20 December 2021
Dar es Salaam, Tanzania
HABARI INAYO TREND TUKIFUNGA MWAKA 2021
KESI NAMBA 16/ 2021 YA FREEMAN MBOWE NA WENZIE 3 NI MOJAWAPO YA KESI INAYOFUATILIWA SANA BAADA YA ILE YA NELSON MANDELA
Viwango vya chini vya kanuni za Umoja wa Mataifa zilizofanyiwa maboresho kuhusiana na usimamizi wa wafungwa (Kanuni za Mandela)
Mwongozo kwa ufupi :
Baada ya majadiliano ya maboresho kukamilishwa na kundi la wataalamu lililohusisha serikali mbalimbali
walipokutana Cape Town, South Africa iliamuliwa kwamba kanuni hizi zinapaswa kujulikana kama “Kanuni za Nelson Mandela”. Hii ni heshima kwa
hayati raisi wa Afrika ya Kusini aliyetumikia kifungo jela kwa miaka 27 na kutetea haki za wafungwa.
Soma zaidi :
Short Guide to the Nelson Mandela Rules (revised Standard Minimum Rules) - Penal Reform International
The Rules are known as the ‘Nelson Mandela Rules’ to honour the legacy of the late President of South Africa, ‘who spent 27 years in prison in the course of his struggle for global human rights, equality, democracy and the promotion of a culture of peace’. The revised Rules were
adopted unanimously by the UN General Assembly (UN-Doc A/Res/70/175) on 17 December 2015.
15 December 2021
Joyce Msuya:Mtanzania ateuliwa kuwa Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura (UNOCHA) Agenda for Humanity
15 Disemba 2021
CHANZO CHA PICHA,HISANI/UN
Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amteua Mtanzania Joyce Msuya kuwa Katibu Mkuu Msaidizi wa Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura (UNOCHA). OUR WORK
|
| Advocacy
OCHA’s public and private advocacy raises awareness of forgotten crises, promotes respect for international humanitarian law (IHL), brings the voices of crisis-affected people to the forefront, and helps people obtain access to humanitarian assistance |
2 December 2021
Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisisasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho. Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko. Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito. Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Source: JamiiForums
Toka maktaba :
11 September 2021
Lugha
Habari za UN
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed afanya ziara nchini Tanzania
Ikulu, Tanzania
Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed amefanya ziara nchini Tanzania na amefanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma.
11 Septemba 2021
Masuala ya UM
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed, amefanya ziara maalum ya siku mbili nchini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Katika ziara yake leo tarehe 11 Septemba, 2021amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma.
Katika mazungumzo hayo Bi.Mohammed amewasilisha salamu kutoka kwa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres na kumpongeza Rais Samia kwa kushika nafasi ya Urais na kumtakia heri katika majukumu yake.
Amemuhakikishia Rais Samia kuwa Umoja wa Mataifa utaendelea kumuunga mkono katika jitihada zake mbalimbali za kuiletea maendeleo Tanzania, ikiwemo kufikia malengo ya maendeleo Endelevu (SDGs).
Aidha, amempongeza Mhe. Rais Samia kwa jitihada anazochukua dhidi ya janga la
COVID-19 ambapo amesema Umoja wa Mataifa unaendelea kuhakikisha kuwepo na usawa wa upatikanaji wa chanjo na wanaendelea na majadiliano na taasisi za Kifedha kuona ni jinsi gani zinasadia nchi zinazoendelea kukabiliana na ugonjwa huo.
Vilevile, ameahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya sita za kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto pamoja na upatikanaji wa maji safi na salama.
Kwa upande wake Rais Samia amempongeza Bi Amina J. Mohammed kwa kuteuliwa tena kushika nafasi hiyo ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kumhakikishia ushirikiano zaidi kwa kuwa Umoja wa Mataifa kupitia taassisi zake mbalimbali ni mbia wa maendeleo nchini.
Rais Samia amemueleza kuwa serikali yake inaendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini ambapo katika kipindi cha miezi mitatu idadi ya wawekezaji imeongezeka.
NB: Taarifa ya Ikulu Tanzania
4 August 2021
Victoria Nuland : Tanzanian Opposition Leader’s Arrest Is “Test” For New President
U.S. Undersecretary of State for Political Affairs Victoria Nuland was in Tanzania Wednesday where she spoke about the arrest of opposition leader Freeman Mbowe and at least 10 other Chadema party members and staff who face terrorism charges.
Source : VOA
4 August 2021
Ambassador Victoria Nuland | UNDER SECRETARY FOR POLITICAL AFFAIRS
Tanzania Waziri wa Mambo Ya Nje | Amefanya Mazungumzo na Mama Mulaula na Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania. America Swahili News na Swahili Villa tunafuatilia mazungumzo hayo kwa karibu sana
Source : America Swahili News