ndio yanayotumika kufungulia kesi na yanapelekwa Mahakamani kabla ya kesi Kuanza. Ndio maana Kuna wakati mawakili wanayaomba na kumwambia asome baadhi ya maelezo ili walinganishe anachokiongea Mahakamani na alichokisema alipo kuwa polisi.
Sametimes jalibu kuficha ujinga, sio kujianika namna hiyo
Kwa jicho la kisheria, maelezo ya shahidi #2 kwenye eneo hilo, yametumiwa na Kibatala kwa faida ya Mbowe. Ameyaweka kwa namna ambayo hata shahidi hakujua anaelekezwa kutoa faida kwa Mbowe. Mawakili na Jaji, wameliona hilo na imewekwa kwenye records.Nadhani Kibatala hakuigeuza bali kamsaidia kumfafanulia tu.
Ndiyo maana baadhi ya watajwa wamekwisha hukumiwa.
Kama Mh. Mbowe alivyomwambia kwa maana halisi ya kuwa:
"The rest wasn't his business."
Ni kweli alikutana. Ni kweli alimpa pesa. Ni kweli alikua na mawasiliano naye kwa simu na kuonana. Ni kweli alipewa majina ya wahalifu wa genge la Sabaya nk.Je ni kweli Mh Mbowe alikutana na Kaaya Arusha mjini na huko kijijini kwao? Na je ni kweli alimpa pesa?
Kama hayo mambo ni kweli Mh Mbowe atajibu kwa nini walikutana na sababu ya
Kumtumia pesa kwenye simu ya Kaaya ataitoa
Baada ya maelezo ya Mbowe na vielelezo kutolewa hapo ndio atajulikana nani mkweli?
Hayo majina akiwemo Sabaya, sasahivi wamehukumiwa miaka 30. Bado huoni kwa nini Mbowe aliyahitaji majina hayo? Hasa ukichukilia yeye Mbowe alikua ni Mbunge wa Hai ambako wahalifu hao walikuwepo wakiongozwa na aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai. Mbunge alikua anapewa taarifa na wananchi (akiwemo Kaaya) juu ya uhalifu wa hao wenye majina.Mbowe amekiri kuyapokea hayo majina aliyopewa na Kaaya? Na unajua aliyataka kwa sababu gani?
Kaaya kashindwa kufanya hivyo, kashindwa kujielekeza kama unavyopenda iwe. Hata Jaji anajua kwamba, shahidi huyo alikua wa maana hiyo, lakini kahamishwa muelekeo na Kibatala na kujikuta anamsafisha mtuhumiwa wa ugaidi Mbowe na amekiri kwamba Mbowe hakuwa anafanya vikao vya uhalifu. Jaji kazi yake ni kuandika na mwisho ni kutoa ruling.Nafikiri Shahidi ana umuhimu wa ku link kwamba Mbowe alikuwa na dhamira ya kumdhuru Sabaya, kuwa alienda kutafuta namba za watu wake wa karibu, ikiwemo walinzi wake..Sisemi kuwa ushahidi wake una mashiko ila lengo la ushahidi wake ndio huo
Waliombambikiza kesi hii ni mazuzu tuShahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia jinai yoyote ikijadiliwa kwenye mahusiano yake na Mh. Mbowe. Kwamba hakuwahi kuhusishwa katika mpango wala mkutano wowote wa kumdhuru mtu yeyote.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwahi kudhulumiwa au kujisikia kutokutendewa haki popote na Mheshimiwa Mbowe. Kwamba wala hakuwahi kusikia wala kuona Mh. Mbowe akipanga au kumtendea yeyote ndivyo sivyo.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwa na shaka yoyote na Mheshimiwa Mbowe au washirika aliokuwa nao. Ndiyo maana hakuwahi kutoa ripoti au taarifa popote ikiwamo polisi.
Hakuwahi kutoa onyo lolote la tahadhari au vyovyote kwa Sabaya, Jesca au washirika wa Sabaya kwa kuwa hakukuwa na sababu hiyo.
Zaidi sana kwa mukthadha wa kesi hii, Justin Kaaya hakuwahi hata kukutana na Adamoo, Ling'wenya, wala Lijenje kabla ya kukamatwa kwao.
Kwenye mazingira haya Justin Kaaya alikuwa na umuhimu gani kwenye kesi hii?
Au ni mwendelezo ule ule wa kustajaabu vigezo vya hukumu kama zile za mapingamizi?
Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri
Kaaya kashindwa kufanya hivyo, kashindwa kujielekeza kama unavyopenda iwe. Hata Jaji anajua kwamba, shahidi huyo alikua wa maana hiyo, lakini kahamishwa muelekeo na Kibatala na kujikuta anamsafisha mtuhumiwa wa ugaidi Mbowe na amekiri kwamba Mbowe hakuwa anafanya vikao vya uhalifu. Jaji kazi yake ni kuandika na mwisho ni kutoa ruling.
