Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

Maelezo yanasema akampeleka hospitali kumpima mtoto ila maelezo hayasemi majibu yamekujaje.

Ila kwakua kesi iko mahakamani naassume majibu yameonesha mtoto amewahi kuingiliwa.

Mzazi ambaye anawajibika kwa mwanae ipasavyo ilitakiwa aone tofauti kwa mwanae siku ya kwanza aliyobikiriwa. Assuming huyu mtoto hajui kujisafisha means tangu kipindi hicho kuna discharge kutoka ukeni zingeweza kua observed.

Hapo ni kama mzazi anawajibika kwa mtoto.
 
Dini ya Kiarabu ni Tatizo kubwa, Liwiti ni kubwa hapa sababu ya dini hiyo
 
huko ulikoelekea wewe lengo lako ni kuweka balance isiyohitajika kwenye hii thread, suala lolote la uvunjivu wa maadili halipaswi kuletewa mlinganisho mfano wa huo.
kwa kuwa hii thread imezungumzia mwalimu wa madrasa imenibidi nami nigusie mchango wangu kwa muelekeo huo.

binafsi ni muislamu wa kuzaliwa, nina mwanafamilia wangu ameoa/kuolewa na mwanafamilia ambaye mzazi wake alikuwa ni mwalimu wa madrasa na amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa makosa kama hayo.
Binafsi sikuwa nahitaji kuweka balance yoyote..nilichofanya ilikuwa ni kujariu kuonesha kuwa kuna kundi kubwa la watu wa kuwaogopa inapokuja "risk" ya ubakwaji kwa watoto wetu...ndio maana kwenye comment nyingine nilitaja hata madereva wa school buses...kundi ni kubwa sana la kuogopa!
 
Naomba mods waufunge huu uzi maana sasa kuna imani tena humu zinaanza kupeana mifungo ya mistari ya dini, kila mtu anatetea upande wake,
 

Padri Mkatoliki anaendelea na safari ya utalii kubaka na kufanya mapenzi na watoto​

Muasisi wa ubakaji ni Muhammad (S.A.W) sheikh

images%20(89).jpg
 
Dini ya Kiarabu ni Tatizo kubwa, Liwiti ni kubwa hapa sababu ya dini hiyo
Hili sio swala la dini ni swala la maadiri na kutokujitambua. Maana huu ubakaji haupo misikitini pekee upo kila sehemu na kila mbakaji anatumia kivuli cha sehemu aliyopo kuficha madhambi yake.

Wazazi nao tumejisahau sana kwenye kufatilia mienendo na hali za watoto wetu.
 
Back
Top Bottom