Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe (CHADEMA) na wenzake watatu yaahirishwa mpaka Januari 10, 2022

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwamba Mbowe na wenzake wataendelea kusota Rumande mpaka mwaka ujao ambako pingamizi la upande wa utetezi kuhusu vielelezo litatolewa uamuzi.

Hayo yamesemwa leo Mahakamani na Mtukufu Jaji Tiganga alipokuwa anaahirisha kesi hiyo

Mashine_za_kufanya_kipimo_cha_pressure_ukiwa_nyumbani_kwako_za_kisasa_zinazosoma_majibu_kwa_mf...jpg
 
Duh. Naona Mbowe akiachiwa 2023 , mwaka anaostaafu siasa.
 
Mwamba Mbowe na wenzake wataendelea kusota Rumande mpaka mwaka ujao ambako pingamizi la upande wa utetezi kuhusu vielelezo litatolewa uamuzi.

Hayo yamesemwa leo Mahakamani na Mtukufu Jaji Liganga alipokuwa anaahirisha kesi hiyo

View attachment 2051207
Si alisema anapenda kukaa jera hata miaka 20 acha alie sikukuu hukohuko
USSR
 
Mwamba Mbowe na wenzake wataendelea kusota Rumande mpaka mwaka ujao ambako pingamizi la upande wa utetezi kuhusu vielelezo litatolewa uamuzi.

Hayo yamesemwa leo Mahakamani na Mtukufu Jaji Tiganga alipokuwa anaahirisha kesi hiyo

View attachment 2051207
Subira yavuta kheeri wacha tuzidi kumuomba mungu atujalie afya.
 
MUNGU pekee ndio Atakayemlinda Mh.MBOWE Chini ya Utawala huu na Watawala wakumbuke "DAMU ya ASIYE na HATIA ikimwagwa HUANGAMIZA TAIFA"
Mama Samia ni mcha Mungu sana, kwenye hili alidanganywa AKAVUNA Moto wa jehanam, najua anajuata.Namuombea Mungu ampe njia sahihi ya kutokea maana kila mtu hujaribiwa kulingana na uwezo wake
 
Mwamba Mbowe na wenzake wataendelea kusota Rumande mpaka mwaka ujao ambako pingamizi la upande wa utetezi kuhusu vielelezo litatolewa uamuzi.

Hayo yamesemwa leo Mahakamani na Mtukufu Jaji Tiganga alipokuwa anaahirisha kesi hiyo

View attachment 2051207
Aendelee kukaa mahala salama kwa sababu wapambe wake walimsemea kwamba hawataki msamaha bali wanasuboria haki.
 
Back
Top Bottom