Ni mapema sana ku conclude hivyo hatujui mashahidi wanaofuata watasema nini. Inawezekana wanajenga kesi ili baadae walete ushahidi mwingine ambao uta collaborate na ushahidi wa Kaaya.Uko sahihi mkuu. Kuomba namba au majina ya watu haijawahi kuwa uhalifu! Kujua namba na jina la mtu bila yeye mwenyewe kujua si uhalifu. Shahidi alipoulizwa kama alisikia uhalifu ukipangwa ktk vikao na akasema hapana, aliua kabisa sababu ya yeye kuwepo pale!! Alipoulizwa kama alitoa taarifa polisi, kwa Sabaya kuhusu hata kuombwa majina akasema hapana, aliua kabisa hata sababu ya yeye kutokea sasa hivi kama shahidi!! Mbaya zaidi ni kuonesha alikutana na Mbowe huku au Mbowe akiwa gerezani au yeye akiwa gerezani!! Na alipokubali kuwa maelezo yamechukuliwa baada ya kuachiwa huru - dhana ya kuwa jambo hili lilipangwa inakuja (japo kisheria sio baya).
Shahidi wa 2 hakuwa na maana iliyokusudiwa na upande wa mashitaka. Mbowe anaweza kukubali alikutana nae na kwa kuwa hakuna ripoti kuwa alitaka kuwadhuru na hawajashurika mpaka sasa - isiwe na madhara kwake.
Hakika mkuu. Hizo logics umeziweka vizuri. Hoja za mawakili wa utetezi zilifanikiwa kuharibu ushahidi wa Kaaya.Uko sahihi mkuu. Kuomba namba au majina ya watu haijawahi kuwa uhalifu! Kujua namba na jina la mtu bila yeye mwenyewe kujua si uhalifu. Shahidi alipoulizwa kama alisikia uhalifu ukipangwa ktk vikao na akasema hapana, aliua kabisa sababu ya yeye kuwepo pale!! Alipoulizwa kama alitoa taarifa polisi, kwa Sabaya kuhusu hata kuombwa majina akasema hapana, aliua kabisa hata sababu ya yeye kutokea sasa hivi kama shahidi!! Mbaya zaidi ni kuonesha alikutana na Mbowe huku au Mbowe akiwa gerezani au yeye akiwa gerezani!! Na alipokubali kuwa maelezo yamechukuliwa baada ya kuachiwa huru - dhana ya kuwa jambo hili lilipangwa inakuja (japo kisheria sio baya).
Shahidi wa 2 hakuwa na maana iliyokusudiwa na upande wa mashitaka. Mbowe anaweza kukubali alikutana nae na kwa kuwa hakuna ripoti kuwa alitaka kuwadhuru na hawajashurika mpaka sasa - isiwe na madhara kwake.
Nadhani ushahidi muhimu katika kesi hii ni yale maelezo ya watuhumiwa ya kukiri kosa ambayo yaliwekewa pingamizi lakini mwisho wa siku mahakama ikayapokea!
Wewe jamaa akili zako ZA kishenzi kama meko na Sabaya wake.Alipotelea Moshi tumuulize Gaidi Mbowe. Cha kushangaza tangu apotee mlikuwa hamuulizi yuko wapi tangu mwaka jana lakini baada ya kukamatwa Gaidi Mbowe eti ndiyo mnajidai kuwaonea huruma hao Makomando watumia madawa ya kulevya.
Toka wakamatwe mwaka jana hakuna hata Chadomo mmoja aliyewahi kuandika humu kama wamekamatwa lakini Gaidi Mbowe alipokamatwa tu July 2021 ndiyo tukajua kuna Makomando wa madawa ya kulevya walikamatwa mwaka jana.
Mmewaponza nyinyi Chadomo na wala hamna shida nao nyinyi shida yenu ni Gaidi Mbowe tu.
Hivyo ndivyo ulivyoona wewe?Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia jinai yoyote ikijadiliwa kwenye mahusiano yake na Mh. Mbowe. Kwamba hakuwahi kuhusishwa katika mpango wala mkutano wowote wa kumdhuru mtu yeyote.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwahi kudhulumiwa au kujisikia kutokutendewa haki popote na Mheshimiwa Mbowe. Kwamba wala hakuwahi kusikia wala kuona Mh. Mbowe akipanga au kumtendea yeyote ndivyo sivyo.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwa na shaka yoyote na Mheshimiwa Mbowe au washirika aliokuwa nao. Ndiyo maana hakuwahi kutoa ripoti au taarifa popote ikiwamo polisi.
Hakuwahi kutoa onyo lolote la tahadhari au vyovyote kwa Sabaya, Jesca au washirika wa Sabaya kwa kuwa hakukuwa na sababu hiyo.
Zaidi sana kwa mukthadha wa kesi hii, Justin Kaaya hakuwahi hata kukutana na Adamoo, Ling'wenya, wala Lijenje kabla ya kukamatwa kwao.
Kwenye mazingira haya Justin Kaaya alikuwa na umuhimu gani kwenye kesi hii?
Au ni mwendelezo ule ule wa kustajaabu vigezo vya hukumu kama zile za mapingamizi?
Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri
Subiri utaona. Mawakili kazi yao ni hiyo. Ushahidi wa upande wa jamhuri ukiwa na mashaka kama tunavyoyaona na judgement ikawa fair, hakuna kesi hapo.Hii kesi uzito wake nadhan n yale maelezo ambayo yalikataliwa kwenye kesi ndogo.... kwangu nadhani ndo msala mkubwa kwa washtakiwa... sijui watapangua kwa mbinu ipi