Kesi ya mwanafunzi wa Law School of Tanzania aliyeomba iendeshwe LIVE yapangiwa Majaji

Mjomba inamaana umeshindwa kuelewa kwamba katika hizo kesi mahakama haiwezi ku compel an academic institution to issue an award? Kijana huyu hataki award bali rufaa yake huko law school ilitupiliwa mbali bila sababu za msingi kwa mujibu wa huyo kijana..ni maswala tofauti kabisa na uliuoyaweka...😀😀
 
Hio ndio law school unakomaa na masomo uliyosoma miaka 4 ndani ya miezi 6 tu ukitoka hapo wewe ni kipanga, life is not simple but we need competent lawyers sio wababaishaji.
 
Una ulinzi ndugu..?!
 
Utakuta mkufunzi amefunzwa nje ya nchi na treatment aliyokua anapata kwa wakufunzi wake ilikua nzuri na kusababisha darasa nzima kufauli. Ila Leo amekua mkufunzi hapa Tanzania ameanza kuwa kukwazo, ujinga na ujuaji mwingi unawasumbua sana watu wa kada wanaojiita Wakufunzi/Wahadhiri ni ujinga usiokuwa na mfano.

Ni kweli serikali wanaendelea kulea ujinga unaofanywa na Wakufunzi huko vyuoni? Je, njia nzuri ya kuboresha elimu ionekane siyo adhabu? Bali ni huduma.
 
Mkuu ulifaulu vipi? Mbona mambo ni mengi muda ni mchache.
 
Hio ndio law school unakomaa na masomo uliyosoma miaka 4 ndani ya miezi 6 tu ukitoka hapo wewe ni kipanga, life is not simple but we need competent lawyers sio wababaishaji
Lakini wa kitoa mtu wanatoa compitent ?
 
Mfano mdogo tu, upate mhadhiri toka nje mfano mzungu au mjapani kwenye somo flan mbona uta-enjoy sana, coz wao generally wana-treat students as their clients na kwao elimu sio uadui.
 
We Mzee Juzi nilikuona TBCCM, niliangalia TV Kwa Bahati Mbaya TBCCM nikakuona
Naona umeanza Kunawiri nawiri
Mayalla Kwa Kisukuma ni Njaaaa
Mayalla Oyeeee
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
let us wait and see. Namuombea heri sana. Facts zake may be ni quite different from what I perceived in his plaint!
 
Aombe sana Mungu ashinde vinginevyo maisha yameisha labda akimbilie nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…