Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Mkuu Erythrocyte mbona mmeacha kutupasha moja kwa moja yanayoendelea mahakamani? Mmechoka? Mwenyekiti anayelala jela hajachoka, nyie mnaolala nyumbani na wake zenu mnachokaje?

Hii kesi ilikuwa inaamsha hisia za watu na kuelimisha elimu ya uraia na sheria. Endeleeni kuleta habari moja kwa moja.
leo hujafatilia Mkeka ulikuwa live mbona
 
Leo katajwa pia. Yule jamaa leo usingizi hapati.

Aisee usiombe siri zako Ikavuka kipindi ulichoamini kuwa hakuna anayejua
Alivyoulizwa kuhusu ushiriki wake katika mauaji na utekaji alishtuka na kujibu kwa haraka mara tatu, "hapana, sijui-sijui-sijui lolote mimi. Duu hapa lazima kisaikolojia kuna na hatapita usingizi.
 
Alivyoulizwa kuhusu ushiriki wake katika mauaji na utekaji alishtuka na kujibu kwa haraka mara tatu, "hapana, sijui-sijui-sijui lolote mimi. Duu hapa lazima kisaikolojia kuna na hatapita usingizi.
Ndio nakwambia hapati usingizi kabisa
 
Alivyoulizwa kuhusu ushiriki wake katika mauaji na utekaji alishtuka na kujibu kwa haraka mara tatu, "hapana, sijui-sijui-sijui lolote mimi. Duu hapa lazima kisaikolojia kuna na hatapita usingizi.
kila ubaya utalipwa
 
Wako wengi Sana orodha yao inazidi watu 50 hao waliotajwa ni wale ambao walikasimiwa kitengo kuwa Kama ma inchaji sijaskia jina kisanduku yule muhuni aliyekua anatembea na makonda Kama private bodyguard bado.

Pia Kuna kigogo mmoja pale Vodacom ambaye alikua anaratibu uvujaji wa Taarifa za mawasiliano kwa wale wote waliokua wanasakwa wauwawe.

Kuna kitengo Cha polisi pale Central kilichopewa kazi maalum ya kuua na kwenda kutupa maiti,asee hii kazi ilifanywa na wengi ila waliofaidika Ni wachache wengine walikua wanaambulia per diem.
 
ilikua Lazima Mh.FAM apewe kesi ya uongo ili ukweli na uovu wa awamu ya 6 ujulikane Mwenyezi Mungu akiamua kufichua uovu hakuna anayeweza kuchomoka.
Hakuna kesi ya uongo hapo.
ndio maana John Mrema aliwahi kusema;

'...ilitubidi tunyamaze.........maaana hatuwezi kujua baadhi ya mambo ya mwenyekiti...........huenda alikuwa na silaha huko hai sisi hatujui..."

Maana yake hata baadhi ya viongozi wa chadema wana mashaka, huenda kweli mboe alikuwa na mipango ya siri dhidi ya Serikali.....ila kwa sasa tuiachie mahakama ifanye kazi yake.
 
Kwa akili ya kawaida tu magu angemuacha mda wote huo hali kamuwinda KILA kona kambomolea biashara zake
Kina Halfan Bwire
Adam Hassan
Mohamedi Lingwenya
Walikamatwa tangu kipindi cha Magu.
kwenye maelezo yao walikiri kuhusika na kumtaja mzee mboe kama mratibu wa mipango ya kihalifu.
kisha mboe akakamatwa.
Unadhani kesi ya jinai ina muda maalum? hapana.
tuache akabili tuhuma zake.

Lkn pia kumbuka Mzee mboe alikimbilia Dubai hadi alipo fariki magu ndipo akatia timu.
alikuwa anajua fika kuwa aliharibu na wakati huo kina Bwire walikuwa wanasota rumande.
kwakweli mzee mboe anadhambi mara mbili za kuwaponza jamaa zetu leo hii wanataabika kwa ajili yake.
 
Back
Top Bottom