Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
fafanua? kivipi akimbie nje? kwani kukata rufaa ni kufanya uhaini?Aombe sana Mungu ashinde vinginevyo maisha yameisha labda akimbilie nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fafanua? kivipi akimbie nje? kwani kukata rufaa ni kufanya uhaini?Aombe sana Mungu ashinde vinginevyo maisha yameisha labda akimbilie nje.
Wakili msomi Peter Kibatala anasemaje kuhusu hili?Nimeona mada za kuchambua taarifa ya kufeli kwa wanafunzi Law School of Tanzania.
Binafsi na mimi nimepitia Law School, na haya ndiyo ninayoyafahamu kuhusiana na hiki chuo.
1. Law School kiuhalisia, siyo sehemu ya mafunzo kwa vitendo kama mnavyosikia redioni.
2. Somo la field lipo, ila marks zake hazihusiki kwenye kubaini ufaulu. Yaani alama za somo la field hazina maana kwenye GPA calculation maana hazitambuliki.
3. Wanafunzi wa Law School hufundishwa kwa nadharia darasani, na kuingia semina kama ilivyo vyuo vikuu.
4. Mwalimu mmoja hutoa mhadhara kwa wanafunzi wote 600+ na akimaliza anaingia mwingine hadi siku inaisha.
5. Mada zinazofundishwa Law School ni zilezile mwanafunzi alifundishwa vyuoni ngazi ya degree na hakuna tofauti.
6. Muda wa mitihani haupo fair. Kwenye mtihani mmoja, kunakuwa na maswali ya kuandaa hati za mashtaka na madai nyingi mno kiasi kwamba muda wa kuandaa hati hizo hautoshi. Kwa wasijua, hati za kisheria uandaaji wake unahitaji kurejea vifungu vya sheria mbalimbali ambazo unakuwa unazo mezani(Acts).
7. Wahadhiri wa Law School huamini kwamba wanafunzi wao watafeli na mtu akifaulu wanashangaa sana. Yaani wapo kama miungu watu. Pale Law School hata secretary anamdharau mwanafunzi na anataka umuinamie kumsujudu.
8. Mahakimu, na waajiriwa wengine wenye uzoefu kwenye sheria wakienda kujiendeleza Law School nao hufeli pia.
9. Kuna wakati mahakimu walishauriwa wasijiendeleze Law School maana ni fedhea hakimu mzoefu unafeli Law School. Badala yake waliaambiwa watapewa utambulisho maalum kwamba wamefuzu vigezo vya sheria kwa vitendo.
10. Suplementary yaani mitihani ya kurudia haina kikomo Law School. Unaweza hata ukakaa na sup. hata miaka 40.
11. Law School ukikata rufaa ya matokeo haipatiwi majibu na unaweza ukaanza apya kusoma na kumaliza bila kupata majibu ya rufaa.
12. Law School unasoma masomo yote uliyofundishwa kwenye shahada ya sheria kwa miaka minne, lakini ukifika Law School unafundishwa kwa miezi 6 na unapewa mitihani. Halafu miezi mingine 6 unaenda field.
Wakili msomi Peter Kibatala anasemaje kuhusu hili
No no, hawa ndo wanafunzi yuko tiyari karatasi zake za mtihani wazitizame tena, lakini hata oral exam iwe recorded anajiamini alifanya vizuri .sio lazima awe wakili atafanya kazi nyingineHe is destroying his life and carrier
Yes of course lazima wawe competentLakini wa kitoa mtu wanatoa compitent ?
Let me tell you something about school, ngoja niseme kiswahili kuna msemo wanasema 'hatuhitaji mtu mwenye akili tunahitaji mtu sahihi' yaan 'we don't need intelligent person we need right person', yaan sawa unaweza ukawa una akili mingi mingi ila wewe sio mtu sahihi in short sawa una akili ila wewe haufai kuwepo kwenye ........, chosen ones ni wale wote ambao wana vitu sahihi tofauti na wengine,No no, hawa ndo wanafunzi yuko tiyari karatasi zake za mtihani wazitizame tena, lakini hata oral exam iwe recorded anajiamini alifanya vizuri .sio lazima awe wakili atafanya kazi nyingine
Kwa hiyo Mawakiki sasa mnaonyesha LST ni Kiki we cha kuwapotezea muda1. Law School kiuhalisia, siyo sehemu ya mafunzo kwa vitendo kama mnavyosikia redioni.
2. Somo la field lipo, ila marks zake hazihusiki kwenye kubaini ufaulu. Yaani alama za somo la field hazina maana kwenye GPA calculation maana hazitambuliki.
3. Wanafunzi wa Law School hufundishwa kwa nadharia darasani, na kuingia semina kama ilivyo vyuo vikuu.
4. Mwalimu mmoja hutoa mhadhara kwa wanafunzi wote 600+ na akimaliza anaingia mwingine hadi siku inaisha.
5. Mada zinazofundishwa Law School ni zilezile mwanafunzi alifundishwa vyuoni ngazi ya degree na hakuna tofauti.
6. Muda wa mitihani haupo fair. Kwenye mtihani mmoja, kunakuwa na maswali ya kuandaa hati za mashtaka na madai nyingi mno kiasi kwamba muda wa kuandaa hati hizo hautoshi. Kwa wasijua, hati za kisheria uandaaji wake unahitaji kurejea vifungu vya sheria mbalimbali ambazo unakuwa unazo mezani(Acts).
7. Wahadhiri wa Law School huamini kwamba wanafunzi wao watafeli na mtu akifaulu wanashangaa sana. Yaani wapo kama miungu watu. Pale Law School hata secretary anamdharau mwanafunzi na anataka umuinamie kumsujudu.
8. Mahakimu, na waajiriwa wengine wenye uzoefu kwenye sheria wakienda kujiendeleza Law School nao hufeli pia.
9. Kuna wakati mahakimu walishauriwa wasijiendeleze Law School maana ni fedhea hakimu mzoefu unafeli Law School. Badala yake waliaambiwa watapewa utambulisho maalum kwamba wamefuzu vigezo vya sheria kwa vitendo.
10. Suplementary yaani mitihani ya kurudia haina kikomo Law School. Unaweza hata ukakaa na sup. hata miaka 40.
11. Law School ukikata rufaa ya matokeo haipatiwi majibu na unaweza ukaanza apya kusoma na kumaliza bila kupata majibu ya rufaa.
12. Law School unasoma masomo yote uliyofundishwa kwenye shahada ya sheria kwa miaka minne, lakini ukifika Law School unafundishwa kwa miezi 6 na unapewa mitihani. Halafu miezi mingine 6 unaenda field.
Ngoja tuone..na wengine inawezekana waka appeal na kusahihishiwa vizuri..let us wait and see. Namuombea heri sana. Facts zake may be ni quite different from what I perceived in his plaint!
Law school washenzi, hii haikubaliki, na hao lecturers wawe penalised kwa watoto kufeli, means hawafundishiNgoja tuone..na wengine inawezekana waka appeal na kusahihishiwa vizuri..
Wewe ni mvivu au kilaza. Kwahiyo unataka wanafunzi wafaulishwe tu hata kama hawana uwezo?Utakuta mkufunzi amefunzwa nje ya nchi na treatment aliyokua anapata kwa wakufunzi wake ilikua nzuri na kusababisha darasa nzima kufauli. Ila Leo amekua mkufunzi hapa Tanzania ameanza kuwa kukwazo, ujinga na ujuaji mwingi unawasumbua sana watu wa kada wanaojiita Wakufunzi/Wahadhiri ni ujinga usiokuwa na mfano.
Ni kweli serikali wanaendelea kulea ujinga unaofanywa na Wakufunzi huko vyuoni? Je, njia nzuri ya kuboresha elimu ionekane siyo adhabu? Bali ni huduma.
Usirtukane, jenga hoja tu utaeleweka. katika halki ya kawaida, haiwezekani klati ya 1000 wakashinda wawili tu! Kuna mahali mitihani haiko fair! Naona hata najaji wanapoandika hukumu, they do a lot of research, it takes them a lot of days if not months. sasa mwanafunzi unampa hypothetical case say ya land unamwambia atoe hukumu ndani ya sa moja. . Haiwezekani, hata hao walimu ukiwapa maswali kama ya aina hiyo watafeli.Wewe ni mvivu au kilaza. Kwahiyo unataka wanafunzi wafaulishwe tu hata kama hawana uwezo?
