Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

Gaidi mbowe analiwa na papasi lockup nyie kelele tu

USSR
wakati huo huo kodi na makato ya miamala ya siku/luku ikiendelea kuwatesa watanzania kila siku, hapo bado bei ya bidhaa ikiendelea kupaa
 
Hili la uhujumu uchumi limezuka lini? wanampachika makosa ambayo hayana dhamana ili aendelee kukaa ndani.
 
Huyu DPP tulimsifia sana kuwa hatumiki, Ila Sasa rangi ishaanza kuonekana.
Ila mimi sikuingia huo mkenge
#mbowe sio gaidi#
Wala usilaumu sana, wana siasa wanaweza kuingilia popote, muda wowote kulazimisha matokeo watakayo
 
Huyu DPP tulimsifia sana kuwa hatumiki, Ila Sasa rangi ishaanza kuonekana.
Ila mimi sikuingia huo mkenge
#mbowe sio gaidi#
Kwa mfumo wa Tz,waliokuteua watakachokuambia utakifuata tu,ksbb ya kutetea tumbo lako,sio WaTz. Ni PROF MUSA ASSAD pekee anaeweza kufuata utaratibu wa sheria na kuikatalia mamlaka za juu
 
Hili la uhujumu uchumi limezuka lini? wanampachika makosa ambayo hayana dhamana ili aendelee kukaa ndani.
Hata mimi nashangaa kama vile mashitaka yanaamishwa kiaina kutoka ugaidi kwenda uhunumu uchumi

Au ile Diary wanayotambia imepotoa?
 
Huyi mama ni shetani kama shetani wengine. Labda utofauti wake upo tu katila kiwango.

Aliwatoa waliobambikiwa kesi na mtangulizi wake, ili ajitengenezee wa kwake. Lakini hakuwa na dhamira ya kufuta ubambikizaji kesi.
 
Huyu mama kazi yake ni kubambikizia watu kesi za kihuni na tozo za kipumbavu, sijui kwa maslahi ya nani? anapoteza muda tuu ataondoka kwa aibu sana huyu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii hapa ndio taarifa ya Chadema iliyotolewa leo

View attachment 1900352
Kuna mambo nimeyaona leo katika kesi ya Mbowe.Jambo la kwanza ni kuwa washtakiwa wenziwe Mbowe walikuwa wamefungwa mpaka wakati wanashuka garini.Jambo la pili ni idadi kubwa ya mashahidi na vielelezo.Najiuliza kwa nini Mbowe naye hakufungwa pingu?Kuhusu idadi ya mashahidi nayo kama naona kubwa
 
Back
Top Bottom