denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Huu ushahidi wa kusema mbunge anaweza kujigeuza polisi kwasababu anatunga sheria?!Kwenye ushahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ushahidi wa kusema mbunge anaweza kujigeuza polisi kwasababu anatunga sheria?!Kwenye ushahidi
Shahidi anasema mbunge kazi yake ni kutunga sheria na anaweza kushughulika na uhalifu, kumbe kwa mujibu wa shahidi wetu wa jamhuri leo kuna wakati mbunge anaweza kujigeuza polisi, aisee na bado hawa jamaa watashinda kesi!
Tuna taifa limejaa mazombi sana.
Kwenye ushahidi
Kaaya ni bonge la kiazi kilichooza kabisa. Na kwa namna akili yake ilivo ndo maana yuko CCM.
Ushahidi wa miamala, mobile phone cell tower proximity records, phone calls, sms, whatsapp records, etcUshahidi upi mjomba wa Kingai au wa Kaaya?
Unajua kuwa ushahidi huo unabishaniwa na ndiyo maana ngoma iko mahakamani? Mbaya zaidi inawezekana kuwa kuna watu hata ni marehemu ila kuna ma ibilisi hayataki kusema...
Hivi huko lumumba huwa wanawafyamba tigo ndio mnaingia mitandaoni?At the very least, kama ushahidi huo ni wa kweli, unampa picha mbaya tena mbaya sana Mbowe. Kwanini atende hayo yaliyodaiwa? Kwa nia gani nzuri?
Wakiharibu huwa wanawakana ccm ni mayuda mazuzu!Wenyewe wamemkana mkuu:
View attachment 1989934
Hii ni hata pale walipojaribu kukumbushwa:
View attachment 1989937
Walimkana hata Hamza hao ndo walivyo. Sabaya tu ndo hawajamkana labda kwa vile alikuwa na cheo cha Generali.Wenyewe wamemkana mkuu:
View attachment 1989934
Hii ni hata pale walipojaribu kukumbushwa:
View attachment 1989937
Ushahidi wa miamala, mobile phone cell tower proximity records, phone calls, sms, whatsapp records, etc
Most of what you're saying is very unlikely. Common sense should be enough to dispel your argumentsWhatsApp records? Hilo la kuwaambia Makunduchi. Hilo si la kuwaambia wenye uelewa hata kidogo tu.
Hayo ya phone records, phone calls, SMS nk custodian wake ni nani? Ni watu hawa hawa wasiojulikana? Integrity yake iko je? Je, hayawezi kuwa doctored?
Msipende kutendea wenzenu mambo ambayo hampendi mtendewe! maisha yenyewe mafupi duniani hapa......
Hayo yote sio sehemu ya vielelezo ndio maana hata bwana kaaya alishindwa kuyataja kwenye maelezo aliyoyatungia PolisiUshahidi wa miamala, mobile phone cell tower proximity records, phone calls, sms, whatsapp records, etc
Alipotelea Moshi tumuulize Gaidi Mbowe. Cha kushangaza tangu apotee mlikuwa hamuulizi yuko wapi tangu mwaka jana lakini baada ya kukamatwa Gaidi Mbowe eti ndiyo mnajidai kuwaonea huruma hao Makomando watumia madawa ya kulevya.Ninaamini kikombe hiki hukumwacha nje Hangaya, Majaliwa, Sirro, Kingai, Mahita wala wasiojulikana wote kokote kule waliko.
Haiyumkiniki tuko pamoja katika kuwahitaji bila kukomaa wamrejeshe Moses Lijenje:
View attachment 1989952
Familia yake wanajisikiaje katika hali hii?
Most of what you're saying is very unlikely. Common sense should be enough to dispel your arguments
Umemsikia shahidi vizuri kuhusu number za simu?Ushahidi wa miamala, mobile phone cell tower proximity records, phone calls, sms, whatsapp records, etc