Kesi ya Mbowe: Umuhimu wa Ushahidi wa Kaaya ni upi?

Kesi ya Mbowe: Umuhimu wa Ushahidi wa Kaaya ni upi?

Yaani Kingai na Mahita kusema ukweli wanaonekana ndio wakuundugu Sana ktk jeshi hili
 
Tumuombee Mungu amtie nguvu, kwani ni wazi hukumu yake imeshaandikwa. Their hands are tied, and independence compromised for their bellies sake.

Mkuu, msimamo huu umekuwa very optimal katika kushughulika na watu kama hawa ambao haki na usawa haviwahusu:

IMG_20211021_190628_385.jpg

Hawana utu wala ubinadamu. Si unaweza jipya ugonjwa wa moyo bure?
 
Yaani Kingai na Mahita kusema ukweli wanaonekana ndio wakuundugu Sana ktk jeshi hili

Hao ni katika wale wasiojulikana. Wanakuja aliko Moses Lijenje.

No wonder Jaji amemwomba radhi Kingai kwa kudodoswa pasipo na kutambua umuhimu wake katika jamii.

Labda ndiyo IGP ajaye.

Hiiiiii bagosha!

Ila wajue ipo siku - wala haiko mbali.
 
Nijibu vipi PGO iliwasaidia chochote?
Nyie mlisaidiwa na jaji kwa kufuata maoni yake badala ya sheria (PGO), mahakama za Tz siku hizi ni uwanja wa kutoa maoni na kutuma salamu kwa watu watatu.
 
Mkuu unaongelea haya kwa authority ipi ya kisheria au sheria ya wapi ku-justify your points
Huwezi nielewa. Labda nikuulize maelezo ya Kaaya yaliyotolewa Polisi yana umuhimu gani kwenye kesi dhidi ya maelezo anayotoa mbele ya Jaji? Hayo Maelezo aliyoyatoa Polisi yanahusiana na kukiri au?? Hayo Maelezo hayana uzito wowote!!
 
🤣 🤣 🤣 Wewe jamaa akili yako inafikirisha sana,siyo kila kitu huwa kinahitaji siasa,vingine vinahitaji common-sense ya kawaida,Kama vielelezo havina maana kwann vipokelewe mahakamani? Kwann sheria inatambua umuhimu wa sworn statements kwenye criminal proceedings kama hazina maana? sasa msingi wa cross examinations wewe unadhan ni nn au unahisi judge huwa anacheza makidamakida?
 
Uwezo wako ni mdogo sana. Ucku mwema.
 
Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:

1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.

Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia jinai yoyote ikijadiliwa kwenye mahusiano yake na Mh. Mbowe. Kwamba hakuwahi kuhusishwa katika mpango wala mkutano wowote wa kumdhuru mtu yeyote.

Shahidi anathibitisha kuwa hakuwahi kudhulumiwa au kujisikia kutokutendewa haki popote na Mheshimiwa Mbowe. Kwamba wala hakuwahi kusikia wala kuona Mh. Mbowe akipanga au kumtendea yeyote ndivyo sivyo.

Shahidi anathibitisha kuwa hakuwa na shaka yoyote na Mheshimiwa Mbowe au washirika aliokuwa nao. Ndiyo maana hakuwahi kutoa ripoti au taarifa popote ikiwamo polisi.

Hakuwahi kutoa onyo lolote la tahadhari au vyovyote kwa Sabaya, Jesca au washirika wa Sabaya kwa kuwa hakukuwa na sababu hiyo.

Zaidi sana kwa mukthadha wa kesi hii, Justin Kaaya hakuwahi hata kukutana na Adamoo, Ling'wenya, wala Lijenje kabla ya kukamatwa kwao.

Kwenye mazingira haya Justin Kaaya alikuwa na umuhimu gani kwenye kesi hii?

Au ni mwendelezo ule ule wa kustajaabu vigezo vya hukumu kama zile za mapingamizi?

Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri
Kwa ushahidi wake ni kuwa charge against Mbowe ni za kubumba, he did not witness Mbowe engaged in such stupid transactions!
Can we cal, him an adverse witness/hostile witness?

A hostile witness, also known as an adverse witness or an unfavorable witness, is a witness at trial whose testimony on direct examination is either openly antagonistic or appears to be contrary to the legal position of the party who called the witness.
 
Kesi kama hizi wapo watu unawakodi wanakutengenezea kila kitu...mnakaa miezi miwili mna practice mkimaliza mahakamani mtu hachomoki.
Usiseme hivyo, uzuri ni kuwa hujui utabandikwa maswali yapi ukapotea njia! Penye uongo ukweli utajitenga....
 
Kwa ushahidi wake ni kuwa charge against Mbowe ni za kubumba, he did not witness Mbowe engaged in such stupid transactions!
Can we cal, him an adverse witness/hostile witness?

A hostile witness, also known as an adverse witness or an unfavorable witness, is a witness at trial whose testimony on direct examination is either openly antagonistic or appears to be contrary to the legal position of the party who called the witness.

This is a case where in both testimony and direct examination, the witness openly appears contrary to the legal position of the party who called the witness.

Typical - unfavorable witness.
 
This is a case where in both testimony and direct examination, the witness openly appears contrary to the legal position of the party who called the witness.

Typical - unfavorable witness.
Kungelikuwa na mahakama huru, kesi imeisha..........
 
Back
Top Bottom