Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Umeona eeh. Hapa wafanye uchunguzi vizuri aisee.Kabaka watoto wawili mbona ushahidi katoa mtoto mmoja?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh. Hapa wafanye uchunguzi vizuri aisee.Kabaka watoto wawili mbona ushahidi katoa mtoto mmoja?!
Ni mchezo uliokuwa ukiendelea.sio siku mojaKwahiyo dogo alibakwa akiwa na miaka 7 akiwa darasa la kwanza?
Maana sahivi 2021 na taarifa inasema alibakwa 2019.
Waendesha mashkataka fanyeni uchunguzi vizuri najua hamshindwi.
Kulea kipindi hichi sio kazi ndogo.wazazi wamekuwa hawana amani ya nafsi
- mtoto akiwa mdogo anawindwa na wabakaji au walawiti
- akipevuka kidogo kama ni mwanamke anawindwa na mabeberu wa kiume
Unauelewa mkubwa Sana ...Safi Sana.huko ulikoelekea wewe lengo lako ni kuweka balance isiyohitajika kwenye hii thread, suala lolote la uvunjivu wa maadili halipaswi kuletewa mlinganisho mfano wa huo.
kwa kuwa hii thread imezungumzia mwalimu wa madrasa imenibidi nami nigusie mchango wangu kwa muelekeo huo.
binafsi ni muislamu wa kuzaliwa, nina mwanafamilia wangu ameoa/kuolewa na mwanafamilia ambaye mzazi wake alikuwa ni mwalimu wa madrasa na amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa makosa kama hayo.
Wewe ndio mwenye dini.. Mwenye Miungu mitatu. Mungu Baba. Mungu mwana na Mungu mtakatifu...Hakuna dini hapo vijana wa mudi mnapoteza muda tu
Hata hiyo raha unapataje kwa katoto kadogo hivyo!!!Raha ya sekunde inamsababishia akale mvua akiwa nyuma ya nondo nzito na kiza kinene, akili za ujinga sana hizi za kubaka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wafunzwe kujitambua kuwa akiona kitu kisicho cha madrasa awaambie wazazi.Na wazazi waulize watoto kama kuna kitu kisicho cha kawaid wanachokiona huko madrasa kwa wanafunzi au kwa maustaadhi zaidi ya kufundishaNoma sana dingi. Yani saivi sio mtoto wa kike wala wa kiume wote wapo vulnerable inabidi wazazi tuzidi kuwa makini na watoto wetu.
Acha usiniHakimu Anayesikiliza kesi Anaitwa Anna Mpessa.. Jamaa hawezi toboa hata kama kasingiziwa.
Wa kiume pia hawako salama kwa maustaadhi wa kiume.Nafikiri walimu wa Madrasa wanatakiwa wawe wanawake.wafundishe vwatoto wa kike na kiume usalama wao utakuwa mkubwa zaidi.Lakini maustaadhi wa kiume hapanaHaiwezekani watoto wa kike kufundishwa na wadada/wamama?
Ushaidi hutolewa kwa mtu mmoja mmoja, pengine huyu ndio ameanza huyo mwingine nae atatoa ushahidi.Umeona eeh. Hapa wafanye uchunguzi vizuri aisee.
Kati ya vitu vyote vya kuuliza ukaona uulizie kutahiriwa kwa Yesu, mkuu ni kama unapenda madyudyu sana.Wewe ndio mwenye dini.. Mwenye Miungu mitatu. Mungu Baba. Mungu mwana na Mungu mtakatifu...
Nina swali kwako Matanga which means pungu ani..
Nabii gani alipewa Kitabu cha Biblia?
Je Mungu Yesu aliwahi kutailiwa?
Naomba majibu
Hebu mshangae na wewe kakomaa kuulizia dudu la yesu km limetahiriwa Sasa sijui Hilo lanasaidia Nini kwenye kubakwa hawa watotoKati ya vitu vyote vya kuuliza ukaona uulizie kutahiriwa kwa Yesu, mkuu ni kama unapenda madyudyu sana.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Huyo mwamba uliyemtag anakanyagia sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kesi za ubakaji ni mbaya kuliko za uhujumu uchuni, zisiwe na dhamanaMWANAFUNZI wa Darasa la tatu mwenye umri wa miaka tisa( jina linahifadhiwa), amedai amekuwa akibakwa na mwalimu wa madrasa mara nyingi baada ya mafunzo ya dini.
Amedai amekuwa akiingizwa dudu lake la kukojolea kwenye uchi wake wa kukojolea (kwa bibi) na mwalimu huyo kisha anampatia biskuti ili asije kusema.
Shahidi huyo ambaye anasoma shule ya msingi Uwanja wa Ndege, Dar es Salaam, alidai hayo katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke, mbele ya Hakimu Mkazi Anna Mpessa, wakati akitoa ushahidi wa kesi ya ubakaji inayomkabili Shaban Hamid(22).
Akiongozwa na Wakili wa Serikali, Cecilia Mkonongo, Shahidi huyo alidai baada ya kutoka shuleni saa nane mchana anakwenda nyumbani anakula chakula kisha anakwenda madrasa na mtoto wa shangazi yake ambaye anasoma chekechea.
Shahidi huyo alidai wakifika chuo cha dini wanafundishwa na hostazi Shabani wakiwa na watoto wengine ambapo baada ya mafundisho anawaambia watoto wengine waondoke wabaki yeye na mwenzake kwa ajili ya kukusanya mikeka.
" Hostazi Shabani anatufundisha sisi na watoto wengine alafu baadaye anatwambie tubaki mimi na mwenzangu tukusanye mikeka kisha ananibaka wakati huo mwenzangu anakuwa pembeni akinimaliza nae anambaka. Anakuwa ananivua nguo yangu namwambia sitaki sitaki làkini ananivua hadi chupi mpaka chini naye anavua suruali yake pamoja na boksa kisha ananiambia nilale chini alafu yeye analala juu yangu," alidai.
" Baada ya kusikia mama anaongea na shangazi kuhusu habari za ubakaji ndipo namimi nikamwambia kwamba Hostazi uwa anatubaka mimi na mwenzangu," alidai.
Shahidi huyo alidai baada ya kumwambia mama yake alimchukua na kumpeleka hospitalini kisha walimpima.
Baada ya kumaliza kutoa ushahidi wa kesi hiyo, Hakimu Anna alisema hati ya kumkamata mshitakiwa imetolewa baada ya kuruka dhamana ambapo kesi hiyo ilisikilizwa pasipokuwepo mshitakiwa.
Mshitakiwa inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Desemba mwaka 2019 na Februari mwaka jana eneo la Yombo Lumo, Dar es Salaam ambapo alimbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa( jina linahifadhiwa)
Hakimu Anna iliahirishwa hadi Mei 11