Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Maelezo yanasema akampeleka hospitali kumpima mtoto ila maelezo hayasemi majibu yamekujaje.
Ila kwakua kesi iko mahakamani naassume majibu yameonesha mtoto amewahi kuingiliwa.
Mzazi ambaye anawajibika kwa mwanae ipasavyo ilitakiwa aone tofauti kwa mwanae siku ya kwanza aliyobikiriwa. Assuming huyu mtoto hajui kujisafisha means tangu kipindi hicho kuna discharge kutoka ukeni zingeweza kua observed.
Hapo ni kama mzazi anawajibika kwa mtoto.