- Thread starter
- #61
Kungelikuwa na mahakama huru, kesi imeisha..........
Itoke wapi mahakama huru ndugu yangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kungelikuwa na mahakama huru, kesi imeisha..........
Statement ya kaaya kuwa aliripoti kwa mbunge, kibatala kaigeuza kuwa faida KWA mbowe , mbowe kama mbunge ilibidi achukue majina ya wahalifu wa sabaya Ili ashughulike nao, KWA kuripoti kwenye vyombo husika, bunge na polisi na tissShahidi anasema mbunge kazi yake ni kutunga sheria na anaweza kushughulika na uhalifu, kumbe kwa mujibu wa shahidi wetu wa jamhuri leo kuna wakati mbunge anaweza kujigeuza polisi, aisee na bado hawa jamaa watashinda kesi!
Tuna taifa limejaa mazombi sana.
Ameona isiwe tabu.Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia jinai yoyote ikijadiliwa kwenye mahusiano yake na Mh. Mbowe. Kwamba hakuwahi kuhusishwa katika mpango wala mkutano wowote wa kumdhuru mtu yeyote.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwahi kudhulumiwa au kujisikia kutokutendewa haki popote na Mheshimiwa Mbowe. Kwamba wala hakuwahi kusikia wala kuona Mh. Mbowe akipanga au kumtendea yeyote ndivyo sivyo.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwa na shaka yoyote na Mheshimiwa Mbowe au washirika aliokuwa nao. Ndiyo maana hakuwahi kutoa ripoti au taarifa popote ikiwamo polisi.
Hakuwahi kutoa onyo lolote la tahadhari au vyovyote kwa Sabaya, Jesca au washirika wa Sabaya kwa kuwa hakukuwa na sababu hiyo.
Zaidi sana kwa mukthadha wa kesi hii, Justin Kaaya hakuwahi hata kukutana na Adamoo, Ling'wenya, wala Lijenje kabla ya kukamatwa kwao.
Kwenye mazingira haya Justin Kaaya alikuwa na umuhimu gani kwenye kesi hii?
Au ni mwendelezo ule ule wa kustajaabu vigezo vya hukumu kama zile za mapingamizi?
Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri
Kama shahidi muhimu no 2 hajasema alitumiwa sms, hela ya kufanya ugaidi je hizo sms za ushahidi alitumiwa nani ?WhatsApp records? Hilo la kuwaambia Makunduchi. Hilo si la kuwaambia wenye uelewa hata kidogo tu.
Hayo ya phone records, calls, SMS nk custodian wake ni nani? Ni watu hawa hawa wasiojulikana? Integrity yake iko je? Je, hayawezi kuwa doctored?
Mi nawachukia Hadi wazazi wa ccm tanu na asp Sasa nani anamfunika mwenzake.Nina sababu 100,000,999,000,000,000,000,000,0000,000,000 za kuichukia CCM
Statement ya kaaya kuwa aliripoti kwa mbunge, kibatala kaigeuza kuwa faida KWA mbowe , mbowe kama mbunge ilibidi achukue majina ya wahalifu wa sabaya Ili ashughulike nao, KWA kuripoti kwenye vyombo husika, bunge na polisi na tiss
Kwetu tulichukia CCM mpaka mpangaji aliyekuwa anaitikati za CCM tulimfukuza .Nina sababu 100,000,999,000,000,000,000,000,0000,000,000 za kuichukia CCM
Umeuona wapi huo ushahidi wote!!??Ushahidi wa miamala, mobile phone cell tower proximity records, phone calls, sms, whatsapp records, etc
Mkuu upo ulipotea!!Enzi za Magufuli ulikuwa hatari sana.Yote kwa Mungu ni mwema.Mungu akusaidie sana maana kiburi ulichokuwa nacho kilikuwa zaidi ya like Cha Magufuli lakini Mungu fundi Bwana,Kiburi ulichokuwa nacho kilikuwa zaidi ya kile cha Cyprian Musiba huwezi amini Mungu wetu huyu ni wetu sote.@magu 2016 ulikuwa na kiburi zaidi hata Makonda ,Mungu huyu ahimidiwe kwa Imani ,matumani na mapendoNijibu vipi PGO iliwasaidia chochote?
Ameona isiwe tabu.
Kuna madogo wakipewa tu ile tshirt ya ccm akili zinaruka.Shahidi anasema mbunge kazi yake ni kutunga sheria na anaweza kushughulika na uhalifu, kumbe kwa mujibu wa shahidi wetu wa jamhuri leo kuna wakati mbunge anaweza kujigeuza polisi, aisee na bado hawa jamaa watashinda kesi!
Tuna taifa limejaa mazombi sana.
Uliishia la ngapi????? Usije yukawa wewe ndo kibajaji????
Yaani huyu eti ndo Shahid wa Jamhuri... hapohapo amesema kuwa Wabunge ni viongozi hivyo wanasimamia kuondoa uhalifu, Sasa Mbowe ni mbunge...na alikuwa anapambana na uhalifu wa Sabaya ambae sasa hivi amefungwa miaka 30 kwa kosa la uhalifu. Sasa kosa la Mbowe ni lipi hapo kupambana na mhalifu?
Hii kesi inanikumbusha kitu inaitwa 'Kangaroo Court' au vipi?Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia jinai yoyote ikijadiliwa kwenye mahusiano yake na Mh. Mbowe. Kwamba hakuwahi kuhusishwa katika mpango wala mkutano wowote wa kumdhuru mtu yeyote.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwahi kudhulumiwa au kujisikia kutokutendewa haki popote na Mheshimiwa Mbowe. Kwamba wala hakuwahi kusikia wala kuona Mh. Mbowe akipanga au kumtendea yeyote ndivyo sivyo.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwa na shaka yoyote na Mheshimiwa Mbowe au washirika aliokuwa nao. Ndiyo maana hakuwahi kutoa ripoti au taarifa popote ikiwamo polisi.
Hakuwahi kutoa onyo lolote la tahadhari au vyovyote kwa Sabaya, Jesca au washirika wa Sabaya kwa kuwa hakukuwa na sababu hiyo.
Zaidi sana kwa mukthadha wa kesi hii, Justin Kaaya hakuwahi hata kukutana na Adamoo, Ling'wenya, wala Lijenje kabla ya kukamatwa kwao.
Kwenye mazingira haya Justin Kaaya alikuwa na umuhimu gani kwenye kesi hii?
Au ni mwendelezo ule ule wa kustajaabu vigezo vya hukumu kama zile za mapingamizi?
Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri
Je ni kweli Mh Mbowe alikutana na Kaaya Arusha mjini na huko kijijini kwao? Na je ni kweli alimpa pesa?Atende "hayo yaliyodaiwa" yapi ndugu mjumbe?
Katika ushahidi wa Kaaya jambo kubwa ni kweli Mbowe alikutana na Kaaya na alimpa pesa? Sababu gani zilizomfanya Mbowe akutane na Kaaya na kumlipa ujila wa tsh200000/=Huu ushahidi wa kusema mbunge anaweza kujigeuza polisi kwasababu anatunga sheria?!