Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Samahani, nisaidie kujua Dr Likwelile alikuwa anafanya kazi gani? Kiongozi Serikalini? Mfanyabiashara? Daktari wa hospitalini? Ahsante
 
Kimenisikitisha hicho Kingereza kilichopo kwenye hukumu.

Dah, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda. Ikiwa judge ndio hivyo, judgment si itatupiliwa mbali mahakama ya rufaa kwa lugha tu hiyo.
 
Kimenisikitisha hicho Kingereza kilichopo kwenye hukumu.

Dah, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda. Ikiwa judge ndio hivyo, judegement siu itatupiliwa mbali mahakama ya rufaa kwa lugha tu hiyo.
Kwahiyo anaenda kushinda kisa lugha? Acha kumshauri ujinga, amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini bado anataka kudhulumu mali za watu. Tamaa mbaya sana.
 
Lakini si ana mtoto na huyo marehemu? Wakati mwingine tuache vingine vitupite. Kama amezaa nae na ni watoto halali wa huyo mzee wanastahili pia.

Na kama mali imeandikwa jina langu huwezi kuiweka kwenye mali za marehemu. Maana nikisoma vielelezo kuna mali hapo inaonesha imeandikwa kwa jina la Vick. Tusishabikie sana maana hakuna msafi hapa. Basi tu za kwetu hazijulikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…