Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe (CHADEMA) na wenzake watatu yaahirishwa mpaka Januari 10, 2022

Duh. Naona Mbowe akiachiwa 2023 , mwaka anaostaafu siasa.
 
Si alisema anapenda kukaa jera hata miaka 20 acha alie sikukuu hukohuko
USSR
 
Subira yavuta kheeri wacha tuzidi kumuomba mungu atujalie afya.
 
MUNGU pekee ndio Atakayemlinda Mh.MBOWE Chini ya Utawala huu na Watawala wakumbuke "DAMU ya ASIYE na HATIA ikimwagwa HUANGAMIZA TAIFA"
Mama Samia ni mcha Mungu sana, kwenye hili alidanganywa AKAVUNA Moto wa jehanam, najua anajuata.Namuombea Mungu ampe njia sahihi ya kutokea maana kila mtu hujaribiwa kulingana na uwezo wake
 
Aendelee kukaa mahala salama kwa sababu wapambe wake walimsemea kwamba hawataki msamaha bali wanasuboria haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…