Ukiona mtu ametukana Ina Mana amejitukana mwenyewe Mana uwezo wake wa kujenga ama wa kuwaza umeisha.Usirtukane, jenga hoja tu utaeleweka. katika halki ya kawaida, haiwezekani klati ya 1000 wakashinda wawili tu! Kuna mahali mitihani haiko fair! Naona hata najaji wanapoandika hukumu, they do a lot of research, it takes them a lot of days if not months. sasa mwanafunzi unampa hypothetical case say ya land unamwambia atoe hukumu ndani ya sa moja. . Haiwezekani, hata hao walimu ukiwapa maswali kama ya aina hiyo watafeli.
Ni kukomoana. Hao walimu ni mawakili, mbona wanashindwa kesi?
nimeweka kesi rejea soma upata msimao wa mahakama zetu na za nje.....Mjomba inamaana umeshindwa kuelewa kwamba katika hizo kesi mahakama haiwezi ku compel an academic institution to issue an award?
Kwa scenario ya Law school nakubaliana nawe. Ila kugeneralize ktk vyuo vikuu vyote TZ hapana. Watoto hawana uwezo huo unaofikiria.Usirtukane, jenga hoja tu utaeleweka. katika halki ya kawaida, haiwezekani klati ya 1000 wakashinda wawili tu! Kuna mahali mitihani haiko fair! Naona hata najaji wanapoandika hukumu, they do a lot of research, it takes them a lot of days if not months. sasa mwanafunzi unampa hypothetical case say ya land unamwambia atoe hukumu ndani ya sa moja. . Haiwezekani, hata hao walimu ukiwapa maswali kama ya aina hiyo watafeli.
Ni kukomoana. Hao walimu ni mawakili, mbona wanashindwa kesi?
Haki za binadamu ziko kwenye katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania kuanzia ibara ya 12 hadi ya 24na baadhi ya haki ya kuishi,haki ya usawa, kusikilizwa ,fair trial nk.Kama hizi zimekiukwa basi katiba imevunjwa.Sasa hapo katiba imekiukwaje? mbona ni issue binafsi
kwanini? Nimesoma UDSM miaka ya 1980s, wakati elimu bado ina nguvu, ina uzito, inaheshimika , haya hayakutokea maana Prof alikuwa anatunga mtihani kwa aliyofundisha na si kukomoa. Ukimsikiliza, ukaenda library kuongeza nyama, utafaulu tu!Kwa scenario ya Law school nakubaliana nawe. Ila kugeneralize ktk vyuo vikuu vyote TZ hapana. Watoto hawana uwezo huo unaofikiria.
Hata sasa ni hivyo. Tatizo hapa unalinganisha wanafunzi wa enzi hizo na sasa. Mliokuwa mnaenda chuo mlikuwa ni cream ya nchi kwa kwa sbb ya fursa chache. Hivyo mlikuwa na uwezo sana. Kwa sasa ni kama A level nzima inahamia chuo kikuu. Ktk mazingira hayo, unawezaje kuwa na wanafunzi wenye ubora unaotakiwa?kwanini? Nimesoma UDSM miaka ya 1980s, wakati elimu bado ina nguvu, ina uzito, inaheshimika , haya hayakutokea maana Prof alikuwa anatunga mtihani kwa aliyofundisha na si kukomoa. Ukimsikiliza, ukaenda library kuongeza nyama, utafaulu tu!
lakini mitihani inakuwa si mirahisi hivyo, mimi huwa naifuatilia sana (beig a teacher at one time) ....... wanaopata A kweli wanakuwa wamesota, wamesoma sana etc etcHata sasa ni hivyo. Tatizo hapa unalinganisha wanafunzi wa enzi hizo na sasa. Mliokuwa mnaenda chuo mlikuwa ni cream ya nchi kwa kwa sbb ya fursa chache. Hivyo mlikuwa na uwezo sana. Kwa sasa ni kama A level nzima inahamia chuo kikuu. Ktk mazingira hayo, unawezaje kuwa na wanafunzi wenye ubora unaotakiwa?