Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe (CHADEMA) na wenzake watatu yaahirishwa mpaka Januari 10, 2022

Kumuhusisha Samia na kesi za kijinai ni ufinyu wa mawazo wa kiwango cha SGR! Kwa hiyo watu wote walio mahabusu kwa sasa Samia anahusika? Naona ukitaka kuwa jambazi zama hizi ni vyema ukajificha upinzani, maana ukikamatwa utatetewa na hao wanaojiita wapinzani kila kona ya nchi
Kwani Hamza alikuwa mwana upinzani?
 
Kwenye Siasa Kufungwa Ni Kawaida kabisa Mandela alisota miaka 27, Nyerere alikua na makesi ya ajanu ajabu haya sijui Uchochezi na Ujinga Mwingine mwingi hapa hapa Tanzania..Je nani ana jina kubwa na Heshima Kuliko Nyerere??
Nani ana jina na Heshima Kubwa Afrika na Dunian kuliko Mandela? De klek hata Botha walizikwa kama Michwa tu...Sote tunasema Usitumie madaraka kuumiza na kunyanyasa watu Na wewe utanyanyaswa na wengine..Hivi Pole pole Yule Ungemwambia Mwezi Dec atakua nalalamika kuhusu Ukweli na Haki angekuelewa???

Hatujui Ya Mbowe tunachosema Haki Iwe inatendeka basi...Nani asiejua watu hubambikiwq makesi meengi tu kuwakomoa??
 
Mwamba Mbowe na wenzake wataendelea kusota Rumande mpaka mwaka ujao ambako pingamizi la upande wa utetezi kuhusu vielelezo litatolewa uamuzi.

Hayo yamesemwa leo Mahakamani na Mtukufu Jaji Tiganga alipokuwa anaahirisha kesi hiyo

View attachment 2051207

20 December 2021
Dar es Salaam, Tanzania

HABARI INAYO TREND TUKIFUNGA MWAKA 2021

KESI NAMBA 16/ 2021 YA FREEMAN MBOWE NA WENZIE 3 NI MOJAWAPO YA KESI INAYOFUATILIWA SANA BAADA YA ILE YA NELSON MANDELA

Viwango vya chini vya kanuni za Umoja wa Mataifa zilizofanyiwa maboresho kuhusiana na usimamizi wa wafungwa (Kanuni za Mandela)
Mwongozo kwa ufupi :

Baada ya majadiliano ya maboresho kukamilishwa na kundi la wataalamu lililohusisha serikali mbalimbali
walipokutana Cape Town, South Africa iliamuliwa kwamba kanuni hizi zinapaswa kujulikana kama “Kanuni za Nelson Mandela”. Hii ni heshima kwa
hayati raisi wa Afrika ya Kusini aliyetumikia kifungo jela kwa miaka 27 na kutetea haki za wafungwa.

Soma zaidi : Short Guide to the Nelson Mandela Rules (revised Standard Minimum Rules) - Penal Reform International

The Rules are known as the ‘Nelson Mandela Rules’ to honour the legacy of the late President of South Africa, ‘who spent 27 years in prison in the course of his struggle for global human rights, equality, democracy and the promotion of a culture of peace’. The revised Rules were adopted unanimously by the UN General Assembly (UN-Doc A/Res/70/175) on 17 December 2015.

15 December 2021

Joyce Msuya:Mtanzania ateuliwa kuwa Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura (UNOCHA) Agenda for Humanity

15 Disemba 2021
Joyce Msuya

CHANZO CHA PICHA,HISANI/UN
Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amteua Mtanzania Joyce Msuya kuwa Katibu Mkuu Msaidizi wa Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura (UNOCHA). OUR WORK

advocacy.png
Advocacy
OCHA’s public and private advocacy raises awareness of forgotten crises, promotes respect for international humanitarian law (IHL), brings the voices of crisis-affected people to the forefront, and helps people obtain access to humanitarian assistance

2 December 2021
Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisisasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho. Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko. Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito. Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Source: JamiiForums

Toka maktaba :
11 September 2021

Lugha
Umoja wa Mataifa
Habari za UN
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed afanya ziara nchini Tanzania​

Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed amefanya ziara nchini Tanzania na amefanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma.

