Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Sikukuu ni siku yeyote kama unapesa zako ,wewe maskini ndio unasikukuu siku maalumu maana hata buchani unaonekana siku za sikukuu tu mafi weweSi alisema anapenda kukaa jera hata miaka 20 acha alie sikukuu hukohuko
USSR
Alidanganywa na akina nani?Mama Samia ni mcha Mungu sana, kwenye hili alidanganywa AKAVUNA Moto wa jehanam, najua anajuata.Namuombea Mungu ampe njia sahihi ya kutokea maana kila mtu hujaribiwa kulingana na uwezo wake
Ulaaniqe shetani na kizazI chako. Mungu mkuu tunaomba uzidi kuwakirimia wote waitafutao haki, hasa iliyoporwa.Si alisema anapenda kukaa jera hata miaka 20 acha alie sikukuu hukohuko
USSR
Mungu siyo amsterdamSubira yavuta kheeri wacha tuzidi kumuomba mungu atujalie afya.
Shetani humjaribu mtu kwenye udhaifu wake.Mama Samia ni mcha Mungu sana, kwenye hili alidanganywa AKAVUNA Moto wa jehanam, najua anajuata.Namuombea Mungu ampe njia sahihi ya kutokea maana kila mtu hujaribiwa kulingana na uwezo wake
Kama unamfahamu aisee maana jamaa ni kauka nikuvae tu hana mbele wala nyuma.Sikukuu ni siku yeyote kama unapesa zako ,wewe maskini ndio unasikukuu siku maalumu maana hata buchani unaonekana siku za sikukuu tu mafi wewe
MUNGU pekee ndio Atakayemlinda Mh.MBOWE Chini ya Utawala huu na Watawala wakumbuke "DAMU ya ASIYE na HATIA ikimwagwa HUANGAMIZA TAIFA"
Huyo mwendazake Yuko wapi ?Mtapata TAABU SANA,kumnanga MBOWE. Mwenda zake alishamuwekaga na sikukuu akaila bila hofu. Nyie ndo mnataabika
Kwani mama ndiye aliyeanzisha hii kesi?Mama Samia ni mcha Mungu sana, kwenye hili alidanganywa AKAVUNA Moto wa jehanam, najua anajuata.Namuombea Mungu ampe njia sahihi ya kutokea maana kila mtu hujaribiwa kulingana na uwezo wake
Kumuhusisha Samia na kesi za kijinai ni ufinyu wa mawazo wa kiwango cha SGR! Kwa hiyo watu wote walio mahabusu kwa sasa Samia anahusika? Naona ukitaka kuwa jambazi zama hizi ni vyema ukajificha upinzani, maana ukikamatwa utatetewa na hao wanaojiita wapinzani kila kona ya nchiAlidanganywa na akina nani?
Yeye hana akili?
Kama anadanganywa ina maana hafai kuwa rais?
John Kennedy alikuwa na maandishi haya kwenye meza yake ikulu:
"The buck stops here"
Maana yake yeye kama rais ndiye mwisho wa reli na jambo lo lote likifanyika mwenye kustahili lawama ni yeye.
Kama huyu mama alidanganywa hiyo ni juu yake lakini hili ni jambo lake. The buck stops with her.
Acheni kumtetea eti alidanganywa. She is the president. Commander in chief. Alidanganywa na nani? Kama amegundua kuwa alidanganywa, amefanya nini ili kujiondoa katika kudanganywa huko? Ulisikiliza mahojiano yake na BBC kuhusu jambo hili?
View attachment 2051370
Mbowe amewekwa gerezani kwa kosa la kukosa HESHIMA , nani aliyasema haya ?Kumuhusisha Samia na kesi za kijinai ni ufinyu wa mawazo wa kiwango cha SGR! Kwa hiyo watu wote walio mahabusu kwa sasa Samia anahusika? Naona ukitaka kuwa jambazi zama hizi ni vyema ukajificha upinzani, maana ukikamatwa utatetewa na hao wanaojiita wapinzani kila kona ya nchi
UFUNUO 20Mwamba Mbowe na wenzake wataendelea kusota Rumande mpaka mwaka ujao ambako pingamizi la upande wa utetezi kuhusu vielelezo litatolewa uamuzi.
Hayo yamesemwa leo Mahakamani na Mtukufu Jaji Tiganga alipokuwa anaahirisha kesi hiyo
View attachment 2051207
Hii tabia ya kudokoa vijimaneno kwenye hotuba ya dakika 30 na kuipa tafsiri za kuwapendeza nyinyi haina AfyaMbowe amewekwa gerezani kwa kosa la kukosa HESHIMA , nani aliyasema haya ?
Unaamini huu ujinga?UFUNUO 20
11 Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.
12 Nikawaona wafu, wakubwa kwa wadogo, wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi; na vitabu vikafunguliwa; na kitabu kingine kikafunguliwa, ambacho ni cha uzima; na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yaliyoandikwa katika vile vitabu, kulingana na matendo yao.
13 Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Akae ndani awe kama Mandela πππππSubira yavuta kheeri wacha tuzidi kumuomba mungu atujalie afya.
Naona wafuasi wa gaidi mbowe
Akili za kichadema ni za kinyumbu mbowe kashitakiwa Kwa ugaidi msitupotoshe [emoji23][emoji1787]Mbowe amewekwa gerezani kwa kosa la kukosa HESHIMA , nani aliyasema haya ?
Tuwaulize wana burigi watafanyajeKwa hiyo mwenyekiti atapelekewa pilau siku ya Christmas au atakula pilau la jela?