Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Madrasa kuna maneno

niwaombe wazazi wawakaguae watoto wao wa kike na kiume sehemu zao za siri kila watokapo madrasa

Na wakiona mfano mtoto anakikojolea kojolea hovyo au kukimbia mbio chooni mara kwa mara kuna uwezekano keshaharibiwa na ma ustaadhi madrasa

Wakagueni na waambieni ukaguzi huo ni kuhakiki kama hajaharibika huko alikoenda na muwaambie live kuwa wakiona kitu tofauti na mafunzo ya dini waripoto haraka nyumbani
 
Mkono [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkono sio, ona sasa anaenda kuchezewa na magwiji kule jela [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
hapa ninaishi kambi ya Magereza, kun siku niko n wafungwa getini akaletwa mfungwa mpya kijana fulani mdogo tu kwa kesi ya kumtishia kumuua mama yake
wale wafungwa wakaanza kumwambia "Dogo ingia ndani ukifika utusubiri, chakul tutakupa😂, usijali utanyooka tu tukija leo" jingine likasema "Dogo ukiulizwa wambie we mgeni wangu🤣
 
Nimeishia kusoma tu aisee maana sijui nitafanya nini ukifanya ivyo kwa binti yangu!!!!!!!!!!!!
 
Ustadh nae ni binadamu anapenda mbususu tatizo ni madomo zege hata kutongoza changudoa hawawezi
 
hapa ninaishi kambi ya Magereza, kun siku niko n wafungwa getini akaletwa mfungwa mpya kijana fulani mdogo tu kwa kesi ya kumtishia kumuua mama yake
wale wafungwa wakaanza kumwambia "Dogo ingia ndani ukifika utusubiri, chakul tutakupa[emoji23], usijali utanyooka tu tukija leo" jingine likasema "Dogo ukiulizwa wambie we mgeni wangu[emoji1787]

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Dah nimecheka kuna magwiji mule ndani we acha tu hizo njemba zimeshakata tamaa, na ubabe mzee, mfungwa mpya unaonekana ni pisi kali kila mtu anagombania, dah maisha ya jela yanipite mbali kwa kweli yanatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kwanza ni aibu mimi hata mtoto kuona nywele za kifua changu naona jau, sasa huyu huu ujasiri wa kumbaka mtoto mdogo kama huyu anautoa wapi, sio nyumbani, sio gesti ni mahali pa ibada kabisaa.

Tusihukumu wacha tusubili utetezi wake huenda kasingiziwa. Maana hawa watoto nao siku hizi sio wa kuwaamini sana hawa huwa wanalishwa maneno.

Katika hiyo habari mbona haijagusia ripoti ya daktari au ndo mpaka siku ya hukumu. Daktari athibitishe madai hayo kwa mtoto kama huyo kama alibakwa kweli itaonekana tu.
 
Hakimu Anayesikiliza kesi Anaitwa Anna Mpessa.. Jamaa hawezi toboa hata kama kasingiziwa.
Subiri yakiwakuta wa kwako utaelewa vyema. Akitiwa hatiani ale mvua tu. Akionewa kyna rufaa.

Wakati juna Anna linakupa shida ni wazi kwa udini wako tu au nawe bi Pedo gang basi hurumia mabinti hawa wa Madrassa
 
'Kesi iliendeshwa bila mshitakiwa kuwepo. Baada ya mshitakiwa kikiuka zamana".
Sizani kama bado yupo nchi hii!
 
Back
Top Bottom