Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Nyie ndiyo wale inaonekana kabisa mchezaji wa mpira wa timu flani,anapuyanga,mnasema ingia nawewe ucheze...
Huyo jaji anaweza akafanya kazi ninayoifanya?
Lakini kwanini mimi niruhusu watu wanikosoe kwenye shughuli yangu,ila yeye jaji akikosolewa basi nikafanye kazi aliyoisomea?
Kila mtu aboreshe kazi yake,makosa yakuepukika,yaepukwe.
Sawa msomi usie tiliwa mashaka naomba Kaz za majaji wachiwe bhan
 
Maelezo yako ni muhimu na yapo relevant ikiwa tuu yangetumika Kanisani au misikitini Kwa waumini.

Lakini Watu wanachojadili humu ni hukumu iliyotolewa.

Mahakamani itathibitisha kuwa wewe ni MKE wa Fulani, na watoto ulionao ni halali ya huyo Mume au laa. Kisha zitafuata Mali na vielelezo vyake kuonyesha kuwa ni vyako.

Kama aliweza kufoji nyaraka zingine atashindwa kufoji hizo nyaraka za hizo Mali zilizoandikwa Kwa majina yake?
Mahakama imnyooshe Vick na genge lake wote walio nyuma yake kuiba Mali za wakuryaa Hili halikubaliki kutoji Ni jinai na afikishe mahakamani Kama ikidhibitikaa kafoji dcm yoyote
 
Acha tu,na aliwahi fanya kazi BOT.Ujue huyu alikuwa chombo ya JK.Huyu dada akili za darasani hana,kumbe na kwenye maisha hana aisee.Ujue kabla ya hapo aliwahi kuwa mchepuko wa marehemu Mpakanjia.Hapo alipo anakula ARV, uzuri walikutana na Likwelile wote wanakula ARV.
Duh mbna umetibuaa Tena dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787] arv tena
 
Yanai Dr Likwelile na usomi wake wote alikosa staha akachukua huyu changu?....wanaume tujifunze kuthibiti ashiki
Sometimes Sio akili zao Jamani wanaume wanaorogwa halafu wanawake washirikina sana mtu mwingine Yuko tayari akalale mpk kwenye majeneza Ili kunasa madanga ya kueleweka kaka
Msiwalaumu Hawa wababa ,Dunia Ina Siri sana hii ni survival of the fittest
 
Bila kumshauri, hawachii huyo. Hao wanawake wa viti maalum (wa vyama vyote) wasio na utaalam wowote nawafahamu sana, wana tamaa za ajabu.

Wachawi, washenzi, mbwa, wezi, wanafiki, waongo, na kila yenye laana wao hawajali, huyo atafanya lolote na chochote ili wapate mali.

Huyo nakuhakikishia wakati analiwa na huyo marehemu utakuta ana msururu mwengine wa kama huyo wana mla, kwa tamaa za mali tu.

Huyo ni chui kwenye ngozi ya kondoo.
Hyu Viki kwa muonekano tu Ni danga ,Malaya mbuzi kbsaa
 
Sometimes Sio akili zao Jamani wanaume wanaorogwa halafu wanawake washirikina sana mtu mwingine Yuko tayari akalale mpk kwenye majeneza Ili kunasa madanga ya kueleweka kaka
Msiwalaumu Hawa wababa ,Dunia Ina Siri sana hii ni survival of the fittest
Na wakati mwingine ni mapenzi pia
 
Back
Top Bottom