Kesi ya Mdee na wenzake 18 yaitia aibu CHADEMA

Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Ujinga wa ssm na akina mdee UNAILAUMU CHADEMA..ww ni mchumia tumbo
 
Finally wewe Ni mburula wa CCM, akili kiduchu
 
Akina Halima Mdee na wenzake wanajitambulisha kama wabunge wa Chadema

Hilo ndio tatizo

Kuzaa na Changu haimaanishi Wewe kavulata ni mumewe, natoa mfano tu!
Leo imeongea kitu. Hongera mpenzi wangu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Just a joke!
 
Mtoto anapofukuzwa na wazazi nyumbani ataondoka na majina yake yote. Hata watoto wa mitaani wanayo majina ya wazazi wao. Akina Mdee wamefika pale bungeni wakitokea chadema, walikuwa wanachama na viongozi halali kabisa wa chadema. Kama wao wamewafikuza nyumbani kwao bado watabaki na jina lao.

Wao wamesusia matokeo, kuwatoa bungeni akina Halima pekee hakuna faida kwa chadema. Labda kama watautambua uchaguzi ule na bunge na kupeleka wanachadema wengine bungeni. Lakini kwa namna ilivyo Sasa wanayo mamlaka ya kuwafukuza uwanachama lakini sio ubunge, maana tume ya uchaguzi ndiyo inayofahamu wabunge wote walioko bungeni walipatikaje.

Jiulizeni akina Halima walifanikiwa vipi kuingia bungeni?
Stupid, aliyekuwa gerezani alitokaje?
 
Jambo ambalo viongozi wa chadema hawapendi kuliweka wazi kujibu maswali yafuatayo:

1. Je, mwafaka (kama upo) umesabababisha chadema kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020?

2. Chadema inanufaikaje na akina Mdee kutoka bungeni Sasa?

3. Je, wabunge wa CCM ni halali?

4. Je, akina Mdee wakitoka bungeni watapeleka watu wengine kuchukua nafasi zao?

5. Chadema inapata hasara gani kwa akina Mdee kuwepo bungeni?

6. Je, ni lini chadema watatangaza kuyakubali matokeo ya uchaguzi wa 2020?
Asante sana kwa maoni yako maridhawa.
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Chadema wamefungua kesi wapi? Na wamemshtaki nani?

Amandla...
 
Binafsi wananikera sana, badala ya kuangalia na kuhangaika na chanzo (katiba na tume) wanahangaika na consequences za katiba na tume. Nani ameuroga upinzani wetu. Hata akina Mdee wakitoka, so what!!! Yaani mnawafukuza wanawake wwnu 19 bungeni na kuwaacha 400 ambao pia hamna uhakika walichaguliwaje wakifanya maamuzi kwaajili yenu wote. Mimi kwangu sioni kinachotafutwa hapa. Ndio maana nasema ni chuki iliyojisokotea kwenye ubinafsi.
Mimi nilidhani wewe ni Chadema? Sasa kwa nini unasema " mnawafukuza....wenu....yenu?

Amandla....
 
Akina Halima Mdee na wenzake wanajitambulisha kama wabunge wa Chadema

Hilo ndio tatizo

Kuzaa na Changu haimaanishi Wewe kavulata ni mumewe, natoa mfano tu!

Wakati wanagombea ubunge kwa Jimbo walipata udhamini kutoka chama gani?
 
mleta mada ni mjinga hajui hata aliyefungua kesi ni nan ndio maana nimeliambia kuwa kuendelea kufugwa kama nguruwe kwenye makorido ya ccm atazeekea hapohapo na ujinga wake na hao malaya 19 watake wasitake sio wanachadema na wanachokifanya kufikia mwez wa 11 mwaka huu hawatakuwemo bungen.

Kaka ulioma umri wa kujiunga JF?
 
Mtoto anapofukuzwa na wazazi nyumbani ataondoka na majina yake yote. Hata watoto wa mitaani wanayo majina ya wazazi wao. Akina Mdee wamefika pale bungeni wakitokea chadema, walikuwa wanachama na viongozi halali kabisa wa chadema. Kama wao wamewafikuza nyumbani kwao bado watabaki na jina lao.

Wao wamesusia matokeo, kuwatoa bungeni akina Halima pekee hakuna faida kwa chadema. Labda kama watautambua uchaguzi ule na bunge na kupeleka wanachadema wengine bungeni. Lakini kwa namna ilivyo Sasa wanayo mamlaka ya kuwafukuza uwanachama lakini sio ubunge, maana tume ya uchaguzi ndiyo inayofahamu wabunge wote walioko bungeni walipatikaje.

Jiulizeni akina Halima walifanikiwa vipi kuingia bungeni?
Kama kweli wewe ni mzaliwa wa Tanzania basi tuko na safari ndefu sana kuufikia ukombozi rasmi.
 
Crap!! Unasahau kule Bungeni wanatambulika kuwa wanatoka Chadema, regardless Chadema ilikubali au inakataa matokeo ya uchaguzi 2020 mpaka sasa!!

Hakuna aibu - neutrals tunata kujua kilichotokea. Acha jambo hilo liendelee! Tunataka kujua process iliyowapeleka Bungeni kama ndio sahihi ama la. Na kama walifukuzwa uanachama kwa uhalali.
 
Jambo ambalo viongozi wa chadema hawapendi kuliweka wazi kujibu maswali yafuatayo:

1. Je, mwafaka (kama upo) umesabababisha chadema kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020?

2. Chadema inanufaikaje na akina Mdee kutoka bungeni Sasa?

3. Je, wabunge wa CCM ni halali?

4. Je, akina Mdee wakitoka bungeni watapeleka watu wengine kuchukua nafasi zao?

5. Chadema inapata hasara gani kwa akina Mdee kuwepo bungeni?

6. Je, ni lini chadema watatangaza kuyakubali matokeo ya uchaguzi wa 2020?
Hilo la kuyakubali matokeo halina hoja acha hali iiendelee hivi hivi mpaka ccm watakapoanza kutafunana wao kwa wo kuhusu hili la covid 19 maana tulishawazoea huwa wanafanya jambo makusudi ili baadaye waje na kauli za kuomba radhi wananchi kuwa tulikosea,ya nyuma yamepita tushikamane kujenga nchi yetu.
 
CHADEMA wakubali tu walishindwa uchaguzi 2020 wala wasione aibu CCM wenzao walijipanga na sera nzuri kwa wananchi lakini Tundu alishindwa kushawishi watu matokeo yake akaponza chama chake chote sasa waache usanii wa maridhiano ili wapewe nafasi za kuteuliwa(njaa inawatafuna huku mtaani) kisa walishindwa kuwashawisha wapiga kura saizi wanawasumbua walioshinda uchaguzi huo sio ustaarabu kwa kweli mbona 2025 sio mbali wavumilie tu tushinde nao vijiweni[emoji23][emoji23].Siasa sio ajira ya kudumu watu wakikuchoka kama yule ya Mbeya na Arusha unakaa benchi kwani wewe ni nani bwana.
kwa upumbavu huu hatuwezi fika,mwenye akili timamu hata kama unalipwa ule haukuwa uchaguzi.
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Aliyefungua kesi ni halima na genge lake, Chadema wao wamewafukuza tu uanachama na si zaidi ya hapo au ulitaka Chadema wakatae wito wa Mahakama? Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM sijui mnakula maharage ya wapi nyie?
 
Maharage ya chadema
 
Back
Top Bottom