Kesi ya Mdee na wenzake 18 yaitia aibu CHADEMA

Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Unawezaje kuwa mwanachama bila kuwa na kadi! Weka hapa picha ya kadi yako badala ya neno "sisi wanachama".
 
Wametangaza hadharani kuwa wamewafukuza, kwao wanapaswa kuishia hapo.
Kumbe wameishia hadi wapi? Hapo ndipo walipoishia...!

CHADEMA haijaenda mahakamani. Waliofukuzwa uanachama ndo wameshitaki. Na mshitakiwa mmojawapo ni CHADEMA. Labda ungesema, wasiitikie wito wa mahakama. Je, wakifanya vile hiyo ndo itakuwa akili siyo?
Maana bunge hili la Sasa liketokana na uchaguzi ambao chadema hawautambui na matokeo yake.
Ndivyo ilivyo, hakijabadilika kitu. Wewe shida yako nini kwani?
Sasa shida Yao nini kutaka lazima akina Mdee watoke kwenye bunge wasilolitambua?
Usichoelewa ni nini kwani? Unajua ili mtu awe mbunge kikatiba anatakiwa awe na sifa gani? In case kama hujui, ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa kilichosajiliwa!

Kwa hiyo si CHADEMA wanaowatoa Bungeni hao kinamama. Ni sheria na katiba zinawatoa...!

Na unajua ni kwanini hawa kina mama wameenda mahakamani?

In case kama hujui, wameenda kuutetea uanachama wao ili wasikose sifa ya kuwa wabunge...!!!
Kama chadema wangeyakubali matokeo tangu mwanzo shauri kama hili lisingekuwepo kama lilivyo Sasa. Wake kimya TU kwakweli.
Unajua uandikacho kweli wewe? Kwani mambo ya ndani ya chama cha CHADEMA na bunge yanahusianaje kwa mfano? CHADEMA wamefanya yawahusuyo, that's all. Hayo mengine hayawahusu. Hawana shida na Bunge. Unaelekeza lawama hizi kwa watu wasiohusika. Think twice and carefully, mwisho wa siku utaelewa tu...
Mimi nilidhani wanakwenda mahakamani kusimamisha bunge Zima kuwa halikupatikana kihalali, kumbe ni akina Mdee TU.
Ndio maana nakuambia hujui usemalo kwa sbb ya kukosa uelewa na ufahamu wa kisheria na kikatiba!!

Kwa sheria na katiba yetu ya 1977 utatumia sheria gani kwenda kusimamisha bunge zima lisifanye kazi?

Narudia tena. CHADEMA wanashughulika na mambo ya ndani ya chama na wanachama wao. Na kwa kwa kweli wako sahihi na ndiyo maana maamuzi yao yamei - shock system nzima...

Haya uyaonayo ndugu kavulata ni matokeo ya aftershock. Yaani ni matokeo ya maamuzi smart kabisa ya CHADEMA. Hakuna kingine..

Wewe unasema usichokijua. Pole sana..!!
 
Waligomea matokeo gani wakati mbunge wao wa Nkasi yuko Bungeni?

Kugomea jambo lolote lazima kuwe na utaratibu wa kisheria

Chadema halijawahi kugomea matokeo ila Wabunge wao mmoja mmoja huko majimboni wamewahi kugomea matokeo kea kuzingatia taratibu za kisheria ikiwemo kwenda mahakamani
Hata mbunge wa nkasi alilaumiwa kwenda kula kiapo. Alienda TU kwa busara zake na watu wake wa jimboni. Chadema bhana
 
Wa kupimwa akili wewe. Wakati CCM na CUF wanawafukuza wanachama wao wanaume na ku8shi kuukosa ubunge mliona sawa..!!! Kwa hiyo hapa kinachokusumbua ni uanamke wao!?
Tunataka mama afanye maridhiano ya kitaifa kwa kilichotokea kwenye awamu ya Tano, lakini ndani ya upinzani kwenye wanaparurana kwa kilichotokea kwenye awamu hiyohiyo ya Tano. Huu ninauita ujinga. Inabidi vyama viionyeshe mfano wa muafaka ndani ya vyama. Ona, nccr na chadema wanavyoshindwa kusameheana. Wanaume wenye akili zao eti wanajaa mahakamani kutaka akina Halima wafukuzwe bungeni ili wapeleke jamaa zao.
 
