Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

Sabaya alipokamatwa mlisema ni jambazi kweli mkawa mnazunguusha gwedos kusema ni kweli japo Mahakama haijathibitisha pasi na shaka.Leo makengeza kakatuhumiwa sasa nyie mnasema sio Gaidi.Mbona mnashangaza nyie wagalatia?
Saabaya alianza kusemwa tangu alipoteuliwa, inawezekana ulikuwa bado uko shule ya msingi.
 
Gaidi mbowe analiwa na papasi lockup nyie kelele tu

USSR
Usifurahie mateso ya wengine. Maana yanaweza kukurudia pia.
Hizo ni tabia za shetani, nawe sidhani kama u sehemu katika ufalme huo wa giza.
Maandiko yanatuambia, tuwatendee wengine vile sisi tunavyotaka kutendewa.
Mavyeo, masiasa na madaraka ni vitu vya kupita tu.
Wote siku moja mtaiacha dunia.
 
Usifurahie mateso ya wengine. Maana yanaweza kukurudia pia.
Hizo ni tabia za shetani, nawe sidhani kama u sehemu katika ufalme huo wa giza.
Maandiko yanatuambia, tuwatendee wengine vile sisi tunabyotaka kutendewa.
Mavyeo, masiasa na madaraka ni vitu vya kupita tu.
Wote siku moja mtaiacha dunia.
Hao maharamia hawajui hilo Wala kujali nini watakikuta baada ya maisha ya duniani
 
Hapo hamna case mara hii imeshageuka ni case ya uhujumu uchumi na sio ugaidi hahahah
 
Huyu DPP tulimsifia sana kuwa hatumiki, Ila Sasa rangi ishaanza kuonekana.
Ila mimi sikuingia huo mkenge
#mbowe sio gaidi#
Nafasi zingine ni utumwa mkuu , yani WENDA DPP ni mpenda haki ila mazingira ya kiwizi wizi yanamlazimisha, DPP Usilazimishwe kufanya dhambi ,kufa kupo jiudhulu ,
 
Saabaya alianza kusemwa tangu alipoteuliwa, inawezekana ulikuwa bado uko shule ya msingi.
Mimi nimesoma na mama yako shule ya msingi hata sabaya kwangu ni mtoto mdogo.Mbowe amesemwa mara ngapi?
 
Back
Top Bottom