Allahuakbar
Hakika Allah akitaka lake hulidhihirisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Allah akitaka lake hulidhihirisha
Allah Tabaraq wa TaallahMungu ni mkubwa sana
leo hujafatilia Mkeka ulikuwa live mbonaMkuu Erythrocyte mbona mmeacha kutupasha moja kwa moja yanayoendelea mahakamani? Mmechoka? Mwenyekiti anayelala jela hajachoka, nyie mnaolala nyumbani na wake zenu mnachokaje?
Hii kesi ilikuwa inaamsha hisia za watu na kuelimisha elimu ya uraia na sheria. Endeleeni kuleta habari moja kwa moja.
[emoji38][emoji38][emoji38]leo hujafatilia Mkeka ulikuwa live mbona
Alivyoulizwa kuhusu ushiriki wake katika mauaji na utekaji alishtuka na kujibu kwa haraka mara tatu, "hapana, sijui-sijui-sijui lolote mimi. Duu hapa lazima kisaikolojia kuna na hatapita usingizi.Leo katajwa pia. Yule jamaa leo usingizi hapati.
Aisee usiombe siri zako Ikavuka kipindi ulichoamini kuwa hakuna anayejua
leo hujafatilia Mkeka ulikuwa live mbona
Ndio nakwambia hapati usingizi kabisaAlivyoulizwa kuhusu ushiriki wake katika mauaji na utekaji alishtuka na kujibu kwa haraka mara tatu, "hapana, sijui-sijui-sijui lolote mimi. Duu hapa lazima kisaikolojia kuna na hatapita usingizi.
Yaani tunawashukuru sana. Haijawahi kutokea Watu tuko mahakamani huku tukkwa dumila shambaniAsante. Baadae nimeona. Washukuriwe wanaotuletea live.
Usikute uko kilabuni huko Nanjirinji halafu unajifanya kifutu [emoji13][emoji13][emoji13]Mboe na genge lake la kihalifu wanapaswa wajifunze kuwa Amani ya nchi huwa haichezewi.
utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Amani ya nchi yetu ndio kila kitu.
kila ubaya utalipwaAlivyoulizwa kuhusu ushiriki wake katika mauaji na utekaji alishtuka na kujibu kwa haraka mara tatu, "hapana, sijui-sijui-sijui lolote mimi. Duu hapa lazima kisaikolojia kuna na hatapita usingizi.
Mungu ibariki CHADEMAHaya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu...
hapana umekosea, nipo soliwaya.Usikute uko kilabuni huko Nanjirinji halafu unajifanya kifutu [emoji13][emoji13][emoji13]
Hakuna kesi ya uongo hapo.ilikua Lazima Mh.FAM apewe kesi ya uongo ili ukweli na uovu wa awamu ya 6 ujulikane Mwenyezi Mungu akiamua kufichua uovu hakuna anayeweza kuchomoka.
Kwa akili ya kawaida tu magu angemuacha mda wote huo hali kamuwinda KILA kona kambomolea biashara zakeHakuna kesi ya uongo hapo.
ndio maana John Mrema aliwahi kusema...
Kina Halfan BwireKwa akili ya kawaida tu magu angemuacha mda wote huo hali kamuwinda KILA kona kambomolea biashara zake