Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe (CHADEMA) na wenzake watatu yaahirishwa mpaka Januari 10, 2022

Polepole alikuwa zaidi ya wewe , leo yuko kundi gani ?
 
Kila ubaya utalipwa
 
Likesi linachosha, wangumuhukumu tu miezi sita, kifungo cha nje, watu waendelee na shughuli zingine!
 
Hii kitu itaisumbua sana CCM Mpya awamu ya 5 na 6.

Mbinyo mkubwa endelevu toka wadau wa ndani na kimataifa unawakosesha usingizi wenzetu wale wa mtaa wa Lumumba na pale Makao Makuu Dodoma.
unaambiwa yanayokuja yanafurahisha
 
20 December 2021

Lwaitama: Samia haaminiki, anaogopa jambo hili, hana nia nia njema, Hapana. Makesi kibao dhidi ya CHADEMA ....

 
Jaji tiganga anaakili Sana katikati hapa Kuna Mambo mengi sikukuu kibao hivyo tusingeweza kufatilia kesi ya mwamba
 
Baba Nyerere
ongeza majela
wafungwe wapinga TANU!

Baba Nyerere

ongeza majela
wafungwe wapinga TANU!

Yiaa Yiaa Yiaa mselema
Yiaa Yiaa Yiaa mselema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…