Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Wewe umeleta kisebusebu, mada inaelekea kulia wewe unatupeleka kushotoIpo siku utajutia ulicho andika.. Mimi nakuombea dua Mwenyezi Mungu akusalimu salama.
Hicho ni kisebusebu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeleta kisebusebu, mada inaelekea kulia wewe unatupeleka kushotoIpo siku utajutia ulicho andika.. Mimi nakuombea dua Mwenyezi Mungu akusalimu salama.
Subhanallah..Mkuu I Beg U To Repent Before It's Too Late..Hakika umeitikisa Arshi ya Allah kwa Comment yako ya kifirauni.
Sawa..utauona ukweli ukishafukiwa 6 feet pamoja na Tons za mchanga
Imani ya dini ya kiislam, dini ya hakhi sheikhIla ukifuatilia kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti utaona majina yaaashiria imani fulani
Kwanza haya mambo ya kusoma kwenye mikeka ni ya kizamani sana, utakuta ustaadhi kakaa na binti kwenye mkeka zero distance hata akihema anamsikia eti anamfundisha Quran. Hivi hiyo Quran haiwezekani kufundishana ubaoni, madrasa kuwe na madawati kama shule? Me utaratibu ule wa ufundishaji siukubali kabisaHuu utaratibu wa hizi madrasa uangaliwe upya ubakaji wa watoto umezidi sana huyu mhusika lazima ale mvua ya 30
Lakini tatizo litabaki palepale lazima mbinu mpya za ufundishaji madrasa zibuniwe ili kukomesha hili tatizo kama pawepo wasimamizi wengine wa jinsi zote, mwisho wa kutoka watoto iwe saa 12, na wachukuliwe na walezi wao mikeka akusanye mwl wao nk
Mbona kuna Hakuna Mpessa, Nusrat Mpessa mahakimu? Ipelekwe kwao hiyo mbakaji apone. Mahakimu wa Majina utakayo wako kibao.Hakimu Anayesikiliza kesi Anaitwa Anna Mpessa.. Jamaa hawezi toboa hata kama kasingiziwa.
Kuwe na mchanganyiko kama shule za kawaidaInabidi sasa watoto wa kike wa kiislam wawe wanafundishwa madrasa na waalim wa kike inawezekana kbisa
Wa kiume nao wapo hatarini sana
Mwanamke huyo atakuwa na uchungu wa kufa mtu kuliko hakimu wa kiume.Hakimu Anayesikiliza kesi Anaitwa Anna Mpessa.. Jamaa hawezi toboa hata kama kasingiziwa.
Umeona eenhh??!!!" Baada ya kusikia mama anaongea na shangazi kuhusu habari za ubakaji ndipo namimi nikamwambia kwamba Hostazi uwa anatubaka mimi na mwenzangu," alidai.........Kuna sehemu wazazi wanapwaya!
Hapo ingekuwa ni Dini Fulani hivi ,aisee kelele zake yaani JF pasingetosha.Hao ndio wanao changia kuuzalilisha dini ya Kiislamu..
Ongeza uangalifu kwa mwanao.Hii ifafanue vzr mkuu madereva wana technic zipi niwe makini na kabinti kangu mkuu
Hakuna raha kwa mtoto wa miaka tisa.Raha ya sekunde inamsababishia akale mvua akiwa nyuma ya nondo nzito na kiza kinene, akili za ujinga sana hizi za kubaka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendesha mashtaka anaitwa CECILIAHakimu Anayesikiliza kesi Anaitwa Anna Mpessa.. Jamaa hawezi toboa hata kama kasingiziwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtume wao alikiri kutojua kusoma na kuandika, vivyo hivyo hawa Maustadh wamerithi ujinga huo kutoka kwa Mwamedi
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wengi Ni vilaza kweli hata haudanganyi