GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwanzoni uliona NRNE ni UTOPIA.
Wakati hukufanya tathmini ya kutosha ya uwezo wa upande wa pili kuiishi hali husika/wanachukuliaje/act vipi kwa manufaa yao na taifa.

Hakuna kisichowezekana kama dunia inaendelea kuzunguka na kama unaamini katika mageuzi mara zote hayaji bila presha dhidi ya watawala.
Na kila unapotawala, fahamu pia unatawaliwa.

Kuna vitu vingi vya kujifunza kwa pande zote kwa tunayoyapitia na tunakoelekea. Hata yatakayofanyika yoyote hakuna ambaye angeona nia ya hayo kama vyama vyote wangesema twende ili tupate hisani ya majimbo.

Watawala waheshimu kura za wananchi ili wapate ridhaa zao na hiyo ni matokeo ya wanayowatendea wananchi. Mda wa kuishi kwa propaganda za amani bila haki hazipo, upeo wa watu umebadilika na vizazi vinabadilika.

Viongozi wafahamu waajiri wao na wawatendee kwa kadri ya hali halisi na si ulaghai. La sivyo uchaguzi utageuka kipindi kigumu cha kulia na kusaga meno kila mara.
Absolutely, Yes...

Hawa kina Pascal Mayalla kwa makusudi kabisa hushindwa kuyaona mambo in the broad perspectives..

Wanayatazama mambo based on CCM deceptive political propaganda which has existed for decades now bila kufahamu kuwa the politics of world are now taking dramatic changes..

Siasa za dunia ya leo ziko digitalized na hakuna cha, watuache sisi tuna, internal sovereignty yetu..
 
Sikujua kama ni break ya kupata lunch ndiyo maana matangazo yakakatwa, ila kwa sasa niko live ninafuatilia kama wale wengine wa black house wanavyofuatilia jambo hili.

duh, what are you doing for a living? au wewe ni mstaafu tayari ? …
 
Nilisoma mahali kwamba kesi zake na za Chadema sasa zitapata usaidizi kutoka kwenye kampuni ya Kimataifa ya Sheria Amsterdam & Co ni kweli?

..ilikuwa upotoshaji au watu hawakuelewa.

..mawakili wa Amsterdam watahusika ktk kusimamia jitihada za Chadema kufikisha malalamiko yao ktk jumuiya ya kimataifa, nje ya nchi.

..Sheria za Tanzania haziruhusu mawakili toka nje kusimamia mashauri katika mahakama zetu isipokuwa kwa kibali maalum toka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom