Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Akome alienda kuchukua mume wa mtu wa nini?
 
Huyu si ndo inspirational wa wanawake Tanzania?? Aliwaimbia mpaka wimbo wafanye kazi wapate MAENDELEO??

Kumbe kazi kudanga??
Kusuburi watu wafe akadai mirathi kortini??

In this world trust nobody!!!
🤣🤣🤣Kama yule alokuwa mke wa mrema
Sijui wanapata wapi ujasiri kulilia Mali za ulisi🤣 zisizowahusu
 
Akome alienda kuchukua mume wa mtu wa nini?
Suala la mume au mke wa mtu ni irrelevant kwa kitu ambacho kina jina lake. Huwezi kugawa mali za mtu. Zenye jina la Likwelile yah unaweza kugawa.

Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.

Ni wrong kugawa mali iliyoandikwa kwa jina la huyo mwanamke au jina la mtoto unless hakimu aoneshe kuwa lilibadilishwa kwa njia isiyo halali. Mahakama imefungwa kwenye kufanya maamuzi kwa yale mambo ambayo imeletewa. Haina mamlaka ya kuspeculate hata kama ni kweli au ni uongo. Kwenye rufaa dada atashinda hapo mali zenye jina lake na la mtoto wake zilipoingizwa.
 
Mstaafu akipewa milion 100 anaweuka akili wakati pesa hii ni pesa ya kununulia kiwanja tu
Mkuu kuiona 100M ni ndogo na kutobabaishwa nayo, ni dalili nzuri ya kujitambua. Hongera mno! Kwa hali hii hata ukipata 200M hutowehuka. Umasikini mbaya sana mkuu. Hawa wastaafu wengi wamepitia misoto mno incl. kwenda shule km10 kwa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…