Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

..Hili tatizo haliko kwa madrasa tu...hujasikia hata mapadre wanabaka....kulikuwa na kesi ya padre kubaka vijana kule maeneo ya chuo kikuu cha Dar....ki ukweli dunia kwa sasa imebadilika sana....hata madereva wa school buses pia hufanya upuuzi huu.....
 
Hii ifafanue vzr mkuu madereva wana technic zipi niwe makini na kabinti kangu mkuu
 
Ndo maana watu wanaua
 
Walimu wa madrasa huwa Wana shida gani. Wao wanashikiliwa na hizi kesi Sana
 
..Useme pia tuwaogope waseja kwa kikatoliki na mapadre kuna kesi zao kama hizi kibao..
huko ulikoelekea wewe lengo lako ni kuweka balance isiyohitajika kwenye hii thread, suala lolote la uvunjivu wa maadili halipaswi kuletewa mlinganisho mfano wa huo.
kwa kuwa hii thread imezungumzia mwalimu wa madrasa imenibidi nami nigusie mchango wangu kwa muelekeo huo.

binafsi ni muislamu wa kuzaliwa, nina mwanafamilia wangu ameoa/kuolewa na mwanafamilia ambaye mzazi wake alikuwa ni mwalimu wa madrasa na amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa makosa kama hayo.
 
Baadhi ya walimu wa Madrasa ni waharibifu ni lazima tuwe na tahadhari nao.
Mimi watoto wangu wakike wakifika umri wakutoka chuchu, nawaziwiya kwenda madrasa kwa kuepusha madhara kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…