Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii hapa ndio taarifa ya Chadema iliyotolewa leo

instagram.jpg
 
Tunasubiri Mara Mbowe ni gaidi Mara muhujumu uchumi nini ni nini tunasubiri mahakama
Hii ndio Tanzania! Inasikitisha sana, mipango ya kuua viongozi, ugaidi na sasa uhujumu uchumi. Mama Samia umepotoshwa voice mara nyingi sio ushahidi unaokubarika chukua hatua sivyo utaendelea kupotoshwa KUMBE MBOWE SIO GAIDI
 
Sabaya alipokamatwa mlisema ni jambazi kweli mkawa mnazunguusha gwedos kusema ni kweli japo Mahakama haijathibitisha pasi na shaka.Leo makengeza kakatuhumiwa sasa nyie mnasema sio Gaidi.Mbona mnashangaza nyie wagalatia?
 
Daah mkuu hata Kama ni shetani kakuingia sio kwa style hii mkuu hebu kemea Basi hata kidogo pepo likotoke
Bahati mbaya id fake zinatulinda, huyu ningemjua nahisi ningefungwa, hakuna rangi angeacha kuona
 
Bahati mbaya id fake zinatulinda, huyu ningemjua nahisi ningefungwa, hakuna rangi angeacha kuona
Tumwombee tu maana hajui kuwa machozi ya watanzania yanadondokea ndani ya moyo wa Mungu ipo siku atakumbuka Ila itakuwa amechelewa hata toba
 
Mbowe anatuhumiwa, bado hajahukumiwa

Namna bora ya kumsaidia ni kuomba kuwa mmoja wa Mashahidi wa Utetezi!
Huyu DPP tulimsifia sana kuwa hatumiki, Ila Sasa rangi ishaanza kuonekana.
Ila mimi sikuingia huo mkenge
#mbowe sio gaidi#
 
Sabaya alipokamatwa mlisema ni jambazi kweli mkawa mnazunguusha gwedos kusema ni kweli japo Mahakama haijathibitisha pasi na shaka.Leo makengeza kakatuhumiwa sasa nyie mnasema sio Gaidi.Mbona mnashangaza nyie wagalatia?
Dpp naye kasema sio gaidi ni mhujumu uchumi
 
Back
Top Bottom