Ikulu, Tanzania

11 Septemba 2021
Masuala ya UM
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed, amefanya ziara maalum ya siku mbili nchini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Katika ziara yake leo tarehe 11 Septemba, 2021amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma.
Katika mazungumzo hayo Bi.Mohammed amewasilisha salamu kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres na kumpongeza Rais Samia kwa kushika nafasi ya Urais na kumtakia heri katika majukumu yake.
Amemuhakikishia Rais Samia kuwa Umoja wa Mataifa utaendelea kumuunga mkono katika jitihada zake mbalimbali za kuiletea maendeleo Tanzania, ikiwemo kufikia malengo ya maendeleo Endelevu (SDGs).
Aidha, amempongeza Mhe. Rais Samia kwa jitihada anazochukua dhidi ya janga la COVID-19 ambapo amesema Umoja wa Mataifa unaendelea kuhakikisha kuwepo na usawa wa upatikanaji wa chanjo na wanaendelea na majadiliano na taasisi za Kifedha kuona ni jinsi gani zinasadia nchi zinazoendelea kukabiliana na ugonjwa huo.
Vilevile, ameahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya sita za kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto pamoja na upatikanaji wa maji safi na salama.
Kwa upande wake Rais Samia amempongeza Bi Amina J. Mohammed kwa kuteuliwa tena kushika nafasi hiyo ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kumhakikishia ushirikiano zaidi kwa kuwa Umoja wa Mataifa kupitia taassisi zake mbalimbali ni mbia wa maendeleo nchini.
Rais Samia amemueleza kuwa serikali yake inaendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini ambapo katika kipindi cha miezi mitatu idadi ya wawekezaji imeongezeka.
NB: Taarifa ya Ikulu Tanzania

4 August 2021​

Victoria Nuland : Tanzanian Opposition Leader’s Arrest Is “Test” For New President​

U.S. Undersecretary of State for Political Affairs Victoria Nuland was in Tanzania Wednesday where she spoke about the arrest of opposition leader Freeman Mbowe and at least 10 other Chadema party members and staff who face terrorism charges.

Source : VOA

4 August 2021

Ambassador Victoria Nuland | UNDER SECRETARY FOR POLITICAL AFFAIRS

Tanzania Waziri wa Mambo Ya Nje | Amefanya Mazungumzo na Mama Mulaula na Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania. America Swahili News na Swahili Villa tunafuatilia mazungumzo hayo kwa karibu sana
Source : America Swahili News
 
Kifo cha magu lilikuwa pigo takatifu dhidi ya dikteta sasa naona mama nae anajiandalia anguko lake.
MUNGU pekee ndio Atakayemlinda Mh.MBOWE Chini ya Utawala huu na Watawala wakumbuke "DAMU ya ASIYE na HATIA ikimwagwa HUANGAMIZA TAIFA"

o cha
 
Mama Samia ni mcha Mungu sana, kwenye hili alidanganywa AKAVUNA Moto wa jehanam, najua anajuata.Namuombea Mungu ampe njia sahihi ya kutokea maana kila mtu hujaribiwa kulingana na uwezo wake
Ni vizuri kama Samia alidanganywa kwa kuwa hali ya utulivu kitaifa iko vizuri sana, Mbowe akiwa Ukonga maximum prison and remand. Serikali inapanga mipango ya kiuchumi, watalii wanakuja nchini, wawekezaji wanaleta mtaji na shughuli za uchumi zinaamka taratibu baada ya kulala kwa miaka 5.

Maandamano na mikutano ambayo Mbowe alikuwa anaianzisha Rais SSH akiwa mpya kwenye uRais inge vuruga Nchi sana.

Binafsi napongeza kazi ya vyombo vya Dola yaani TISS, POLICE nk kwa kuwa wangelegea kidogo ingekula kwa Mama yetu Samia. Na kama hamujui ndiyo kazi ya vyombo vya dola, siyo kuiibia kura CCM.

Ila nawalaani washauri wa Mbowe na hao wafadhili wao wa ulaya kwa kushindwa kumuambia Mbowe kuwa ile ilikuwa BAD TIMING. Mbowe angesubiri mpaka March 2022 Mama akiwa na mwaka ndipo amuambie kuwa "baada ya kupanga uchumi, tunataka Katiba sasa"

Mimi nami ni muumini wa Katiba Mpya, msije mkaniita MATAGA. Nenda kasome post zangu za miaka 5 iliyopita ndiyo utanijuwa.
 