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa mbovu kuliko chaguzi zote nilizowahi kushuhudia, yule jamaa alaaniwe Sana kwa kuua Uhuru na demokrasia hapa nchini kwani ndiye chanzo Cha haya

Japo Ccm km chama inapaswa kumshukuru Sana magu kwani aliisaidia Sana kuimarisha kwa kuua upinzani japo kimabavu Ila alifanikiwa
Na wewe ukaamini upinzani umekufa?
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
CDM wameshtakiwa! Hawajashtaki! nani anasumbuka? Mshtaki au mshtakiwa?
 
Kavulata,unajua ili uwe mbunge ni lazima uwe mwanachama wa Chama cha siasa ?.Wewe unasema Chadema imewafukuza uanachama lakini siyo ubunge,ukifukuzwa uanachama,moja kwa moja ubunge wako unakuwa umeishia hapo maana huna Chama.
 
Hilo mbwiga halina akili nzuri achana nalo
 
Kavulata,unajua ili uwe mbunge ni lazima uwe mwanachama wa Chama cha siasa ?.Wewe unasema Chadema imewafukuza uanachama lakini siyo ubunge,ukifukuzwa uanachama,moja kwa moja ubunge wako unakuwa umeishia hapo maana huna Chama.
Hiyo ni sawa, wewe umeshamaliza kazi yako ya kuwafuta uanachama wa chadema, imetosha nenda kalale sasa, kwenda kumzonga Spika awatoe kwenye bunge ambalo wewe unasema sio halali kwakuwa limetokana na uchaguzi ambao sio halali sio sawa. unapaswa uache wafu wazikane, vinginevyo fungua madai ya uchaguzi na matokeo yake kuwa sio halali na bunge sio halali. Au mnataka akina Mdee watoke bungeni ili na nyinyi mpeleke watu wengine kwenye bunge hilohilo ambalo sio halali kwenu lilitokana na tume ya uchaguzi ambayo ni batili kwenu?
 
CDM wameshtakiwa! Hawajashtaki! nani anasumbuka? Mshtaki au mshtakiwa?
wanashitakiwa kwa ujinga wao wa kushinikiza Halima na wenzao wafukuzwe bungeni. Kazi yao inaishia kwenye kuwafuta uwanachama, kuwafuta ubunge ni kazi ya watu wengine kabisa. Chadema lazima ifahamu kuwa kwenye nchi kuna mahakama, tume ya uchaguzi, spika, msajili wa vyama vya siasa, polisi na dola kwa ujumla. Akina halima hawakupitia dirishani kungia bungeni, bali waliingia mule kupitia mlangoni walikopitia wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya Muungano. Hata Rais anatambua kuwa akina Halima wako bungeni na ana taarifa juu ya kwanini wako bungeni. Hivyo kazi ya kuwakimbiza watoke bungeni haiwezi kuwa ya chadema. Kazi ya chadema kwa sasa ni
1, Kuponya makovu yaliyopatikana kwenye awamu ya tano ndani na nje ya chama ili chama kibaki kuwa kimoja na nguvu moja.
2. Kuendelea kukiimarisha chama kwaajili ya 2025
3. Kuendelea kujenga mazingira bora ya uchaguzi huru na haki, kwenye kazi hii hata akina Mdee wanahitajika. Binafsi ndani ya Chadema simuoni mwanamke shujaa kama Halima na Ester.
4. Tangazieni wanachama na mashabiki wenu kuwa sasa mnayatambua matokeo ya uchaguzi wa 2025 ili maisha yaendelee mbele na kuganga yanayokuja.
 
