Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Hakimu Anayesikiliza kesi Anaitwa Anna Mpessa.. Jamaa hawezi toboa hata kama kasingiziwa.
Kwa hiyo huyo Hakimu angekuwa anaitwa Aisha Ramadhan, basi uwezekano wa kutoboa ungekuwa ni mkubwa sana! Akili za wapi hizi?

Kinachotakiwa hapo ni sheria tu kufuata mkondo wake, ili haki ipatikane kwa wote! Masuala ya kutenda maovu halafu unajificha kwenye kivuli cha dini, hayakubaliki hata kidogo.
 
  1. mtoto akiwa mdogo anawindwa na wabakaji au walawiti
  2. akipevuka kidogo kama ni mwanamke anawindwa na mabeberu wa kiume
wazazi wamekuwa hawana amani ya nafsi
Noma sana dingi. Yani saivi sio mtoto wa kike wala wa kiume wote wapo vulnerable inabidi wazazi tuzidi kuwa makini na watoto wetu.
 
Hawa ma ustaz sujui wanaofawafundisha madrasa!!wanakuwaga wadogo sana wengine,miaka 19 -21 yrs wengi...nyege tu na hawana mbinu na mademu wa age zao
Kinacho waponza hawa jamaa ni unafiki! Ukiwakuta mbwembwe nyingi! Muda wote wana sigida kwa sababu ya zile swala tano! Wamevaa kanzu na makobazi! Udevu wameupaka rangi nyekundu!!🥶🥶🥶🥶

Hivyo hukosa ujasiri wa kuwatokea Pisi Kali kama sisi! Na mwisho wa siku hasira zao wanahamishia kwa wanafunzi wao. Ona sasa huyu Ustaadhi alicho kifanya!! 🤔
 
Kinacho waponza hawa jamaa ni unafiki! Ukiwakuta mbwembwe nyingi! Muda wote wana sigida kwa sababu ya zile swala tano! Wamevaa kanzu na makobazi! Udevu wameupaka rangi nyekundu!![emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063]

Hivyo hukosa ujasiri wa kuwatokea Pisi Kali kama sisi! Na mwisho wa siku hasira zao wanahamishia kwa wanafunzi wao. Ona sasa huyu Ustaadhi alicho kifanya!! [emoji848]
Kumbe pisi kali zipo pande hii, nakuja inbox

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Akabidhiwe kwa mnyampala, maana hakuna namna.
 
HAPA HATA MATAMKO TOKA KWA MASHEKH HAKUNA,SUBIRI AASA MWENDA WAZIMU AIBUKE
 
Ostadhi Juma Namusoma hivi yuko wapi
Miguso fala sana nimecheka sana aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo dogo alibakwa akiwa na miaka 7 akiwa darasa la kwanza?

Maana sahivi 2021 na taarifa inasema alibakwa 2019.

Waendesha mashkataka fanyeni uchunguzi vizuri najua hamshindwi.
 
Back
Top Bottom