Ulaaniqe shetani na kizazI chako. Mungu mkuu tunaomba uzidi kuwakirimia wote waitafutao haki, hasa iliyoporwa.
Yaani wewe taahira ndo ulaani watu kwa lipo? Mtu anashutuma za ugaidi mwache apambane na hali yake!
 
Mwamba Mbowe na wenzake wataendelea kusota Rumande mpaka mwaka ujao ambako pingamizi la upande wa utetezi kuhusu vielelezo litatolewa uamuzi.

Hayo yamesemwa leo Mahakamani na Mtukufu Jaji Tiganga alipokuwa anaahirisha kesi hiyo

View attachment 2051207
Alaaniwe bibitozo na washauri wake wote, waonje laana kabla hawajaondoka dunuiani, amen
 
Ni vizuri kama Samia alidanganywa kwa kuwa hali ya utulivu kitaifa iko vizuri sana, Mbowe akiwa Ukonga maximum prison and remand. Serikali inapanga mipango ya kiuchumi, watalii wanakuja nchini, wawekezaji wanaleta mtaji na shughuli za uchumi zinaamka taratibu baada ya kulala kwa miaka 5.

Maandamano na mikutano ambayo Mbowe alikuwa anaianzisha Rais SSH akiwa mpya kwenye uRais inge vuruga Nchi sana.

Binafsi napongeza kazi ya vyombo vya Dola yaani TISS, POLICE nk kwa kuwa wangelegea kidogo ingekula kwa Mama yetu Samia. Na kama hamujui ndiyo kazi ya vyombo vya dola, siyo kuiibia kura CCM.

Ila nawalaani washauri wa Mbowe na hao wafadhili wao wa ulaya kwa kushindwa kumuambia Mbowe kuwa ile ilikuwa BAD TIMING. Mbowe angesubiri mpaka March 2022 Mama akiwa na mwaka ndipo amuambie kuwa "baada ya kupanga uchumi, tunataka Katiba sasa"

Mimi nami ni muumini wa Katiba Mpya, msije mkaniita MATAGA. Nenda kasome post zangu za miaka 5 iliyopita ndiyo utanijuwa.
Unaonaje akisota rumande Hadi hiyo March 2022 ili wananchi wakipata muamko wa kuidai KATIBA Hangaya asiwe na kisingizio.
 
Kesi Namba 16 / 2021 ya Mbowe na Wenzie 3, yaibuliwa kiaina ktk mkutano wa Wadau wa Vyama Vya Siasa Dodoma

Hivi wewe mwenye mamlaka unajisikiaje kumweka.mwenzako ndani kwa kosa la mchongo huku wewe ukila bata na familia yako kipindi hiki cha sikukuu hizi.

Hebu kuweni na hofu ya muumba enyi watawala, haya ma vyeo ni ya kupita tu hapa duniani..walikuwepo kina Farao wako wapi leo?

Tenda wema na haki ili upate thawabu ndugu.

Mh. Mbowe we kula Xmas na mwaka mpya gelezani kama walivyopanga.
 
Nafikiri tunasahaulishwa kidogo, baadaye tutasikia DPP kafanya yake kwa kusema hana nia ya kuendelea na kesi tena, maana usanii unaofanyika mahakamani na hao waendesha mashitaka na mashahidi policcm ni aibu tupu kwa hao wapangaji wa movie. Wanachuma dhambi bure na Mungu atawaadhibu hivi karibuni.
 
20 December 2021
Dar es Salaam, Tanzania

HABARI INAYO TREND TUKIFUNGA MWAKA 2021

KESI NAMBA 16/ 2021 YA FREEMAN MBOWE NA WENZIE 3 NI MOJAWAPO YA KESI INAYOFUATILIWA SANA BAADA YA ILE YA NELSON MANDELA

Viwango vya chini vya kanuni za Umoja wa Mataifa zilizofanyiwa maboresho kuhusiana na usimamizi wa wafungwa (Kanuni za Mandela)
Mwongozo kwa ufupi :

Baada ya majadiliano ya maboresho kukamilishwa na kundi la wataalamu lililohusisha serikali mbalimbali
walipokutana Cape Town, South Africa iliamuliwa kwamba kanuni hizi zinapaswa kujulikana kama “Kanuni za Nelson Mandela”. Hii ni heshima kwa
hayati raisi wa Afrika ya Kusini aliyetumikia kifungo jela kwa miaka 27 na kutetea haki za wafungwa.

