Itanyesha lakini hakikisheni isije ikawanyeshea na nyieWanasema kwamba acha mvua inyeshe ili tuone panapovuja , Kumbuka miongoni mwa wahudhuriaji wakubwa wa kesi hii ni TITTO MAGOTI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itanyesha lakini hakikisheni isije ikawanyeshea na nyieWanasema kwamba acha mvua inyeshe ili tuone panapovuja , Kumbuka miongoni mwa wahudhuriaji wakubwa wa kesi hii ni TITTO MAGOTI
Watekaji mnazidi kujianikaInawezekana ikaigeukia serekali ya Awamu ya 5, lakini pia nashangazwa na huyu wakili anaye unganisha kesi ya mbowe na huo utekaji, ushambuliaji wa lissu na kupotea kwa akina Ben.
JEE KUNA MPANGO WA KUMHUSISHA MBOWE NA HAYO MATUKIO YA LISSU NA BEN?
Hapa kuna kaa uchafu unafanywa na watu wa utetezi
Huyo namfahamu anaitwa kijana wa makonda yupo pale central ana gari aina ya RV4 namfahamuHaya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination, ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.
Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Hakuna nguvu za shetanai zilizoweza kuzidi nguvu za kimungu, hii kesi naanza kuamini ni mpango wa Mungu kuanika ya gizani. by the way J4 anaishi wapi kwani?MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Ndugu wa marehemu hujafatilia kesi kwenye mahojiano ya j4 na unakwepa kuyafatilia kwasababu ni ya aibu na yanakuumiza 😂Kina Halfan Bwire
Adam Hassan
Mohamedi Lingwenya
Walikamatwa tangu kipindi cha Magu.
kwenye maelezo yao walikiri kuhusika na kumtaja mzee mboe kama mratibu wa mipango ya kihalifu.
kisha mboe akakamatwa.
Unadhani kesi ya jinai ina muda maalum? hapana.
tuache akabili tuhuma zake.
Lkn pia kumbuka Mzee mboe alikimbilia Dubai hadi alipo fariki magu ndipo akatia timu.
alikuwa anajua fika kuwa aliharibu na wakati huo kina Bwire walikuwa wanasota rumande.
kwakweli mzee mboe anadhambi mara mbili za kuwaponza jamaa zetu leo hii wanataabika kwa ajili yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akina Kibatala ni zaidi ya Majasusi.
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wee endelea kujidanganya.
mnamzeesha buree jamaa wa watu kwa ajili ya tamaa za madaraka!!!
Mboe alipaswa aachwe ajitetee mwenyewe ujinga alio kuwa anau fanya sio kusumbua watu wengine
Mumeo sahv Yuko Motoni saa hz anaungua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wee endelea kujidanganya.
mnamzeesha buree jamaa wa watu kwa ajili ya tamaa za madaraka!!!
Mboe alipaswa aachwe ajitetee mwenyewe ujinga alio kuwa anau fanya sio kusumbua watu wengine
Hayo majina kapikeni mboga mle hata mfanyaje hakua hatua mtakayoweza kufanya nchi inawenyewe hii nyie ni kama panya tu hamuwezi kumkoseaha mwenye nyumba usingizimpaka sasa tuna orodha ya majina 27