Kesi ya Mbowe: Umuhimu wa Ushahidi wa Kaaya ni upi?

Unajaribu kukisia majibu tusubiri Mbowe ajibu na atoe hizo sababu je akisema ajakutana nae na wala ajawahi kuchukua hayo majina utasemaje?
 
Sikiliza maelezo ya Kaaya vizuri acha ushabiki baada ya kuombwa hayo majina kwanza alikataa na kuwa na wasiwasi na Mbowe akampigia simu Sabaya na kiluswa kuwafahamisha alivyoambiwa na Mbowe

Baada ya hapo ndio akaanza kutoa ushirikiano kwa Mbowe kwa akili ya kawaida tu Kaaya alikuwa anatoa ushirikiano huo kwa kuambiwa na Sabaya,Kiluswa na polisi
 
Unajaribu kukisia majibu tusubiri Mbowe ajibu na atoe hizo sababu je akisema ajakutana nae na wala ajawahi kuchukua hayo majina utasemaje?

Mbowe siyo Kaaya au Cpl. Abdallah. Msingi wote wa hoja keshaweka wakili msomi Kibatala.

Shahidi Sirro, vituo kadhaa vya polisi nk, hadi bungeni aliko wasilisha malalamiko yake kutokana na faulo za Sabaya na washirika wake.

Bila shaka ndiyo maana ndiyo maana Sirro na SABAYA wenyewe ni mashahidi wa Mbowe kwenye kesi hii.
 

Kaaya hukuwahi kuwasiliana na Sabaya wala polisi zaidi ya mbunge wa longido (aliyempuuza) kuhusiana na lolote baina yake na Mbowe.

Huyo mwingine Kiluswa ni nani na katajwa wapi?

Inajulikana hata Jaji Siyani labda alikuwa na ushahidi zaidi tofauti na tuliosikia wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…