Kesi ya Uchaguzi Kenya siku 14, ya kina Mdee siku zaidi ya 400!


Kesi ya Rais unaifananisha na kesi ya Mdee. Are you normal ?
 
Mahakama za nchi hii ni kama tawi la chama tawala tu.! Maamuzi yao always yapo biased
 
Mimi naamini kwamba wale majaji kenya wameelimika, wanajua wanachokifanya kwa jamii yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…