Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

Watu wa namna hii Magufuli aliwapenda sana, kila siku alikuwa anapita majukwaani kuwasifia kuwa ni wazalendo
 
That young man is a real thug!
 
Hizo camera Zikimuonyesha chairman akipanga mipango yake ya kigaidi uje utuletee na uzi pia!
Waliompeleka mahakamani mbowe ndio wanatakiwa walete hizo unataka kama walivyozitoa hizi. Labda huelewi ni nani aliyezileta hizi za sabaya.
 
Kuna sheria kuanzia kiasi Fulani lazima uombe polis wakulinde unapochukua hela,benk haikuuliza kama ana ulinzi halali au malipo yapitie akaunt?
CCM wauaji,90M anachukua bila aibu
Yule branch manager alimshauri afungue account atakataa. Akapewa maburungutu kwenye box akatokomea nayo. Yaani kunua mgongo cha mwalimu aliyefundisha miaka 40 jamaa anakipata kwa kupiga cmu tu..
Afu kuna ndezi wanasema free sijui ujinga gani?
Shetan
 
Jamaa lazima atundikwe mingine 30, atakuta mkewe ana mtoto wa miaka 20 by the time anatokamo...kijana ni JAMBAZI tena sugu...too sad Million 90 uzipate bure bure tu bila kufanya kazi, tena unachukua kwa mwenzio as simple as that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…