Hiyo ni sawa, wewe umeshamaliza kazi yako ya kuwafuta uanachama wa chadema, imetosha nenda kalale sasa, kwenda kumzonga Spika awatoe kwenye bunge ambalo wewe unasema sio halali kwakuwa limetokana na uchaguzi ambao sio halali sio sawa. unapaswa uache wafu wazikane, vinginevyo fungua madai ya uchaguzi na matokeo yake kuwa sio halali na bunge sio halali. Au mnataka akina Mdee watoke bungeni ili na nyinyi mpeleke watu wengine kwenye bunge hilohilo ambalo sio halali kwenu lilitokana na tume ya uchaguzi ambayo ni batili kwenu?
ulivyo LOFA KUTOKA LUMUMBA huoni hata aibu kujiita mwanachadema...
 
mimi ni mwanachama kindakindaki lakini sio mwanachama wa kindezindezi. Sio mwanachama wa bendera fuata upepo, ni mwanachama ambae ninaamini kwenye kupokezana katika kuliongoza taifa kama wafanyavyo wazungu wa marekani, Ujerumani, Uk, France na kwingine. Lakini namna ninavyoona hali ya upinzani inavyofanya mambo yake naona kama upinzani bado unayo safari ndefu sana kuikamata dola. Tumetegewa mtego mdogo sana na CCM na akina Ndugai wa akina halima tunashindwa kuuona na kujinasua. Hivi pale chadema-baraza la wanawake kuna watu kama Mdee na Ester? Kilevilevi tu mnaamua kuwafukuza badala ya kuwasikiliza kwanini walijikuta kwenye mtego ule. Nina uhakika kuna watu ndani ya chama wanaojua kwanini akina halima walikwenda bungeni. Nina uhakika kuwa kulikuwa na mjadala kabla ya akina halima kuchukua njia ile.
 
Dawa hapa ni twende tukamuombe Mama atupe ruzuku yetu inayotokana na kura zetu na wabunge wetu 19 (akina Halima) zitusaidie kwenye kukiimarisha chama badala ya kung'ang'ana na akina Halima wafukuzwe bungeni. Wakifukuzwa chama kitaambulia nini? au BAVICHA wameshaandaa orodha yao ya wapendwa kwenda kwenye bunge lililotokana na tume ya uchaguzi ambayo hatuiamini? mbona tunataka kutia aibu ya rejareja hapa?

Ni wasihi makada wenzangu tena na tena kuwa, kuwaacha akina halima kumalizia ubunge wao ni sehemu ya ukomavu na kutambua shida iliyoikumba demokrasia ya vyama vingi kwenye awamu ya tano. uchaguzi wa Mwaka 2020 hautofautiani sana na miaka mingine ya chaguzi zilizopita chini ya katiba na tume ya uchaguzi ileile, na malalamiko ya kuibiwa kura ni yaleyale kwenye chaguzi zote. labda tofauti kubwa kwenye uchaguzi huu wa 2020 ni wagombea wote wanaume wa vyama upinzani hakuna aliyetangazwa kushinda ubunge.
Hiyo ruzuku haina thamani kama haki yetu inapokonywa na ccm kimakusudi kimakusudi.
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Unanchanganya mambo,tuanze hivi,kwa mujibu wa katiba,huwezi kuwa Mbunge bila udhamini wa chama,hiyo ni fact ya kwanza,
Kina mdee wapo bungeni kwa udhamini wa chama gani?wakati Chadema iliisha wafukuza chamani kwa utovu wa nidhamu!?
 
Akina Halima Mdee na wenzake wanajitambulisha kama wabunge wa Chadema

Hilo ndio tatizo

Kuzaa na Changu haimaanishi Wewe kavulata ni mumewe, natoa mfano tu!
Heshima ya mahakama itajulikana tu pale hukumu itakapotolewa kwa kuzingatia ukweli na sio sheria pekee.Inawezekana vilpi mtuhumiwa aliyekataliwa dhamana kutolewa haraka nje ya masaa ya kazi kwa lengo la kutimiza.UHUNI? Je huku si kunajisiwa kwa serkali?
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.

Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa kuutambua matokeo yake mpaka Leo.

