Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Inawezekana ikaigeukia serekali ya Awamu ya 5, lakini pia nashangazwa na huyu wakili anaye unganisha kesi ya mbowe na huo utekaji, ushambuliaji wa lissu na kupotea kwa akina Ben.
JEE KUNA MPANGO WA KUMHUSISHA MBOWE NA HAYO MATUKIO YA LISSU NA BEN?

Hapa kuna kaa uchafu unafanywa na watu wa utetezi
Watekaji mnazidi kujianika
 
Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination, ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.

Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.

MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Huyo namfahamu anaitwa kijana wa makonda yupo pale central ana gari aina ya RV4 namfahamu
 
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Hakuna nguvu za shetanai zilizoweza kuzidi nguvu za kimungu, hii kesi naanza kuamini ni mpango wa Mungu kuanika ya gizani. by the way J4 anaishi wapi kwani?
 
Kina Halfan Bwire
Adam Hassan
Mohamedi Lingwenya
Walikamatwa tangu kipindi cha Magu.
kwenye maelezo yao walikiri kuhusika na kumtaja mzee mboe kama mratibu wa mipango ya kihalifu.
kisha mboe akakamatwa.
Unadhani kesi ya jinai ina muda maalum? hapana.
tuache akabili tuhuma zake.

Lkn pia kumbuka Mzee mboe alikimbilia Dubai hadi alipo fariki magu ndipo akatia timu.
alikuwa anajua fika kuwa aliharibu na wakati huo kina Bwire walikuwa wanasota rumande.
kwakweli mzee mboe anadhambi mara mbili za kuwaponza jamaa zetu leo hii wanataabika kwa ajili yake.
Ndugu wa marehemu hujafatilia kesi kwenye mahojiano ya j4 na unakwepa kuyafatilia kwasababu ni ya aibu na yanakuumiza 😂
 
Akina Kibatala ni zaidi ya Majasusi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wee endelea kujidanganya.
mnamzeesha buree jamaa wa watu kwa ajili ya tamaa za madaraka!!!
Mboe alipaswa aachwe ajitetee mwenyewe ujinga alio kuwa anau fanya sio kusumbua watu wengine
 
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wee endelea kujidanganya.
mnamzeesha buree jamaa wa watu kwa ajili ya tamaa za madaraka!!!
Mboe alipaswa aachwe ajitetee mwenyewe ujinga alio kuwa anau fanya sio kusumbua watu wengine
Mumeo sahv Yuko Motoni saa hz anaungua
 
Back
Top Bottom