Soma zaidi : Short Guide to the Nelson Mandela Rules (revised Standard Minimum Rules) - Penal Reform International

The Rules are known as the ‘Nelson Mandela Rules’ to honour the legacy of the late President of South Africa, ‘who spent 27 years in prison in the course of his struggle for global human rights, equality, democracy and the promotion of a culture of peace’. The revised Rules were adopted unanimously by the UN General Assembly (UN-Doc A/Res/70/175) on 17 December 2015.

15 December 2021

Joyce Msuya:Mtanzania ateuliwa kuwa Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura (UNOCHA) Agenda for Humanity

15 Disemba 2021
Joyce Msuya

CHANZO CHA PICHA,HISANI/UN
Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amteua Mtanzania Joyce Msuya kuwa Katibu Mkuu Msaidizi wa Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura (UNOCHA). OUR WORK

advocacy.png
Advocacy
OCHA’s public and private advocacy raises awareness of forgotten crises, promotes respect for international humanitarian law (IHL), brings the voices of crisis-affected people to the forefront, and helps people obtain access to humanitarian assistance

2 December 2021
Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisisasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho. Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko. Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito. Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Source: JamiiForums

Toka maktaba :
11 September 2021

Lugha
Umoja wa Mataifa
Habari za UN
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed afanya ziara nchini Tanzania​

Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed amefanya ziara nchini Tanzania na amefanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma.

Ikulu, Tanzania
Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed amefanya ziara nchini Tanzania na amefanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma.

11 Septemba 2021
Masuala ya UM
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed, amefanya ziara maalum ya siku mbili nchini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Katika ziara yake leo tarehe 11 Septemba, 2021amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma.
Katika mazungumzo hayo Bi.Mohammed amewasilisha salamu kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres na kumpongeza Rais Samia kwa kushika nafasi ya Urais na kumtakia heri katika majukumu yake.
Amemuhakikishia Rais Samia kuwa Umoja wa Mataifa utaendelea kumuunga mkono katika jitihada zake mbalimbali za kuiletea maendeleo Tanzania, ikiwemo kufikia malengo ya maendeleo Endelevu (SDGs).
Aidha, amempongeza Mhe. Rais Samia kwa jitihada anazochukua dhidi ya janga la COVID-19 ambapo amesema Umoja wa Mataifa unaendelea kuhakikisha kuwepo na usawa wa upatikanaji wa chanjo na wanaendelea na majadiliano na taasisi za Kifedha kuona ni jinsi gani zinasadia nchi zinazoendelea kukabiliana na ugonjwa huo.
Vilevile, ameahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya sita za kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto pamoja na upatikanaji wa maji safi na salama.
Kwa upande wake Rais Samia amempongeza Bi Amina J. Mohammed kwa kuteuliwa tena kushika nafasi hiyo ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kumhakikishia ushirikiano zaidi kwa kuwa Umoja wa Mataifa kupitia taassisi zake mbalimbali ni mbia wa maendeleo nchini.
Rais Samia amemueleza kuwa serikali yake inaendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini ambapo katika kipindi cha miezi mitatu idadi ya wawekezaji imeongezeka.
NB: Taarifa ya Ikulu Tanzania

4 August 2021​

Victoria Nuland : Tanzanian Opposition Leader’s Arrest Is “Test” For New President​

U.S. Undersecretary of State for Political Affairs Victoria Nuland was in Tanzania Wednesday where she spoke about the arrest of opposition leader Freeman Mbowe and at least 10 other Chadema party members and staff who face terrorism charges.

Source : VOA

4 August 2021

Ambassador Victoria Nuland | UNDER SECRETARY FOR POLITICAL AFFAIRS

Tanzania Waziri wa Mambo Ya Nje | Amefanya Mazungumzo na Mama Mulaula na Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania. America Swahili News na Swahili Villa tunafuatilia mazungumzo hayo kwa karibu sana
Source : America Swahili News
Asante sana
 
Back
Top Bottom