Kesi hii ya kutaka akina Mdee watoke bungeni ilipaswa kutanguliwa na CHADEMA kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020 kwanza. CHADEMA walipaswa kuishia kwenye kuwafukuza uanachama akina Mdee TU basi na sio kukaza shingo lazima watoke kwenye bunge ambalo wao hawalikubali.

Kesi Yao ingekuwa na mashiko kama chadema wangepinga wabunge wote wa bunge kuweko bungeni maana hawakuchaguliwa kihalali kwa kutumia tume wasioikubali kuwa sio huru.

Maadam hawakuyatambua matokeo ya uchaguzi basi bunge pia sio halali kwao. Kumlazimisha Mdee TU kuwa ndiye wakutoka bungeni badala ya bunge zima ni kukosa dira na mwelekeo. Kwangu Mimi akina Mdee hawapaswi kuwa bungeni sawa na wabunge wengine wote kutokana na namna uchaguzi mzima ulivyoendeshwa. Njaa Kali, undugu na ukabila ndiyo sababu ya kuwashupalia akina Mdee.
Mkuu, Chadema hawajafungua kesi .... waliofungua kesi ni Cov 19 ...... Sasa kama hulielewi hilo, nini unakielewa kuhusu kesi inayoendelea mahakani......!?

Pia Cov 19 wako Bungeni kwa jina la Chadema ..... Kwa hiyo wapo hapo kwa mgongo wa CDM ....!!
 
Kuwapo Bungeni sio tatizo, hata kama uchaguzi ulitambulika kutokuwa halali, tatizo ni kuwapo bungeni kama wabunge wa CHADEMA
 
wanashitakiwa kwa ujinga wao wa kushinikiza Halima na wenzao wafukuzwe bungeni. Kazi yao inaishia kwenye kuwafuta uwanachama, kuwafuta ubunge ni kazi ya watu wengine kabisa. Chadema lazima ifahamu kuwa kwenye nchi kuna mahakama, tume ya uchaguzi, spika, msajili wa vyama vya siasa, polisi na dola kwa ujumla. Akina halima hawakupitia dirishani kungia bungeni, bali waliingia mule kupitia mlangoni walikopitia wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya Muungano. Hata Rais anatambua kuwa akina Halima wako bungeni na ana taarifa juu ya kwanini wako bungeni. Hivyo kazi ya kuwakimbiza watoke bungeni haiwezi kuwa ya chadema. Kazi ya chadema kwa sasa ni
1, Kuponya makovu yaliyopatikana kwenye awamu ya tano ndani na nje ya chama ili chama kibaki kuwa kimoja na nguvu moja.
2. Kuendelea kukiimarisha chama kwaajili ya 2025
3. Kuendelea kujenga mazingira bora ya uchaguzi huru na haki, kwenye kazi hii hata akina Mdee wanahitajika. Binafsi ndani ya Chadema simuoni mwanamke shujaa kama Halima na Ester.
4. Tangazieni wanachama na mashabiki wenu kuwa sasa mnayatambua matokeo ya uchaguzi wa 2025 ili maisha yaendelee mbele na kuganga yanayokuja.
Hueleweki!
Unaelewa maana ya kupitia dirishani na mlangoni? Mlangoni kuna chadema lakini hawakupitia hapo.
Halafu unasema wawepo bungeni! kumwakilisha nani? Mlangoni kwa chadema hawakupitia! Huyo aliyewapitishia dirishani ndiyo anatafutwa ili tujue waharibifu wa uchaguzi wa 2020 JPM hakuwa peke yake!
Kutambua uchafuzi na kuuita uchaguzi ni matusi ya nguoni! Maisha yataendelea vizuri zaidi kama tukiacha unafiki unaotaka tuwe nao!

Tena usitumie neno "shujaa" kwa inteligent crooks! hawa ndio waharibifu wa Dunia! Hata JPM alikuwa "intelligent crook" alikotupeleka kwa muda mfupi tunahitaji karne mbili kutoka!
 
Back
Top Bottom